Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Na kibaya zaidi sasa 75% ya Wanawake wanaopenda hii Dhambi huwezi amini ni Wasomi wazuri tu na Walokole hasa wale ambao Wanaabudu kwa Matapeli Wawili maarufu wa Kawe na Kimara Temboni.
Sasa kazi yangu ni kusoma tu Comments zenu.
Kudadadeki....!!!!!!!
1. ROMBO
a. Wachapa kazi - bulldozer
b. Wana upendo
c. Wabunifu sana kimaendeleo
d. Wana heshimu ndoa
e. Ulevi - hadi gongo na konyagi
f. Ushamba
g. Hawajui kupika
h. Wizi - Mnaposikia wachaga ni wezi basi mjue Mrombo ndie MASTERMIND. Hivyo ukioa Mrombo ujue hela kupotea ndani ni kawaida tu...
Mwanaume nisikilize!
Umasikini unauma zaidi ukiwa mwanaume. Familia inakutazama tofauti sana hata kama haikuambii ila we fahamu tu kuwa kuna vile wanawaza na kukutazama. Ukiwa huna pesa kuna namna fulani watu wanakunyima heshima au wanakukadiria heshima.
Ukiwa huna pesa hakuna anayejali...
Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa kitaalamu kama Hormonal imbalance.
Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia kubwa...
MSAADA NA USHAURI PM IKO WAZI LAKINI USISITE KUSIKILIZA RADIO YETU YA MTANDAONI KWA KUBONYEZA HAPA Jesus News Radio
Kuna wanawake wengi wanaotabasamu mbele za watu, lakini mioyo yao inavuja damu kwa maumivu ya mapenzi, ndoa au mahusiano yasiyo na furaha. Wengine wamevumilia kudharauliwa...
VITO - MADINI - DHAHABU - UTENDAJI WAKE.
MOONSTONE : JIWE LA THAMANI LINALOSAIDIA WANAWAKE KUSHIKA MIMBA!
Sehemu ya nne
Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
Ukisoma Elimu ya Vito, utagundua jinsi ambavyo kuna maajabu makubwa sana katika matumizi yake.
Kuna mamia kwa mamia ya mawe ya vito...
Wanawake muwe na huruma aisee, imagine jamaa anatoka na mwanamke mkoani Kigoma vijijini ndani ndani anaenda nae mjini Dar es salaam, anapambana kufa kupona familia ile ishibe na bills zote zilipwe, then mwanamke baada ya kutakata, kupendeza na kuwa mrembo wahuni wanaanza kumvizia, na yeye alivyo...
Kwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu?
na kwa nn ni emotional creatures?
Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia
Na namna gan ya kuishi nao?
Ee bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji.
Sasa mimi mchongo mzima naujua...
“My Wife Abandoned Me When I Was Banned from Football & Lost My Fame” Paul Pogba said it in an Interview.
Chanzo: The Nairobi Times
Kuna mwingine Mumewe yuko Wodini Muhimbili akiwa Kalazwa Mkewe kaenda kumkumbushia Hela ya Matumizi ya Siku.
Watanzania Salam tuachane nazo tu.
Juzi jioni natoka kazini nikakutana na binti mmoja ambaye kiumbo alinivutia! Ikabidi nimsalimie.
Mara baada ya salaam nilimwomba tuzungumze japo 5minutes, Kwanza alikataa akasema ana haraka anawahi kwenda kupika ametoka sokoni kununua mboga,Lakini baada ya...
KWA siku mwanaume anaangalia maeneo nyeti ya mwanamke yaliyofunikwa nusu au robotatu zaidi ya mara mia.
Ofisini
Barabarani
Biasharani
Kanisani
Kwenye usafiri
Pia social media adds na reel/shorts automatic suggestions ( hata kama hufuatililii utawekewa kamoja) zinavyonza morali ya mwanaume KWA...
Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza sana sana huishia tu kunipiga Mkwara (Kunitishia) kuwa wataniendea kwa Mganga ili nitulie ila ndiyo...
Kazakhstan yenye raia wengi waislamu(70%) kupitia bunge la nchi hiyo imepiga marufuku vazi la niqab katika umma kwa wanawake wa taifa hilo.
Mwaka 2023 Kazakhstan ilipiga marufuku uvaaji wa hijabu kwa wanafunzi na walimu katika shule za taifa hilo.
Katibu wa Chama cha Makandarasi Wanawake Kanda ya Kusini, Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza rasmi kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) katika Kata ya Nachingwea, Wilaya ya Lindi mkoani Lindi.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
Aliyewahi Kuwa Mpenzi Wa #50Cent (Jamira) Amewashauri Wanawake Kukataa Kuwa Na Mwanaume Kama #50Cent Akidai Kuwa Mwanaume Huyo Alikuwa Mchoyo Sana.
#Jamira Anasema Tangu Alipokuwa Kwenye Mahusiano Ya Miaka 2 Na #50Cent Hajawahi Kumpa Hata Shilingi 10, Na Zawadi Pekee Ambayo Aliwahi Kumpa...
Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema.
Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada.....
Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.