Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
Kuna siku nilienda alipopanga demu wangu.Kwa kifupi alinikaribisha vizuri sana hadi tukajikuta sote tukiwa katika nyakati za furaha sana utani mwingi,story Kwa sana na mipango mingi na tulikula tukanywa na hakukuwa na shida bhasi hatimae ule wakti wa kula tunda ukakaribia...
Aisee nilishangaa sana from no where na sio mazoea niliambiwa nimpe simu yangu...Yani bila kugusa popote nimkabidhi simu yangu...katika siku ambayo sikuwa na wazo lolote kuhusu kupekuliwa simu bhasi ilikuwa hiyo siku...imebaki nukta TU papuchi hii hapa naishia kuiona Kwa macho...nilikuwa na wakti magumu sana jasho jembamba lilinitoka nikawaza nikisema nisimpe atanihoji ninaficha kitu gani?Yani confidence ilikata hapohapo bhasi nilimpatia akaipekuwa kila sehemu...aisee nilifukuzwa kama mbwa siku ile...Tokaa**Malaya mkubwa wewe ..utaniambikiza ukimwi...akanisukumiza njee akafunga mlango...
Bhasi mdogo mdogo nikaelekea kwangu...nikasema situmi meseji Wala sipigi simu kiufupi siombi msamaha...ilivofika kesho yake sa moja usiku akanicheki kama sio yeye vile...sijawahi kupewa shoo Kali kama hiyo siku ..mpaka nikajiuliza kitu gani nashuhudia hiki.....somo kubwa hapa nimejifunza ni kumpuuzia mwanamke..ukimpuuzia.
atakupenda zaidi