figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,812
- 63,268
Imenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume.
Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake.
Mimi siku zote najua gym ni sehemu ya mazoezi. Ama kweli tembea uone.
Siwezi ruhusu Mke wangu aende gym.. Labda twende wote.. Ni hatari.
Wanawake wa gym wanakutongoza wenyewe. Wanakuambia eti uwasaidie zoezi fulani kisha anajifanya kachoka anakuangukia kifuani