Wakuu habari.
Nawaza nilivyo spend kwa huyu msichana lkn at the end I got nothing. Msichana nimemrushia nauli, kaja kwangu kakaa siku 2 tumefanya mapenzi katumia hela, kaondoka nimempa nauli.
Almost nimetumia zaidi ya 80000 kwa siku mbili..nawaza nachoka[emoji3061][emoji3061] Hii pesa...