GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,858
Ni kwanini Wanawake wa siku hizi hawana tena Uvumilivu wa Kuhimili Vipigo Vitakatifu (vya Kishalubela) kutoka kwa Wanaume wakati Mama zao walikuwa wanaweza na tena wakipigwa ndiyo walikuwa wakiongeza Mapenzi kwa Wanaume na wala walikuwa hawalii na hawatangazi kwa Watu?