Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,326
- 40,593
1.Boyfriend ni jina ambalo unapewa ili upumbuzwe na kubeba rasmi majukumu ya baba wa mwanamke. Inawezekana wapo wahuni ambao hawaitwi boyfriend na wanamnyandua.
2.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako zitatusua ili aibuke na ule msemo wa kitapeli, "kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke" . Mbili, katika list ya wanaume wanaomtongoza chaguo bora zaidi yako bado halijajitokeza. Zingatia: kila mwanamke yupo single inategemea katongozwa na nani.
3.Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. It takes someone to be a fool at high level to sign a contract with a woman who will be rewarded for breaking it.
4.Mwanaume usipoteze furaha yako kwa ajiri ya mwanamke, kwa sababu meza ikipinduka mwanamke hatojifikiria mara mbili kukupoteza wewe kwa ajiri ya furaha yake.
5.Usitumie hela yako kuboresha maisha ya mwanamke. UTAJUTA. Huo sio wajibu wako, ni wajibu wa wazazi na ndugu zake. Narudia tena, UTAJUTA.
6.Hakuna watu wanawapiga vita single mothers kama wanawake wenyewe. Wakalishe chini mama na dada zako waambie unataka kuoa single mother halafu tulia sikiliza michango yao. No woman want her brother or son to be scammed.
7.Wanawake masikini au jobless ni hatari kwa afya na uchumi wako. Wana-date ili ku-survive. Wewe sio mpenzi wake, ni chanzo chake cha mapato.
8.Definition ya upendo kwa mwanamke ni kwa kiasi gani unamtatulia matatizo yake. Ukisitisha huduma au akitokea mwanaume mwingine wa kutoa huduma za juu zaidi yako, upendo utakufa na sacrifices zako zote atazisahau. So don't overdo. Usiruhusu mwanamke akudanganye hajakufatia hela. Women follow you because of what you can offer, their love is transactional.
9.Mwanaume tajiri anaweza ku-date na mwanamke masikini na kumwinua kimaisha, lakini kwenye macho ya mwanamke tajiri mwanaume masikini ni takataka tu.
10. Wanawake hawavutiwi na mwanaume mwema. Mwanamke anamng'ang'ania mwanaume ambae ni careless and rudely kidogo. Anamuheshimu mwanaume ambaye anamwambia "hapana" na anamaanisha kweli hapana, sio mwanaume mwema anaejali sana na kufanya kila anachotaka mwanamke.
11.Wana-edit past zao. Wanaficha taarifa sahihi za body count, abortions na skendos kwa sababu wanajua hizo taarifa zinawaalibia soko. Usimuone yupo na innocent face, huyo tayari ashapigwa pipe na mashine za kila size, ashakunjwa style za kutisha, asha-cheat sana kwenye mahusiano yake ya nyuma. Usalama wako ni kuoa bikira tu.
Don’t be a simp