Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana
2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake".
Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute
3.Ukimproach Mwanamke akikutaa...
Watoto ishirini na moja wako chini ya uangalizi wa shirika la ustawi wa watoto nchini Marekani (California), wakati mamlaka zikichunguza wanandoa kutoka eneo la Los Angeles kuhusu tuhuma za kuwadanganya wanawake wabeba mimba kwa niaba (surrogate mothers) kutoka maeneo mbalimbali nchini
Watoto...
Zaidi ya Tsh. Bilioni 82 zimetumika kwa ajili ya mikopo ya asilimia kumi ya Wanawake, watoto na wenye ulemavu
Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo
ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini ilikuwa ni
Bilioni 22.3 ambayo vikundi vya wanawake walipata 4%,
vijana 4% na watu wenye...
Swali lako linaeleza hali unayoiona kwenye jamii, lakini ili kulijibu kwa haki na kwa undani, hebu tuchambue kiukweli:
✅ 1. Si wanawake wote
Kwanza, kumbuka si wanawake wote wana roho mbaya au ukatili. Kuna wanaume wenye roho mbaya pia. Tabia mbaya haibagui jinsia, bali:
✅ 2. Chanzo ni malezi...
🇺🇬Wanaume nchini Uganda sasa wanaweza kuoa wake wengi kisheria, Mahakama ya Katiba imeamua.
✍Uamuzi huo umekuja baada ya Chama cha Wanawake Wanasheria (WPI) kupinga mila hiyo ya wanaume kuoa zaidi ya mwanamke mmoja. Kundi hilo la watetezi lilisema kuwa mitala inadhalilisha, inadhuru, na...
Hili ni swali zito na lenye uchungu, ambalo wanaume wengi wamewahi kujiuliza baada ya kuupenda kwa dhati na kuumizwa vibaya. Hebu tulichambue kwa uhalisia na kwa undani.
Kwanza, swali hili si kuhusu wanawake wote, bali linahusu mwenendo fulani katika uhusiano maalum.
Kwa hiyo: Kwa nini baadhi...
Maonesho ya sabasaba yamefikia tamati jana rareh 13 July kuashiria kilele cha kumalizika kwa shughuli hizo.
Ukiachana na pilikapilika za sabasaba mwaka huu kuna jambo hilo limekua desturi kama utamdani ambao kama sio unakua basi unaendelea kushamiri miongoni mwa wafanyabiashara mbalimbali katika...
Kwema humu
Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa
Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu
Katika umri wangu huu...
Ni ngumu sana tena sana kukutana na bikra Leo hii hili jambo kiukweli linanichefua sana tena sana na hii ni ngumu kukutana na bikra kwa upande wa hii dini yetu pendwa ya kikristo ni ngumu asilani abadani yaani umkute mwanamke bikra wa kikristo hilo ni mwiko kabisa tofauti na kukutana na bikra...
Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa...
Igweeeeeee,
Wakuuu nipo kikazi Tanga kutokea Jiji la Dar es salaam.
Wakuuu Mimi ni Mla Bata Kila ninapoenda sehem ni lazima nihuzurie viwanja vya Wala Bata .
Wakuuu kiufupi Tanga madem wakali hakuna.Dodoma nimetembea I appreciate that place,Kahama shinyanga ,Mbeya Singida Kuna Warembo.
Jiji...
Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa viongozi wawili wakuu wa kundi la Taliban, ikiwatuhumu kuwatesa wanawake na wasichana nchini Afghanistan.
Mahakama hiyo yenye makao yake mjini The Hague ilisema kuna "sababu za kutosha" kuamini kuwa Kiongozi Mkuu...
Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti sana kila kona sifa nyingi zinaenda kwa wanawake wengi wa kiislamu
We fuatilia ndoa nyingi sana...
Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka.
Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
hakika
hawapendi
hii
kaka
kauli
kiumbe
kumsaliti
mchezaji
mke
mume
mume wake
mwanamke
sababu
sababu za
sana
soma
tofauti
wa zamani
waaminifu
wake
wanaume
wanawake
wapole
zamani
Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza swali moja: Hivi ni lini tutaanza kuwajibika kwa maamuzi yetu binafsi, hasa yale ya kiuamuzi kabisa kama kuingia kwenye ndoa, au kuiacha?
Nikiwa mtaa mmoja hapa jijini Dar es Salaam, ubuyu ukamwagwa. Ubuyu si wa kawaida. Ni...
Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako.
Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.