Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi.
elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially.
Sasa tangu aoe hali imekuwa tete, nasema ni tete kwasababu sio kawaida mwanaume mwenzako kuja kukuomba...
Mwasisi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Edda Sanga amesema udhalilishaji unaofanywa kwenye mitandao ya Kijamii dhidi ya Wanawake Wanasiasa, unajenga taswira kuwa Mwanamke hafai katika ngazi ya uongozi.
Amesema “Kama udhalilishaji huu unakwenda hivyo unavyokwenda, bado...
Leo utakuta kuna ma kungwi yanawafundisha wanawake kuifinyia kwa ndani wakijua ndo solution la kumkamata mwanaume.
Anaye kufundisha mwenyewe hata mme licha anajua hadi kuifinyia kwa ndani bado tu unaunguza mb zako kuangalia.
Hivyo vitu tajwa hapo juu kwa uchache ni ziada tu kwani vinaweza...
Pisi kibao za Dsm na mikoa mingi ukizitoa out huwa ni kama umempa mtoto atm card atumie kwa siku moja, matumizi yao yapo rafu na kikomoaji kununua vinywaji ghali na mavyakula ya bei hadi vya kupeleka nyumbani, atawaita pia marafiki zake ambao ni wazoefu wa kudandia out za wenzao na ni makonkodi...
Unamfanyakazi wako , unaishi naye unamsema vibaya ,unampiga kama mbwa halafu anapika unakula chakula chake kweli ?? Huogopi ipo siku atakuua ataweka sumu kwenye chakula ufe wewe na familia yako .
Jingine unamuachia watoto akae nao hata yule mdogo .
Halafu ukirudi kelele kuanzia uje hadi ulale...
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu hawa wanawake wa siku hizi sipati majibu kwa nini wamekuwa wakorofi wa kutupwa hasa linapokuja suala la hela, Kuna malalamiko mengi uko mitaani yanayowahusu hakina dada na hakina mama wakilalamikiwa kutolipa madeni yanayotokana na haidha kukopeshwa hela...
Kuna mtu nlimsikia anasema siku moja alikuwa na demu wake akasahau mafuta ya nazi. Alitumia mate mpaka yakakauka. Nikajiuliza why atumie mate au mafuta ya nazi?
Mwanamke akikupenda akiwa na hisia au hata asipokupenda ukamwandaa vizuri ukakiita kipapiro/papuchi. Inaitika. Nakwambia... Unaiandaa...
Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!
Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako:
1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri
Anadai...
Hivi huwa mna matatizo gani?
Hili haliusiani na siasa tafadhali sana.
Hapa ilipoandikwa tuende hapo.
Wewe binti leo umekua vimaziwa hivyo
Mabazazi wananyonya.
Wewe binti umezaliwa baba yuko wapi "mamaa oooh:
Aliimba dr remmy
Wema ku**nyoooko..
Haya kwenye majukumu tupeane tu jinsi ya kupiga...
Nimejaribu kuwaza kama ingekuwa sisi wanaume ndio tunatolewa barua na ndio ingekuwa tunatongozwa,
Afu ukute ni msichana fulani hivi mrefu si mrefu mfupi si mfupi yaani haeleweki afu ndio anakuja kwenu kuleta barua,
Nimejaribu kufikiria ni msichana fulani hivi jirani yetu hapa ambaye kiufupi...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Ritte ametoa wito kwa wanawake kuungana na chama cha ACT Wazalendo ili kuitoa CCM madarakani kwa kile alichodai kuwa baadhi ya matukio yanayotokea nchini yanawaathiri wanawake ikiwemo kupotea kwa watoto
" Wanawake amabao ndio wenye...
Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao...
Katika karne ya 19, kulikuwa na kifaa cha kipekee kilichoundwa mahsusi kuwasaidia wanawake kushughulikia matatizo ya gesi tumboni—bila aibu wala kusumbua waliokuwa karibu nao. Kifaa hiki kiliitwa Vanvera.
Vanvera ilikuwa kama pedi au kisahani kidogo kilichotengenezwa kwa vifaa vilivyoweza...
I salute you kinsmen.
Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana .
Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja...
Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limeishauri Serikali kutoa mwongozo wa namna bora ya matangazo ya biashara za nguo za ndani za wanawake kwa kutumia midoli ambayo imetajwa kuchochea mmonyoko wa maadili katika Jamii.
Ushauri huo umetolewa na Baadhi...
=====
Wakuu
viongozi wetu wa Dini wamekuwa wakizungumzia hali ya siasa nchini lakini ni hawa viongozi wa jinsia ya Wanaume (ME).
Wamekuwa wakiikosoa serikali na kuitaka kuwasikiliza wananchi juu ya mabadiliko hawa akina Gwajima wasema mengi kuhusu utekaji sasa vipi kuhusu viongozi wa dini...
Tanzania ina idadi kubwa ya vijana na wanawake. Kwa mantiki hiyo, makundi haya yanapaswa kuwa na nafasi kubwa katika maamuzi ya kisiasa, hata hivyo hali ya sasa inaonesha kuwa ushiriki wao bado ni mdogo, hasa katika nafasi za juu za uongozi na kisera.
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.