Wanaume ambao hatujawahi kukutana na bikra tujuane hapa

Bwajilo

JF-Expert Member
Dec 5, 2021
345
880
Nilijiwekea msimamo wa kuoa mwanamke mwenye bikra, ila nikajikuta nakuwa mfuska wa kubadili wanawake kwa kutafuta kitu ambacho kiuhalisia kwa Tanzania Sasa hivi ni nadra. Wanaume wenzangu tambueni kuwa kwa Sasa hii kitu ni adimu wanawake hawajitunzi tena.

Niseme sijui mnaokutaga bikra mnapataga wanawake wa Sayari gani? Hivi hawa wanawake wenye kujitunza bado wapo? Au wenzetu mnatembea na vitoto vya standard four au five?

Mimi na ungurubange wangu wote nimekutana na idadi ambayo hata siifahamu ya wanawake lakini hakuna hata mmoja niliemkuta Virgin. Kwa mtu anaesubiri kukutana na wanawake bila kifungo cha sheria bikra ni sawa dhahabu shimo la mchanga, haipoooo.

Je Kuna wanaume wenzangu ambao mna bahati mbaya kama Mimi? Hamuijui bikra na hamtarajii tena kuijua kutokana na umri hauruhusu kukutana na umri tarajiwa wa bikra?

Na mliobahatika kukutana ni hii kitu tupeni uzoefu wanaume wenzenu kwamba ni umri gani ni likely kukutana na hii kitu?

Je ni kweli mwanamke utakaemtoa bikra huwa akusahau maishani mwake kote?

NB
Wanawake jitahidini kutunza wabinti waliochini yenu, wanaume wengi tungetamani kuoa wanawake wa sample hiyo. we
 
Nafurahi Hadi sasa mke wangu ni Mimi nilikata utepe japo ilinichukua miaka3 ya kusumbuana na nilivumilia yote japo inahitaji moyo wa kipekee Kwa msimamo alio kuwa nao, alikuwa kama kaweka nadhiri Hadi amalize diploma ndiyo nikajitambulishe na mambo mengine yafuate, nilijitahidi na yote yaliwezekana
 
Hongera mkuu, mimi nilifeli katika pitapita zangu
 
Biblia inasema katika mwanzo 2:18 kuwa Mungu atakupa wa kufanana na wewe

Wewe sio bikira Halafu unatafuta mwanamke bikira Mungu hawezi kukupa

Utayapata yanayofanana na wewe ambayo bikira iishabomoka zamani kama wewe ulivyo
Achana na hayo maandishi mbona wauni wengi tu wanazifumania
 
Na hao wanaojisifu kuwa wameoa mabikra wasiwe na hakika sana. Siku hizi zipo mpaka za kutengeneza. Unakuta kitu kimesoma mileage mpaka hakisomi tena halafu kinaenda kurudishwa mileage mpya.

Unakuta mtu ana sugu ya uchi, macho makavu lakini kitu mnato. Ukipiga siku mbili tu kidume unaelea kwenye pango halisi.

Kwa dunia ya sasa bikra ni utu wa mtu na maamuzi yake mwenyewe ya kutulia na wewe hata kama alikitembeza sana huko nyuma. Lakini hawa wa bikra za chini ndio wanaokuja kuongoza kuwa mapasua kichwa.
 
Nimecheka sana. Kuna mmoja mimi mpaka leo simzingatii japo yeye anadai kuwa mimi niliyeitoa bikra yake. Siku ya tukio sikuona viashiria vyovyote vya damu wala ugumu wa kuingia. Kutoka hapo akaniambia nimetoa bikra yake ila kiukweli ni hapana.
 
Me sijawai kutana na ile ya njia iliyojaa tope
IMG_1047.jpg
 
Nimecheka sana. Kuna mmoja mimi mpaka leo simzingatii japo yeye anadai kuwa mimi niliyeitoa bikra yake. Siku ya tukio sikuona viashiria vyovyote vya damu wala ugumu wa kuingia. Kutoka hapo akaniambia nimetoa bikra yake ila kiukweli ni hapana.
wapo wengi wa hivyo siku hizi. Nenda instagram uone wanazitangaza hizo bikra za kuuza.
 
Nilijiwekea msimamo wa kuoa mwanamke mwenye bikra, ila nikajikuta nakuwa mfuska wa kubadili wanawake kwa kutafuta kitu ambacho kiuhalisia kwa Tanzania Sasa hivi ni nadra. Wanaume wenzangu tambueni kuwa kwa Sasa hii kitu ni adimu wanawake hawajitunzi tena.

Niseme sijui mnaokutaga bikra mnapataga wanawake wa Sayari gani? Hivi hawa wanawake wenye kujitunza bado wapo? Au wenzetu mnatembea na vitoto vya standard four au five?

Mimi na ungurubange wangu wote nimekutana na idadi ambayo hata siifahamu ya wanawake lakini hakuna hata mmoja niliemkuta Virgin. Kwa mtu anaesubiri kukutana na wanawake bila kifungo cha sheria bikra ni sawa dhahabu shimo la mchanga, haipoooo.

Je Kuna wanaume wenzangu ambao mna bahati mbaya kama Mimi? Hamuijui bikra na hamtarajii tena kuijua kutokana na umri hauruhusu kukutana na umri tarajiwa wa bikra?

Na mliobahatika kukutana ni hii kitu tupeni uzoefu wanaume wenzenu kwamba ni umri gani ni likely kukutana na hii kitu?

Je ni kweli mwanamke utakaemtoa bikra huwa akusahau maishani mwake kote?

NB
Wanawake jitahidini kutunza wabinti waliochini yenu, wanaume wengi tungetamani kuoa wanawake wa sample hiyo. we
Hizi mada zenye mrengo wa kugegeda yani ni nzuri Sana. Uongozi wa JF inabidi kuwapa tuzo waleta mada kama hizi kuwapa motisha. Yani jamvi linachangamka kichiz. Tansnia ya ngono ndio Kila kitu ukiondoa hela.

Big up mleta mada na JF

Screenshot_20210312_222257_com.android.chrome~2.jpg
 
Back
Top Bottom