Mnaobambikiwa watoto na kuwakubali wakizaliwa kwakuwa tu wamefanana nanyi hizi ndizo mbinu kuu za wanawake wenu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Mwanamke yoyote akiwa ameshabeba Mimba / Ujauzito kwa Mwanaume mwingine na anataka Mtoto akizaliwa afanane nawe (Mume / Mpenzi halali) na umkubali hufanya haya.

1. Atakuvizia Usiku ukiwa Umelala Fofofo kisha anakuruka mara Mbili tu na hapo Mchezo unakuwa umeisha.

2. Atakulazimisha muende Bafuni mkaoge wote na Maji yale yale ya Ndoo Moja atalazimisha myaogee wote
.

Hizi ni Mbinu za Kiutamaduni (Kienyeji) ambazo Wanawake wa Kale (wa zamani wamezitumia) katika kuwabambikia Waume zao / Wapenzi wao Mimba na Watoto enzi hizo na bahati mbaya hata Wanawake wa sasa (tulionao) nao wameigundua na wanaitumia kwetu Sisi Wanaume na ama hakika Wanatubambikia kweli kweli.
 
Mie hapo sina ujanja na mtoto ntamkubali tu 😂 naomba Mungu tu mwanamke ataenizalia asinichezee shere anibebee bao langu kweli.

Maana hali ni mbaya sana mtu anaenda kufunuliwa huko kitu kikikatikia kwa inside anakuletea mbususu chap chap tu na kukutengea uloweke. Ukiloweka tu tayari ushabeba mzigo usio wako. Hii ni hasa kama mlikuwa hamna maelewano vizuri mara ghafla ukashangaa unaambiwa ana mimba yako loh!
 
wakati anakuruka ukiwa umelala fofofo tendegu/chaga moja la kitanda linaachia pachaaaaaa.... wote chaliiii ... and the game is over

ya nini haya yoteeee, unaingia kwa ndoa unaenda hangaika tafta watoto kutoka kwa waliokacha kukuoa ama alokataa usioane naee
 
Mie hapo sina ujanja na mtoto ntamkubali tu 😂 naomba Mungu tu mwanamke ataenizalia asinichezee shere anibebee bao langu kweli.

Maana hali ni mbaya sana mtu anaenda kufunuliwa huko kitu kikikatikia kwa inside anakuletea mbususu chap chap tu na kukutengea uloweke. Ukiloweka tu tayari ushabeba mzigo usio wako. Hii ni hasa kama mlikuwa hamna maelewano vizuri mara ghafla ukashangaa unaambiwa ana mimba yako loh!
Kuna dada angu kicheche katumia huu ungese baada ya kuona ndoa inaenda kombo akamtegea mimba mume wake hapo wana mtoto ana mwaka mmoja na nusu tayari ikabidi jamaa arudishe maelewano kwenye ndoa tu walee watoto...Mjomba aliyezaliwa mapema mwaka huu huwa namuitaga mjomba wa mchongo😂
 
Back
Top Bottom