Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Yaani mwanamke mweupe akisifiwa tu yy mzuri.unaweza mla hata bure.
Ni tofauti sana na wanawake weusi.
Mara nyingi huchukuliwa kama sio warembo.
Na hasa hawa wadada wa KIRANGI ,ndo wanagawa sana kama njugu.
Yuko radhi kumtumuku mume.wa ndugu yake papa.
Eee..niongeze sauti au nipunguze...
DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
My Take
Inawezekana Hawa mabinti waasaka maisha au wanakula ujanja kwanza,wakishakuwa mashangazi ndio wanazaa.
======
Why do you think more women are choosing to have children later in life?
For the first time in U.S. history, women over 40 are having more babies than teenagers. The...
Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X
Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama kuanzisha biashara, kujenga nk
Lakini punde si punde akapata mwanaume X wakapendana kwa kadri...
Hello jf members
Hii ni kwa jinsia ya wanawake, je nifanyeje ili ukubali kuwa mpenzi wangu. Maana naona kama kumekuwa na sintofahamu na kupata mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano imekuwa ngumu
Wanawake wenye makucha marefu bandia vidoleni kwenye mikono huwa wanafanyaje mambo mbalimbali kama kupika, usafi, kufua, kutawaza, mapenzi n.k ?
Huwa sio mateso na bugdha?
Habari,..swali langu linaendelea kwa kuangalia takwimu za ajira za ivi karibuni (recent placements) za sekretarieti ya ajira.
Kwa majina ya walioitwa kazini hasa uwalimu wa masomo ya Kiswahili,Kingereza,Historia (hasa Kiswahili)ambayo ndiyo nimeifatilia kwa sehemu kubwa inaonekana kundi la...
Mwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali yake na matamanio yake kuwekwa kuwa namba one priority.
Nimechoka wakuu
Kazi,majukumu na miangaiko nikajiwekea ngoja nitafute chapaa kwanza niache kuoa mpaka nitakapojipata, nikajiwekea nisipate mtoto mpaka nitapojipata nioe kwanza ndio niangaike na kujenga familia Sasa naona umri umeshaenda kibunda hakipatikani
kadri mda unavyoenda naona...
They are soo emotional mature
Mwanamke mkubwa hawezi kuteseka na vitu vidogo vidogo kama kuchelewa kurudi kazini, kuuliza kama una date na mtu kisa amekutext, kufanya upekenyuzi usio na maana
They're so romantic, (sensual)
Wanahisi zaidi in terms of intimacy, na kwa kufanya hivyo humplease...
Wanawake wa kijiji cha Magingo, kata ya Mkongotema wilayani Madaba mkoani Ruvuma, wapo hatarini kupata magonjwa ya zinaa kutokana na kukumbwa na vitendo vya ukatili wa kingono vinavyofanywa na baadhi ya wanaume katika maeneo ya mashambani.
Wanawake hao wameiomba Serikali kuchukua hatua za...
Kuhudumiwa na mwanaume ni suala ambalo wanawake wanakubaliana nalo, lakini ni mfumo dume, ambao wanawake wanaupiga vita. Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni suala la kupigwa vita, sio kupongezwa.
Miaka ya zamani ambayo mfumo dume ulikua umeshika hatamu wanawake hawakua na fursa za kiuchumi na...
Mrembo kutoka tasnia ya bongo land, poshy amedai Moja ya kitu wanawake wanapenda ni ile uwe na mwanaume muhuni kidogo tu kapanda abembelezi ajilizi lizi, yani hood boys.
Ila msafi, sio kunuka bangi pombe, ule usela wa kizamani.
Wanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana.
Kama huna mpango wa kuwasiliana na mwanaume hakuna haja ya kutoa namba ya simu.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama mahusiano ya watu mbalimbali, hasa watu maarufu, na kuna jambo moja limekuwa likinifanya nihoji.
Inawezekana wanawake wengi, kwa asili yao, huvutiwa zaidi na wanaume warefu kuliko wafupi?
Sisemi ni sheria ya asilimia 100, lakini kadri ninavyoangalia mifano...
Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za familia na ndoa namkubali sana.
Media zimeamua kupromoti upuuzi unaofanywa na vijana wachache...
Maafisa wa upelelezi wamewaokoa wanawake 48 katika operesheni mbili zilizofanyika Ongata Rongai na Kiserian, Kaunti ya Kajiado, kufuatia taarifa kutoka kwa wananchi kuhusu madai ya unyanyasaji wa kingono na utengenezaji wa maudhui ya ngono kwa biashara.
Katika operesheni ya kwanza iliyofanyika...
Prisca Kishamba ni mwanamke pekee anaegombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa timu ya Yanga. Kwa heshima ya Rais Samia, wanawake na timu ya wanawake ya Yanga tumchague huyu binti kuwa kwenye uongozi wa Yanga.
Wagombea wote ni wazuri sana lakini Kishamba anaweza kuongeza idadi ya wanawe kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.