wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Dit000

    JamiiForums Tanzania Dunia inakimbia kama rocket, wanawake tupeni majibu tafadhari

    Nawauliza nyie wanawake hivi dunia ya leo unaweza pata mwanaume mwenye sifa hizi zote na ukimpta utajisikiaje? Mpole, sio muongeaji sanaa, namanisha mwenye tunda la upole la roho mtakatifu, wakatoriki nazani mnaelewa kwenye yale matunda ya roho mtakatifu kwenye katekisimu. Anajali...
  2. Karot

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tuweni makini na hawa wanawake wanaojiuza mitandaoni

    Habari za majukumu wakubwa na wadogo... Kichwa cha habari chajieleza hapo juu... Kumezuka mtindo wa akina dada kujiuza kwa style tofauti huku wengine wakiwa ni wanaume wakijipatia nafasi hiyo hiyo ya kuwatapeli wanaume wenzao kwa kivuli cha picha na video za wanawake. Nina mfano mmoja, kuna...
  3. simulizi za kweli

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kukosekana kwa Upendo na Msongo wa mawazo, Chanzo cha mauaji ya wanawake nchini

    Hapa nchini kumekuwa na mauaji mengi na kujeruhiana kati ya wapenzi .Taarifa ya kufunga mwaka ya 2020 ya Jeshi la polisi nchini inaeleza kwamba idadi kubwa ya matukio ya mauaji kwa mwaka 2020 yalikuwa yanahusiana na sababu za wivu wa mapenzi ikilinganishwa na sababu nyingine. Pia jeshi la...
  4. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa mabinti/ Wanawake kujipatia wanaume/ Waume

    Wanapost elimu bandia kwenye mitandao ya kijamii; kujifanya wanawashauri Wanawake wenzao kuwaheshimu na kuwavumilia wanaume/ waume zao. Wanaweza kuwasilisha kwa njia ya maandishi au video fupi (clip) na wakati mwingine hunukuu Maandiko Matakatifu na kwa mwanaume asiyejua kutofautisha dhahabu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naona kama Wanawake wengi hawapiki chakula cha waume zao

    Nikienda migahawani huwa naona wanaohudhuria kula kila siku migahawani ni wababa na vijana tena wenye ndoa zao, ni mara chache sana kukuta mdada anakula kila siku migahawani. Mimi ni bachela, sasa sijajua faida ya ndoa ni nini, kama wanaume waliooa nao wanakula migahawani kila mara kama mimi...
  6. Cmfungua

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

    Kila mwanaume asimame alipo dakika moja kuwapongeza wale mademu ambao huja kwa juu bila kuambiwa Wale mademu ambao kwenye pochi hubeba chupi ya kubadirisha wepewe laki moja na savannah 3 Wale mademu huitoa ndani na wanainyonya alaf wairudishia tena ndani wapewe Pesa na wanunuliwe iPhone 13...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali Wanawake

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaendelea kuhakikisha kunakuwepo Usawa wa Kijinsia licha ya vikwazo vinavyojitokeza‬ ‪‪Amesema hayo akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali Wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa‬ Aidha, amesema hivi...
  8. GUAVA TECHNOLOGIES

    JamiiForums Tanzania SoC01 Teknolojia ina nafasi kubwa kwa Mwanamke kipindi cha hedhi

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litalenga zaidi uhusianishaji wa teknolojia katika kusaidia Maisha ya watoto wa kike katika kipindi chao cha HEDHI. Katika Andiko hili tutazungumzia mambo makuu matatu...
  9. Priscallia

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

    Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje. Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Meya wa Kabul azuia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kwenda kazini

    Meya mpya wa Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, amewaambia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kukaa nyumbani isipokuwa kama kazi zazo haziwezi kufanywa na Wanaume Hamdullah Nomany amesema Taliban imeona kuna haja ya kuzuia Wanawake kufanya kazi kwa muda. Ni kizuizi kingine kuwekwa dhidi ya Wanawake...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanaamini sana Limbwata kumtuliza mpenzi?

    Hata kama mwananmke awe mzuri namna gani lazima ataenda kwa Sangoma ili ajihakikishie penzi lake. Tofauti na wanaume ambao wakipata mwanamke kutumia limbwata huwa ni nadra sana. Sasa tatizi ni nini hasa mpaka wanatumia mizizi? Kwa nini hawajiamini kabisa?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

    My Take: Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira. Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit. Mwana kulitafuta mwana kulipata
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Rais Samia aliposema kuwa 2025 ni zamu ya Wanawake, Sisi Wakurupukaji wote tukadhani kuwa huenda Yeye ndiye atagombea?

    Wakati nikiyasubiri kwa hamu sana Majibu yenu hapa naomba nipatiwe Mbinu ya kuwa karibu mno na ama Waziri wa Ulinzi Dk. Stergomena Tax au hata Familia yake tu, ili ikiwezekana kuanzia 2025 niwe na uhakika wa Kuezeka Kakibanda Kangu kanakonitesa na kunihangaisha kwa muda mrefu kutokana na...
  14. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanawake huwa na agenda ya siri kwenye ndoa?

    Salaam wanaJF! Kuna riwaya moja, nilikutana na mtazamo huu kuwa wanawake huwa na agenda za siri kwenye ndoa zao na sio Mapenzi. Kuwa na agenda ya siri haimaanishi kuwa ni nia ovu, bali ni sababu halisi na sio inayosemwa/kuonekana. Je, hili lina ukweli kiasi gani? Esi’s main problem was that...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wizara muhimu zote zinaongozwa na Wanawake (Ulinzi, Afya, Elimu, TAMISEMI, Teknolojia, Foreign) sasa tunasubiri Jaji Kiongozi

    Ni kweli kwa sasa Wanawake wanaweza wao wenyewe bila kuwezeshwa kwa sababu wizara zote wanazoongoza so far zinafanya vizuri. Mulamula yuko vizuri, Ndalichako anasonga mbele, Ummy anatuvusha na Gwajima anazidi kutuimarisha. Hata bungeni Dr Tulia anafanya vizuri sana pamoja na Katibu wa bunge...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

    Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume. Pili...
  17. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

    Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo. Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako. Leo umesisitiza kuwabeba wanawake kwa kuwa hapo zamani wanaume walibebwa Sana kwenye siasa, hivyo sasa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

    Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu #HakiZaBinadamu Umoja wa Mataifa (UN) umesisitiza Nchi kuheshimu na kulinda Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa Habari pamoja...
  20. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni hili jambo Rais Samia kuzungumza na wanawake wa Tanzania siku ya Demokrasia duniani

    September 15 ni siku ya kimataifa ya demokrasia duniani ambapo nchi mbalimbali duniani hupata fursa ya kujadili demokrasia ya nchi zao na wadau husika wa demokrasia katika nchi hizo kama vile vyama vya upinzani. Sasa sielewi mantiki ya Rais Samia Suluhu Hassan kuitumia hiyo siku ya leo...
Back
Top Bottom