Wanawake wa miaka hii kwa mnafahamu kuwa wanaume wamepunguza kuwatongoza?

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
4,501
2,000
Miaka ya 2000 kwenda mbele wimbi la wanaume wamepunguza kuwatongoza na tena kipindi hiki cha mama ndio kabisa.

Tunafahamu wanawake wana mambo mengi wanayo hitaji ila kwa sasa ni too much kwa miaka hii.

Zamani mwanaume aliweza kumudu wanawake hata watano na wote kuwa mudu kiuchumu.

Ila sasa imekuwa tofauti kwa wale wanaoingia kwenye mahusiano na walio na mahusiano.

Ukijaribu kuongeza au kuingia kwenye mahusiano na wanawake wa sasa awe mfanyakazi, mfanyabiashara, wanyumbani n.k.

Kitakacho kutokea ni mwendo debt kwake mpaka utakoma.

Wanaume wenzangu nimekuja na msemo wangu. "hukitaka kufilisika mwanaume haraka mwendo wa 4G miliki wanawake kuanzia wawili kwenda mbele"
 

Kunguru wa Manzese

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
6,121
2,000
.
IMG_20211201_141042.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom