Dada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira.
Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira.
Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka...
Nguvu za kiume ni janga. Tena wengi unakuta ni waliooa ambao pia walikuwa viwembe sana. Nina mashoga zangu watatu wamekuwa wakilalamika sasa juu ya waume zao kukosa nguvu kabisa
Mpaka naanza waza au michepuko kuna dawa wamegundua wanawawekea waume wa watu wakirudi kwao jogoo asiwike? Kwanini...
Jamani za leo?
Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu.
Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 .
1. Wanaume msiojielewa.
Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko...
Nimekaa hospital moja hapa mjini naona wakinamama na mimba zao.
Hakuna hata aliyeambatana na mume au aliyesababisha mimba. Mbaya zaidi wamama Afya hazijakaa vzr kabisa, wako kinyonge nyonge kabisa.
Tujaribu kuwana kaupendo kidogo. Na tujue Wanaume wote na tabia zetu hizi za kutekeleza wenzetu...
WANAUME WA AFRIKA.!
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".
2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WaSenegal.
3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10...
Habari wadau!
Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao!
Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi!
Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
Huyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aisee, ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii, hadi wanaume amewashinda.
Hii ngoma yake inanifanya niwaze sana.....
Huu hapa yuko na Mama Angelique Kidjo.....
UTANGULIZI
"Kila mwaka watu 703,000 wanajiua idadi ya wanaume ikiwa mara tatu ukilinganisha na wanawake" (Shirika la afya Duniani)
Pamoja na kuwa baadhi ya jamii zinaamini mwanaume kujiua ni hatua ya ujasiri; Mkazo/Msongo wa mawazo,Kukosa kazi,Kutengwa/Unyanyapaa,mizozo ( hasa katika...
Kumekuwa na mtazamo wa kimazoea hasa Katika nchi za Afrika, Kuwa mwanamke hawezi kusimamia jamii na nchi kwa ujumla, maranyingi mwanamke huonekana kama mtu ambaye uwezo wake wa kusimamia hutegemea muongozo wa mwanaume na Kuwa mwanamke mwenyewe hawezi kusimamia na kufanya maamuzi hata Katika...
Pamoja na kwamba soka ni ajira, soka pia ni kielelezo cha taifa. Soka huitangaza nchi yoyote iwayo; kuiheshimisha na kuiaibisha. Kwa muda mrefu sasa, timu zetu za taifa za soka za wanaume zimekuwa hazifanyi vyema ukilinganisha na zile za wanawake.
Timu zetu za soka za wanawake zimekuwa...
Ukatili wa kiuchumi unaofanywa na baadhi ya wanaume wa Kata za Nzera na Kakubiro, Mkoa wa Geita wakati wa msimu wa mazao, unasababisha kufanyiwa ukatili wa kingono pindi msimu wa mazao unapomalizika.
Wakizungumza leo Jumanne Septemba 6,2022 wakati wa mafunzo kwa kamati za Mpango wa Taifa wa...
Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
Historia ya ulimwengu kuna nadharia za kiimani na za kisayansi ambazo zimetofautiana jinsi ya kuelezea kuumbwa kwa ulimwengu mzima na vilivyomo ndani ya ulimwengu huo.
Kwa mujibu wa sayansi ulimwengu ulitokea baada ya migandamizo na milipuko ya gesi mbalimbali na kuunda ulimwengu ambao...
Kwa wale ambao mmezoea kushiriki ngono bila kutumia Kinga chukueni ushauri ufuatao;
Pindi unapomaliza kushiriki tendo usirudi kuendelea kulala amka chap uwahi msalani kukojoa na kuosha uume wako Vizuri.Hii Ni kwa faida yako binafsi.
Hakuna mtu anayekuja kukushauri hivyo Tena.
Thank me later.
Mimi kama mwanaume halisi ninayejua majukumu yangu ni marufuku mke.
1. Uvaaji wa soksi na sedosi unaleta taafasiri mbaya sana.
2. Kujichubua na kutumia aina yoyote ya dawa za kubandilisha rangi.
3. Kunikumbatia au kuleta viashilia vya mahamba mbele ya watu, pamoja na kunishikashika ovyo...
Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa, kupigana, kutukanana hadharani, watoto kupigwa hovyo, n.k.
Tukija hata hapa bongo tushazoea kuona pombe...
Good Sunday to everyone. Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada.
Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli kwamba yeye anaye mtoto amezaa na dada fulani somewhere.
Sasa huyu dada kila akisoma nyuzi humu...
Kwa ufupi, nipo kikazi mkoa fulani kwa bahati mbaya/nzuri nimekutana na binti nilibahatika kuwa nae kimapenzi na nikamhudumia kwa miaka kadhaa nyuma kabla ya kwenda nje ya nchi kujiendeleza kimasomo.
Leo cha kustaajabu nimekuja mkoa X kikazi nimekutana nae akiwa anakata mauno hadharani kwenye...
Wizara ya Afya imekuwa ikiwataka wanaume kuhudhuria leba pindi wake zao wakijifungua ili kusaidiana na mama mzazi katika majukumu tofauti ikiwemo kuhakikisha mtoto ni wa mzazi sahihi.
Kufuata vifaa ama bidhaa dukani kwa ajili ya mama mzazi, kumshika bega mama mzazi pale anaposhindwa kutembea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.