Msemo wa wanawake hawapendani

Kiplayer

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,000
1,568
Wanaume wenye changamoto katika mahusiano ni miongoni mwa evidence zinazoupa nguvu msemo huu wa wanawake hawapendani. Ili mwanaume utofautiane na mwanamke lazima mfanane tabia, wote mmiliki tabia za kike au kiume. Like poles hupishana.

Mara nyingi katika mahusiano mwanaume huambukizwa tabia za kike kwa hiyo wote mnakuwa kama wanawake, hamuwezi kuelewana kamwe

Wanaume tujitahidi kulinda tabia zetu za kiume ili tudumu katika mahusiano.
 
Kuna baadhi ya wanaume wame chukuwa kazi ya wanawake ya umbeya, utalikuta dume zima linakuhadisia umbeya nabaki kujiuliza hili si mbususu lakini.



Lunatic
 
Back
Top Bottom