JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,309
- 5,462
Watu hao wanaendelea na matibabu katika Vituo vya Jaramogi Oginga Odinga Teaching na Hospitari ya JOOTRH baada ya kujeruhiwa kwa risasi katika maandamano yaliyoratibiwa na Azimio la Umoja One Kenya.
Mmoja kati ya waliojeruhiwa ni Afisa Afya wa JOOTRH ambaye alipigwa risasi ya bega akiwa katika eneo la nyumbani kwake, wengine watatu alipigwa risasi katika maeneo ya Kasawino, Kondele na Manyatta.
Inadaiwa kuna taarifa za Askari Polisi kuvamia maeneo ya makazi ya watu na kuwapiga wenyeji.
Wakati huohuo, Hospitali ya JOOTRH imefanikiwa kutoa risasi 12 kutoka katika mwili wa kijana mwenye umri wa miaka 18 ambaye alishambuliwa akiwa alipokuwa eneo la Nyalenda wakati wa maandamano Julai 19, 2023, ripoti ya Hospitali imesema mgonjwa anaendelea vizuri.
======
Four People Shot By Police In Kisumu During Last Day Of Azimio Protests
Four people are nursing police gunshot wounds at the Jaramogi Oginga Odinga Teaching and Referral Hospital (JOOTRH) on the last day of protests called by the Azimio la Umoja One Kenya coalition leadership.
Among the four include a medical officer (clinician) attached to JOOTRH who was shot in the Carwash area.
According to the hospital management, the medic was at his house when a stray bullet caught him on the left shoulder.
The three others were shot in Kasawino, Kondele and Manyatta areas respectively and are all set to undergo surgical operations.
There have been reports of anti-riot police officers storming residential areas like Manyatta, Kondele Bandani, and Nyalenda beating up locals.
Meanwhile, the medics at JOOTRH have managed to remove 12 bullets from the body of an 18-year-old man who was shot in Nyalenda during Wednesday’s protests. The hospital says he is in stable condition.
Source: Citizen Digital