wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini mwanamke hukubali kutoka na mume wa mtu badala kumkubali ambaye hana mpenzi?

    Ndugu zangu nitawasalimia baadae kuna swali najiuliza, hivi inakuaje mwanamke yupo tayari kutembea na mume wa mtu ila siyo yule aliye single? Yaani unakuta anaongozwa na jamaa ana mke wake au mpenzi wake na huyo mwanamke anajua kabisa kama jamaa ana mtu na anakubali. Ila sasa nenda wewe ambaye...
  2. Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
  3. Mbunge Kainja na Wanawake wa Manispaa ya Tabora

    MBUNGE JACQUELINE KAINJA NA WANAWAKE WA WILAYA YA TABORA (KATA YA MPELA) MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 16 Julai, 2023 amefanya Mkutano wa Hadhara Kata ya Mpela Wilaya ya Tabora ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kukabidhi Milioni...
  4. Wanawake jifunzeni kuwatunza na kuwaheshimu wafanyakazi wenu wa ndani yasije kuwatokea haya anayopitia mzazi mwenzangu

    Ni dhahiri kuna baadhi ya watu hata ukiwastili vipi au kuwaheshimu vipi au kuwasaidia vipi ipo siku watukufanyia ubaya tu bila sababu ya msingi. Lakini hilo lisiwe ndio chachu ya kuwatendea wengine mabaya, ni bora uwe neutral (mtu wa haki sio mtu wa favors) kuliko kuwa negative. Hii ni kwa...
  5. SoC03 Usawa wa Jinsia, Haki za Wanawake, Watoto, Vijana, na Wazee Tanzania

    Tanzania ni nchi yenye idadi kubwa ya watu, takriban watu milioni 57. Kati ya idadi hiyo, wanawake wanaunda asilimia 51. Hata hivyo, wanawake nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwemo: Ukosefu wa usawa wa kijinsia katika elimu, ajira, na siasa. Ukatili wa kijinsia, ikiwa...
  6. Nachanganyikiwa na Wanawake hawa, Nakuwa kama Zoba

    Mwanamke mweupe wa asili, mweupe hana madoa doa ya kujichubua. Ngozi laini,Mwenye hips.... Aaaargh. Nakuwa hoi. Hawa ndo huwa wananichuna sana. Yaani mi hoi nikimwona mwanamke wa hivi. Nalegea kinyama kwake. Namtizama naanzaje kumla. Sasa sijui ni ugonjwa au ni nini maana sjsi wazaramo pia...
  7. Ukiacha kasoro ya Uchawi Wanawake wa Kirangi ni wazuri kuwazidi wa makabila mengine yote hapa Tanzania.

    Wasalaam JF, Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu, wanatrackoo, wako soft, wanakwanguliwa kisimilo chote hakibaki hata chembe. Ni hayo ukibisha ni wewe tu...
  8. S

    Benjamin Mendy afutiwa mashtaka ya udhalilishaji wa ngono kwa wanawake

    Mahakama imetoa hukumu leo kuhusu kesi ya udhalilishaji wa ngono ambao mchezaji wa zamani wa Manchester City, Benjamin Mendy anahusishwa kufanya na wanawake nchini Uingereza. Mahakama imemkuta Benjamin Mendy kutokuwa na hatia yoyote na hivyo kumuachia huru mchezaji huyu wa Ufaransa. Mchezaji...
  9. Mbunge Kainja na Wanawake wa UWT Wilaya ya Urambo

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew leo tarehe 14 Julai, 2023 ameendelea na zoezi la Ugawaji wa fedha za miradi ambapo amefanikiwa kukutana na kuwakabidhi Wajumbe Wote wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kutoka Kata 18 zilizopo Wilayani Urambo. Tukio...
  10. L

    Wanawake wa China na Afrika watafuta njia za kushirikiana na kutekeleza majukumu makubwa zaidi katika jamii

    Maonesho makubwa ya tatu ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yalifungwa mwishoni mwa mwezi uliopita katika mji wa Changsha, mkoani Hunan, hapa nchini China. Mbali na maonesho ya bidhaa mbalimbali, makongamano kadhaa pia yalifanyika likiwemo ‘Kongamano la Wanawake la China na Afrika’...
  11. Utafiti: Wanawake wanaongoza kwa utegemezi Tanzania

    Wakati jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi katika kuwainua wanawake kiuchumi nchini, ripoti mpya ya Wizara ya Fedha inaonyesha jinsia hiyo bado inaongoza kwa utegemezi. Ripoti hiyo inayohusisha ujumuishi wa masuala ya kifedha kwa wananchi inayoitwa Finscope 2023...
  12. Mbunge Martha Mariki Achangia Milioni 29 Kuinua Uchumi wa Wanawake Mkoa wa Katavi

    MHE. MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 MAKUNDI YA AKINA MAMA MKOA WA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Kata mbalimbali za Mkoa wa Katavi huku akikabidhi Shilingi Milioni 29 za kuwawezesha wanawake...
  13. Tanga: Wenye Mabusha wakataa Kutibiwa na Wataalamu wa Kike, Wasema bora Wafe

    Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
  14. S

    Maajabu ya wanawake kupenda wanaume weusi huku wakitaka kupata watoto weupe!

    Haya ni maajabu ya wanawake. Utasikia napenda mwanaume mrefu mweusi lakini cha ajabu wanapenda kuzaa vitoto vyeupe pee.
  15. Mhadhiri Chuo Kikuu SUZA: Ili Wanawake washinde Uongozi lazima wazielewe mbinu za kujenga Ushawishi Kisiasa

    Na Gaspary Charles WANAWAKE wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi wametakiwa kuelewa mbinu sahihi za kufanya ushawishi katika siasa na uongozi ili kukabiliana na vikwazo vinavyoweza kuwakwaza kushika nafasi hizo katika ngazi mbalimbali. Wito huo umetolewa na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa...
  16. Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  17. Mbunge Kainja aendelea Kugusa na kuwainua kiuchumi Wanawake wa UWT Kata 46 za Wilaya ya Nzega

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Nzega ambapo ameendelea kutoa fedha za miradi mbalimbali yenye thamani ya Shilingi Milioni 81,000,000 katika Kata zote za Mkoa wa Tabora ili kuwawezesha wanawake kiuchumi. Vilevile...
  18. K

    Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

    Wakuu, za siku nyingi? Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu. 1. Iringa 2. Mara 3. Shinyqnga 4. Mwanza 5. Kigoma 6. Simiyu 7. Geita. 8. Mbeya 9. Ruvuma 10. Njombe 11. Tabora 12...
  19. Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. -- “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
  20. Mdau huduma ya vyoo vya Wanawake SabaSaba ya Dar ni mbaya, vyoo ni vichafu

    Mdau ameshusha andiko lake hili hapa, tulisome tunaweza kupata kitu au ikiwezekana wahusika wachukue hatua... Japokuwa maonesho yanaelekea mwishoni lakini si vibaya tukipaza sauti changamoto ya huduma mbovu ya vyoo vinavyotumiwa na Wanawake ndani ya maonesho ya Viwanja vya SabaSaba, kwa ufupi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…