wanne

Wanne-Eickel Hauptbahnhof is a railway station in the former city of Wanne-Eickel, now part of Herne in western Germany.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Denzel Washington ni baba wa watoto wanne, John, Katia, Malcom na Olivia

    Denzel amewapata watoto wake wote wanne pamoja na mke wake Paulette Washington, ambae alifunga nae ndoa mwaka 1983. Paulette ni mcheza sinema na aliwahi kucheza movie Wilma
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama hawa Wazee Wanne wa Simba SC wakifanya wanachotaka Kukifanya kwa Hasira waliyonayo, Haji Manara anakuwa Chizi au Marehemu upesi

    Nimejaribu Kuwasihi mno wasifanye wanachotaka Kukifanya kwa Kitendo cha Haji Manara wakanionya ninyamaze vinginevyo nami pia watanijumuisha katika Kafara lao Kubwa wanaloenda kulifanya kwa Usaliti mkubwa na Dharau dhidi ya Simba SC. Na Kilichonitisha zaidi kuna Wazee Wawili kati ya hawa Wazee...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kisutu-Dar: Lusubilo Mwakabibi na Edward Haule wafikishwa Mahakani

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Mkurugenzi wa Temeke Lusubilo Mwakabibi na Edward Haule, Wamefikishwa Mahakamani Kisutu asubuhi hii. Hatua hii imekuja baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa siku nne kwa TAKUKURU kumfika Mwakabibi Mahakamani ajibu Mashitaka yanayomkabiri. Katika ziara yake ya...
  4. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

  5. beth

    JamiiForums Tanzania Haiti: Polisi waua watu wanne wanaoshukiwa kwa mauaji ya Rais Jovenel Moïse

    Mkuu wa Polisi Nchini humo, Leon Charles, amesema watu wanne wanaoshukiwa kwa mauaji ya Rais Jovenel Moïse wameuawa na wengine wawili wamekamatwa Kuuawa kwa Moïse na kujeruhiwa kwa Mkewe kulitarajiwa kuleta machafuko zaidi katika Taifa hilo ambalo tayari linakabiliwa na ghasia za magenge ya...
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanaanga Wanne Watua Duniani Baada ya Siku 167 Angani..

    Sisi tuendelee kupambana na waliokufa wakati wenzetu masaa machache yaliyopita wameshuka kutoka kwenye chombo cha Anga za mbali cha ISS. Najisikia hatia kila ninapofuatilia habari kama hizi na kurudisha akili kwa hizi nchi za kiafrika, baya zaidi nikiamtazama jamaa flani kwa mambo anayofanya...
Back
Top Bottom