VictoriaGreenHerbal
Member
- Mar 7, 2025
- 65
- 88
WANAWAKE WENGI WASIOPATA UJAUZITO WANAKOSEA HAPA
WANAWAKE WENGI WANAKOSEA HAPA
Unajua siku zako za hatari au bado unakisia tu? 🤔👉🏾 Ukweli ni huu: Bila kujua mzunguko wako vizuri unaweza kushangaa kwa nini mimba haishiki… au ukaingia kwenye mimba bila kutarajia.
Hatua za Kujua Mzunguko Wako 🩸
Hatua ya 1: Jua urefu wa mzunguko wako (hesabu siku ya kwanza ya damu hadi siku ya kwanza ya damu inayofuata).➡ Mfano: Hedhi tarehe 1 → hedhi inayofuata tarehe 29 = mzunguko wa siku 28.
Hatua ya 2: Tambua siku ya ovulation (yai kuachia).
➡ Hutokea siku 14 kabla ya hedhi ijayo.
- Siku 28 = ovulation siku ya 14
- Siku 30 = siku ya 16
- Siku 26 = siku ya 12
➡ Ni siku 5 kabla ya ovulation + siku 1–2 baada ya ovulation.
Kwa mzunguko wa siku 28, siku hatari = siku ya 10–16.
⚠️ KUMBUKA: Kila mwanamke ni tofauti. Chunguza kwa miezi 3 mfululizo kupata hesabu sahihi.
✨ Unataka ujauzito? Fanya tendo la ndoa siku hizo.
✨ Unataka kuepuka mimba? Epuka siku hizo au tumia njia salama.
📩 Unataka kujifunza zaidi? Comment neno “MZUNGUKO”.
Zikifika komenti 200, nitawafundisha zaidi BURE kupitia WhatsApp Group, jinsi ya:
✅ Kutambua mzunguko mrefu au mfupi
✅ Njia za kutumia mzunguko kubeba au kuepuka mimba
👉🏾 Share post hii kumsaidia dada mwingine anayehitaji darasa hili.
🌸 Kama una changamoto ya muda mrefu na unahitaji msaada wa haraka, karibu ofisini kwetu Mwanza — Mkolani, upate dawa ya kukusaidia mara moja.
🚚 Pia kama uko mbali, huduma inakufikia popote ulipo.
📞 Simu: +255 747 558 143