wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake watema Cheche: Wanaume wenye Vitambi 'Wananuka' kiukweli Wanawake wengi hatupendi Kuolewa nao

    Msinigombanie kama Mpira wa Kona sijasema Mimi na ukitaka kujua waliosema nenda Mtandao wa Bongo Mjini usikie. Hivi mnadhani akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tunachukia kutoka Vitambi kama vyenu hatujui kile tunachokiepuka?
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafunzo yatolewwa kulinda wanasiasa wanawake Mtandaoni

    Taasisi ya Pollicy Data Institute Agosti 15, 2025 imeendesha mafunzo kwa waandishi wa habari nchini Tanzania, yakilenga mbinu za kuandika habari zisizowabagua wanawake, hasa wale wanaojihusisha na siasa. Mafunzo haya ni sehemu ya mradi wa kimataifa unaoitwa Vote Women, unaolenga kuongeza...
  3. Akotia

    JamiiForums Tanzania Je kuvaa uniform za kubana kwa jeshi la polisi inaruhusiwa?

    Nimeshangaa baada ya kuona video ya huyu afande akivaa uniform uliyombana.
  4. Think2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kimasai

    Ila wanawake wakimasai kwenye mgegedo hawalii(kujibebisha) yaani kimya kimya daaah kheee apn asee izo sauti zinatoa hamasa sasa tu hata kufanya ashiiit hamna sio kwamba lbd kibamia ila nimashine ya kazi kbs dah Wadau ushawai ona hii
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi tunakaa mbali na simu za wanawake kwasababu ndio njia pekee ya kudumisha mahusiano, Insecurities ni visingizio tu !

    Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa nae nilikuwaga namkubali sana nikijisemea hapa nimefika katika kuishi nae sikuwa na mazoea ya kupekua wala kutumia simu yake ila niliwahi kuijua password yake, basi kuna siku alikuwa ameenda kuoga nikaifungua. Aiseee !! Yule mwanamke ni kiungo mshambuliaji wa...
  6. SweetyCandy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake acheni wivu jitumeni

    Mnawivu sana na ni wachawi sana hadi kero . Kila kitu mmejawa na wivu sana .
  7. U

    JamiiForums Tanzania Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.

    Mithali 31:3
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu umebadilika? Kwanini nyakati hizi watawala wanawake wanaonesha ukatili wa kiwango cha ajabu?

    Kimazoe, mwanadamu wa jinsia ya kike, kwa kiasi kikubwa alionekana ni mtu mwema zaidi, mnyenyekevu zaidi, msikivu zaidi, asiye mdhulumaji. Ilikuwa siyo kawaida kumpata mwanamke akiwa jambazi. Lakini siku zinavyoenda mambo yamebadilika sana. Wanawake wa sasa, wengi wao, hasa waliopata nafasi za...
  9. Mwachiluwi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake embu nijibuni

    Kaka ako akirogwa una mtukana wifi yako ila wewe uko una roga kaka wa mwenzako ivyo ivyo sasa hapo kelele za nini? Sijawai waelewa mnatoaga wapi hayo mawazo muoshwa uhoshwa
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wanajichukia?

    Wapo wanafalsafa waliowahi kusema mtoto anapogundua yeye niwakike anaaza kujichukia , sitaki kuunga mkono sana madai yake lakini nikama yana mwelekeo wa ukweli. Ninaamini kama ungekusanya wanawake kadhaa ukawauliza kama wangependa kuzaliwa wanaume au wakike kama walivyo wangechagua Me (kama...
  11. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Wazazi, acheni kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni

    Hivi nyie akina mama na wale wanawake wenye watoto wachanga, kwanini mnapost vichanga vyenu mtandaoni hususani kwenye WhatsApp status? Mnajisikiaje mnapost kichanga cha siku moja status? Kwani nyie ndio wa kwanza kuzaa? Au mnataka dunia ijue kwamba umezaa ndio maana mnawapost hao wachanga...
  12. Mfilisti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi wanatulia kimapenzi wakifika 30+, lakini wanaume wengi wakifika 30+ ndio kwanza kunakucha (wanakuwa active?)

    Nimekuwa nikiona pattern fulani ya ajabu kwenye mahusiano. Wanawake wengi wakiwa kwenye 20s wanakuwa na nguvu nyingi za kimapenzi, kupenda kujaribu mambo mapya na kubadilisha wapenzi mara kwa mara. Lakini wakifika 30+ wengi huonekana “kutulia” wanapenda mtu mmoja, maisha ya utulivu na mara...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ili aweze kukutii kama kiongozi katika ndoa unatakiwa kumzidi vitu vingi, kinyume na hapo au kumruhusu akuzidi ni risky

    Wanawake ni viumbe ambao ili aweze angalau kuwamudu hata kwa mbali katika mahusiano unatakiwa kumzidi vitu vingi Mzidi elimu, mzidi umri, mzidi kipato, mzidi hekima, ,mzidi urefu, mzidi mbinu za kumkata ulimi akiwa anaongea sana. Vya kumruhusu akuzidi ni akuzidi usafi, ukimya, ucheshi...
  14. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania MAKAMPUNI MENGI MA-HR NI WANAWAKE, KWANINI?

    Hivi hii huwanakusudia nini mara nyingi idara za HR ni wakuu wa idara ni wanawake? Kwanini?
  15. amshapopo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanaosema bora kimoja cha maana kuliko vingi vya kuchoshana. Je kuna ukweli hapa?

    Habari, Hii ni kauli nimeipata kwa mwanamke zaidi ya mmoja wakisema kuna wanaume wanaweza kupiga kimoja cha maana wakatosheka kuliko zaidi ya vitatu tunavyovitolea jasho. Je ni kweli?
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

    Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi? Au ni ulimbukeni tu?? Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer. Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wa kutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KINYUME NA IMANI YA WENGI: WANAUME NI WENGI KULIKO WANAWAKE

    Kinyume na WENGI wanavyo dai, idadi ya wanaume ni kubwa kuliko WANAWAKE. Hii ni kwa mujibu wa takwimu za mwaka hii 2025. https://m.statisticstimes.com/demographics/world-sex-ratio.php
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wa Uganda wanawapenda sana Wanawake wa Tanzania na kwanini Wanawake wa Uganda wanawapenda mno Wanaume wa Tanzania?

    Ninajua hapa kuna Wajuvi na Watafiti wa Masuala mbalimbali ya Kimtambuka hivyo leo Kazi yangu ni Kuujua tu Ukweli.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Huyu "Pastor" Tony Kapola amefikia hatua ya kutukana wanawake wote na dini nyingine? Hii jeuri nani anampa huyu?

    Baada ya tu ya video ya kupuliza gesi kusambaa, jamaa kaja na kebehi na matusi kibao kwa wanawake na jamii nzima kwa ujumla, Kafikia hatua mpaka anatukana dini zingine. mbona kapanick sana Nani anampa hii jeuri huyu Msikilizeni wenyewe
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makandarasi Wanawake watakiwa kutekeleza miradi ya barabara kwa ufanisi

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imetoa rai kwa Makampuni 15 ya Makandarasi Wanawake waliopata fursa ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 20 katika barabara ya Ruanda - Idiwili Mkoani Songwe kuutekeleza mradi huo ipasavyo kwa ubora, uaminifu na muda uliopangwa...
Back
Top Bottom