Simu ya mpenzi wangu haina amsha amsha. Nifanyeje?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,821
Kumekucha

Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka

Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa

"Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA
Haina ex anaemsumbua
Madeni wanaomsumbua
Wadada, mijimama inayomsumbua
Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME, familia yake, Mimi, na dada yangu
Haelewi kwamba huyu mwanaume NI mzima kweli au kuna kitu anamficha??"

Haya Wana, mshaurini binti WA watu anataka msaada
 
Mkataaa pema....
 
Kama mumeo hana michepuko, anza wewe kuchepuka ili simu yako iwe ya moto, ijae amsha amsha
 
Kumekucha

Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka

Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa

"Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA
Haina ex anaemsumbua
Madeni wanaomsumbua
Wadada, mijimama inayomsumbua
Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME, familia yake, Mimi, na dada yangu
Haelewi kwamba huyu mwanaume NI mzima kweli au kuna kitu anamficha??"

Haya Wana, mshaurini binti WA watu anataka msaada
Unapenda sana attention
 
Hawa viumbe kama nyoka tu aliyewapa tunda mpaka sasa hajawah kuwaelewa bas hakuna kiumbe yeyote atakaewaelewa :D
Huyo anaesema cm haina hamsha hamsha akikutana na kimsg kimoja tu hata cha ex kama yupo ni moja kwa moja ICU Viumbe wa hivyo moyo wao ni mdogo :D
 
Back
Top Bottom