Kwanini Wanawake tunawaona ni tishio?

Kwanini Wanawake tunawaona ni tishio?

Baba mtakatifu91

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
3,508
Reaction score
7,255
Salamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe.

Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana
1.Tupewe attention na wanawake

2.Kwanini mkazo unaelekezwa kuishi na wanawake kwa akili?

3.Kwanini hata hapa jukwaani hawa viumbe wanaonekana ni tishio kiasi hiki

4.Hii inakatisha tamaa kwa wale ambao hawajaingia kwenye mahusiano

5.Na pia inawajengea wanawake inferiority complex kwamba wao ni wa hivyo hivyo

6.Binafsi natamani sana kuishi kwa usawa bila kuwindana

7.Tusiumize vichwa sana kuhusu hawa viumbe tuwachukulie simple tu

Karibuni
 
Hangaika na kwenda form five. Mengine waachie wenye meno watafune
 
IMG_9242.jpeg
 
Yaani ka kitu kadogo amenikasirikia just imagine tulikuwa tunachati naye kwa style hii
YEYE:MAMBO KIPENZI CHANGU
MIMI: POA
YEYE:NAKUPENDA SITAKI NIKUPOTEZE
MIMI:SAWA
YEYE:NIMEJISIKIA VIBAYA ULIVYONIJIBU SAWA
MIMI:LOADING.....................................................!
Wadau kosa langu liko wapi hapo na mimi ni ngosha siwezi kunyenyekea mwanamke
 
Oya Vinepa mi nasema hivi wanangu haijailishi ni mwanamke gani takutana naye maishani awe feminist,nascissit ama mood swings nitakula naye one plate
 
Yaani ka kitu kadogo amenikasirikia just imagine tulikuwa tunachati naye kwa style hii
YEYE:MAMBO KIPENZI CHANGU
MIMI: POA
YEYE:NAKUPENDA SITAKI NIKUPOTEZE
MIMI:SAWA
YEYE:NIMEJISIKIA VIBAYA ULIVYONIJIBU SAWA
MIMI:LOADING.....................................................!
Wadau kosa langu liko wapi hapo na mimi ni ngosha siwezi kunyenyekea mwanamke
Wewe ni polisi au mjeda?!!

Yaani mwenzio anajimaliza wewe ndo kwanza unamjibu dry dry!
Sio poa mwenetu 🤣🤣🤣

Unajua nini, hao wanaowaambia msiwanyenyekee wanawake muwe mnawauliza vizuri wawafafanulie. Kumjibu mwenzio kimahaba haimaniishi kumnyenyekea. Umeumiza hisia zake mkuu.
 
Wewe ni polisi au mjeda?!!

Yaani mwenzio anajimaliza wewe ndo kwanza unamjibu dry dry!
Sio poa mwenetu 🤣🤣🤣

Unajua nini, hao wanaowaambia msiwanyenyekee wanaume muwe mnawauliza vizuri wawafafanulie. Kumjibu mwenzio kimahaba haimaniishi kumnyenyekea. Umeumiza hisia zake mkuu.
Ningemjibuje sasa nielekeze
 
Salamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe.

Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana
1.Tupewe attention na wanawake

2.Kwanini mkazo unaelekezwa kuishi na wanawake kwa akili?

3.Kwanini hata hapa jukwaani hawa viumbe wanaonekana ni tishio kiasi hiki

4.Hii inakatisha tamaa kwa wale ambao hawajaingia kwenye mahusiano

5.Na pia inawajengea wanawake inferiority complex kwamba wao ni wa hivyo hivyo

6.Binafsi natamani sana kuishi kwa usawa bila kuwindana

7.Tusiumize vichwa sana kuhusu hawa viumbe tuwachukulie simple tu

Karibuni

Hizi mada zipo kwenye debate za kidato cha pili...
Unaonaje ukajadili na wanafunzi wenzako huko shuleni kwani bado wiki mbili tu shule zinafunguliwa
 
Back
Top Bottom