Wanaume msiowatunza mama zenu hii niaibu kabisa

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,888
Wadau wangu leo naongea nawaheshimiwa fulani wanaojidai wamezaliwa na wamama wakwe na wake zao.

Iwafikie woteee ambao hawajawatumia mama zao pesa za matumizi tokea wawe nafamilia iwafikie wakaka wote ambao hawawatumii mama zao hela ya matumizi.

Tumeenda leo kidogo kuwasalimu watoto na wazee wasiojiweza.
Nyie wanaume peeh mama anawatoto 9 nane wanaume mwanamke mmoja kahudumia hadi kachoka .
Dah! Watu mmesomeshwa na huyo mama mkatunzwa vyema wala hamjishurutishi kumtumia vocha ya buku nyumba inavuja mvua inamnyeshea hivi nyie mnataka nini??

Asilimia kubwa mnacheza cheza tu mijini mkishaishiwa mnakuja oh mama nisaidie hapo hadi zile pisi kali zimewakimbia.
Mtajijuu kabisa kabisaa. Mnajiona mpo juu kama ndege angani.

Hata hela ya dona hamumpi mama yako , hivi friji limejaa kabisa chakula kimejaa kabisaa kwako hadi unawapa mbwa ila kusema mama unaendeleaje wewee hakunaga.

Anaumwa anajitibu na dawa za miti shamba. Ila mama wakwe ndio wanapendeza , magirlfriend wenu wanang'araa hai hii ni mbayaaa.

Oneni aibu basi unapigilia pamba mama yako mamayako hana hata maji yakunywa nguo za ndani hana umekaa huku umepanga nyumba nakupa gishia videnti vya shule aibu zenu .

Ogopeni shida zitakazowakuta kwa mama mlio waacha mataani.
Aibu kwenu nyie mnaokula makasaza na hamjui wazazi wenu wanaishije nawakati wao ndio wamewafikisha hapo.

Usiku mwema ... mnakera kama nini nahuku naushaidi tosha kuwa mnafanya hivyoo.
 
Umeishia darasa la ngapi mbona kuandika huwezi?

Wewe ungekuwa na roho nzuri usingetoa Mimba .. maana sifikirii muuaji akawa na huruma na Binadamu tangu dunia kuwepo.
 
Wewe ni mwehu basi kwa sababu ni mimi ndio nimesema nimepatwa na shida wewe ndio unahesabia kuwa mshenzi humtunzi mama yako mie nimekutoa lini laana wewe
 
Unakula bata mama yako anajisaidia kwenye choo ambacho juu hakina paa, mlango ni kipande cha gunia, ni cha shimo unakanya magogo na mabanzi, full nzi.
Tuwajali mama zetu ndgu zangu.

Kina mama ambao ni wahanga zaidi ni wale wanaoogopa watoto wao, mama hana neno juu ya mwanae. Wamama wanaofaidi ni wale maneno mengi, atamcharua mwanae mpaka anatuma ela.

Sio wanaume tu, sote hilo ni jukumu letu.
 
Umeishia darasa la ngapi mbona kuandika huwezi?

Wewe ungekuwa na roho nzuri usingetoa Mimba .. maana sifikirii muuaji akawa na huruma na Binadamu tangu dunia kuwepo.
Mama wa marehemu anajifanya kutoa ushauri kwa watoto wa watu wakati wa kwake alimuuwa!
 
Back
Top Bottom