Wanawake wa hivi ni wa kula tu, usioe

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,779
Hapa hakuna chuki, tunatoa maelekezo kwa vijana wanaotafuta wake.

Wanawake wa namna hii ishia kula tu, usidhubutu kuoa.

1. Wanaovaa vikuku. Kama unabisha mpeleke kwa mama yako akiwa na kikuku.

2. Waliotoboa pua.

3. Wanaovaa suruali za kubana na vimini. Kama unabisha mpeleke kwa baba yako akiwa na mini.

4. Wanaopenda club na pombe kwa wingi.

5. Waliojichubua,anakuwa kama kapanya kamepakwa unga.

6. Wanaotoa kinyume na maumbile.

7. Wanaopanda vyeo kisiasa sababu ya kuwa karibu na wazee wa chama,wakati mweupe.

8. Mwanamke asiye na akili.

9. Mwanamke mwenye tatoo

10. Mwanamke anayetumia tako kama msingi wa biashara

11. Mwanamke msela kujimiksi na wavulana ni laana.

Ongeza na wewe bila chuki
 
Hapa hakuna chuki, tunatoa maelekezo kwa vijana wanaotafuta wake.

Wanawake wa namna hii ishia kula tu,usidhubutu kuoa.

1.Wanaovaa vikuku. Kama unabisha mpeleke kwa mama yako akiwa na kikuku.

2.Waliotoboa pua.

3.Wanaovaa suruali za kubana na vimini. Kama unabisha mpeleke kwa baba yako akiwa na mini.

4.Wanaopenda club na pombe kwa wingi.

5. Waliojichubua,anakuwa kama kapanya kamepakwa unga.

6. Wanaotoa kinyume na maumbile.

7. Wanaopanda vyeo kisiasa sababu ya kuwa karibu na wazee wa chama,wakati mweupe.

8. Mwanamke asiye na akili.

Ongeza na wewe bila chuki
Wanawake wanaotaka wewe utii sheria zake🚮🚮
 
Hiyo Namba 6 itakudanganya Mkuu...asipotoa kwako; kuna sehemu atakwenda kutoa. Hivyo ni heri uile tu...isiwe kigezo cha kuacha kuoa.
 
Back
Top Bottom