Wanaume tujitafakari sana

Jayfee

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
310
1,040
Wakuu habari.

Nawaza nilivyo spend kwa huyu msichana lkn at the end I got nothing. Msichana nimemrushia nauli, kaja kwangu kakaa siku 2 tumefanya mapenzi katumia hela, kaondoka nimempa nauli.

Almost nimetumia zaidi ya 80000 kwa siku mbili..nawaza nachoka Hii pesa ningeisave je? Au familia yang ingefaidi km ningewapa.

Maan natafakari apa nishafany mapenzi lkn sijaon nilichopata kabis zaid ya kuanz kuwaza hela yangu..afu msichana mwenyew sina naye future kabisa.

Wanaume mnatumia mbinu gani kutospend sna kwa mademu?
 
Hii 80 inayokunyima raha mkuu ni hii hii ya kitanzania ya noti 8 za teni-teni?

Umeshalala na mtoto wa watu siku 2 unamtumia asubuhi, mchana na usiku kweli unalalamika mkuu?

Wewe mapenzi hayakufai, jikite kwenye nyeto mkuu hautajuta.

Kwa uchumi wa saiv mkuu parefu apo..
 
Unatutia aibu mkuu, unalalama 80k, wakati hiyo no hela ya hotel usiku mmoja Tu??
Garama za chini kulala na mwanamke siku 2 asiyetoka nje ya dar:

Uber 20,000 kwenda na kurudi
Chakula 30,000 siku mbili
Vinywaji 20,000 kama atakunywa savana
Hotel 60,000 za bei rahis siku 2
Akiondoka unampa hata 20,000

Hii ni low bajeti kabisaaaaaa
 
Vitu vingine ni kujiwazisha tu...

First year to second year nlitumia ada kwenye simu kabla hatujafungua chuo(kuingia 2nd year)......nilikutana na kidem kinatoka jkt tukapanga tukaonana mwanza nkaenda hotel makini pale buzuruga nikalipa 100k siku mbili (50k per day).Nikazibua bikira ile na matumizi mengine siku mbili zikaisha kila mtu akaenda kwao

Sikuwaza chochote wala nini maisha yakaendelea
 
Unatutia aibu mkuu, unalalama 80k, wakati hiyo no hela ya hotel usiku mmoja Tu??
Garama za chini kulala na mwanamke siku 2 asiyetoka nje ya dar:

Uber 20,000 kwenda na kurudi
Chakula 30,000 siku mbili
Vinywaji 20,000 kama atakunywa savana
Hotel 60,000 za bei rahis siku 2
Akiondoka unampa hata 20,000

Hii ni low bajeti kabisaaaaaa
Kwenye kikao chetu wanaume hatujakubaliana hivi kabisa
 
Screenshot_20210918-201346.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom