wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr DIY

    Kwenu wanawake: Lini mtatuelewa wanaume!

    Kuna mwenzenu huku (wife) amenitumia msj zenu za ku forward sijui katoa wapi akisisitiza niisome (nita share hapo chini), nikakumbuka wanawake wengi huwa wanasahau kwamba wanaume hatujaumbwa kusikiliza maneno mengi ili kupata point moja, niliishia kusoma heading na pale mwisho nikagundua alie...
  2. JanguKamaJangu

    Utafiti: Wanaume wanakufa kwa Saratani kimyakimya

    Imebainika asilimia mbili tu ya Wanaume ndiyo wana uelewa kuhusu Saratani Mkoani Mwanza, hivyo kuwafanya baadhi yao kupoteza maisha kwa ugonjwa huo bila kujitambua. Utafiti uliokusanya taarifa katika vituo vya Afya 50 mkoani hapo kuhusisha watu 1,120 ni Wanaume 11 pekee kati ya 560 waliohojiwa...
  3. Nyamwage

    Wanawake hiyo haki yakusema mmetuvumilia sisi wanaume na hali zetu ngumu mnaitoaga wapi?

    Hi Mwanamke how unawezaje basi sema hata tumevumiliana maana hata na wewe pia nilikukuta una hali ngumu ya kiuchumi
  4. IamBrianLeeSnr

    Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake

    Kwa kawaida mtu anayeamini kwamba, ni dhaifu, hujaribu kwa kila njia kuficha udhaifu wake, na moja ya njia hizo ni kujikweza ili kujaribu kumshusha yule ambaye anadhani anamzidi. Mtu asiye na nguvu anaweza kujitahidi kupiga kelele, kupiga ‘mikwala’ na vitisho, na watu wanapomwogopa, hupata...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Pesa isiwe kipimo cha Utu, familia na taifa litaangamia

    PESA ISIWE KIPIMO CHA UTU; FAMILIA NA TAIFA LITAANGAMIA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Nataka watu waelewe kuwa Maisha hayana maana yoyote Kama hautajali utu wako na utu WA watu wengine. Tafsiri sahihi ya Upendo ni kujijali utu wako na utu wa wanaokuzunguka. Koo kubwa zote zenye nguvu...
  6. Bridger

    SI KWELI Maji ya madafu yanasababisha ugonjwa wa Mabusha

    Inaaminika kuwa ugonjwa wa mabusha husababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Madai haya hupata mashiko makubwa zaidi kwa kuwa tatizo hili huwapata wanaume wengi wanaoishi Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi, ambako madafu hupatikana kwa wingi. Madai haya yana ukweli kiasi gani?
  7. Kilenzi _Jr

    Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

    1: Punguza wasiwasi: Hebu lifikirie tendo kama njia ya kujifurahisha sio njia pekee ya kutafuta kutoa mbegu, hii itakusaidia kuondoa mawazo ya kutafuta mbegu na kuchelewa kumaliza. 2: Fanya taratibu: Picha za ngono zinadanganya sana watu kwamba kulala na mwanamke lazima ufanye kwa haraka...
  8. Samia atosha tukutane2030

    Wanawake ni wabahili sana. Wanaume tusikubali kufanywa wajinga

    Hi! Mwanamke hata kutumia fedha ambazo amezizalisha kwenye biashara yake anaona hasara Mwanamke hata kutumia mshahara wake kununua mahitaji yake anaona hasara. Cha ajabu ukimtoa out na kumwambia awe free kuagiza chochote unaweza kuona anaagiza kuku nusu wa sh. 10000, juice ya sh. 5000. Hii...
  9. mcshonde

    Wanaume kujifanya wanawake Bar

    Jamani, hivi karibuni nilipost instagram video tatu za vijana ambao wameshtukiwa baada ya kujifanya wanawake kisha kuwaomba pesa washkaji bar. Mademu hao vidume huwa wanategea mtu alewe kisha wanakubaliana naye kwenda kulala na ndipo ataomba pesa ya kinywaji, mara pesa ya kumnunua..nk..ndipo...
  10. Maria Nyedetse

    Tabia hii wanaume mtaiacha lini?

    Salam Wanajamvi, natumai wote mko poa kabisa! Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Mungu wetu Bwana wa Viumbe vyote ametuumba Jinsi mbili za ME na KE. Kuwa Me au Ke haina maana kuwa uko superior au less superior to the opposite sex, bali sote tunategemeana katika kuyaishi maisha haya...
  11. Vifaranga200

    Mahusiano yanatutesa sana wanaume: Najitahidi nitulie nafsi inakataa

    Mahusiano yana mengi kwenye nafsi za wanaume wengi. Najitahidi nitulie nafsi inakataa, inamtaka huyu mrembo. Ndugu zanguni, najua si Mimi tu ninaesumbuliwa na mahusiano ya mwanamke mmoja wa miaka 28. Huyu mrembo hajaolewa bado. Anapenda pesa Sana, kila siku lazima nimpatie 30k uwezo wangu...
  12. Lycaon pictus

    Kwanini Mbeya na Manyara wanaume ni wengi kuliko wanawake?

    Ni kwanini?
  13. Kijakazi

    Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

    Majibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao, lakini ni wajinga kwani wasichokijua ni kwamba Wanaume ni wachache kuliko Wanawake kwa sababu Wanaume wanakufa mapema kuliko Wanawake, Kibaologia uwiano kati ya Wanawake na...
  14. Samia atosha tukutane2030

    Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

    Hi! Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao. Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume...
  15. ERTUGRUL BEY

    Ndio Maana Wanaume Tunakufa Mapema

    Tangu tukiwa wadogo tumekuwa tukiambiwa wewe ni mtoto wa kiume Acha Kulialia jikaze, tangu lini umeona mtoto wa kiume analalamika hovyo! Haya na mengine mengi yamemjenga mtoto wa kiume kumeza machungu yake yeye mwenyewe pasina kuomba msaada Kwa watu wengine,kumemfanya kupambana na mitihani...
  16. Masai wa Town

    Kumbe na wanaume wafupi wanataniwa, nilidhani Ni wanawake tu!

    Na wao hutaniwa kwa majina ya unyanyapaa, mfano kiswaswadu, rungu, nyundo nk. Leo ndiyo nimefahamu😅 Afadhali yangu Mimi siyo Mfupi. Ni hela tu ndiyo bado sina 😅
  17. To yeye

    Wanaume mtujibu

    Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaani? Mbali na kuwazaa, kuwalea mkakua, kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje? Mfano mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje, nitawajibu nawaona kama nyumbu! Maana tabia ya nyumbu ni kusahau, akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika...
  18. GENTAMYCINE

    Wanaume wanaofika mshindo mara mbili pekee huwa na afya ya mwili na akili kuliko wale wanaozidisha

    Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na akili zao kuwa kubwa kuliko ile mipopoma inayopenda kufanya goli tatu (hat-rick ) au zaidi, ambao kwa...
  19. Surya

    Nguvu za kiume na nguvu za kike, wanaume hatulalamiki

    Tendo la ngono lina mambo mengi aisee na sababu nyingi sana. Kiukweli nimekua na tabia ya kumuuliza hili swali mwanamke ambaye nimehisi katokea kuvutiwa na mimi ama hela zangu. Lazima niulize unahisia na mimi kweli tusije kwenda kusumbuana tu, au hisia zako zipo kwenye pesa yangu tu? Iko hivi...
  20. Stroke

    Wanawake wanatuzuga tu ila wanaume ni watu muhimu sana

    Haikuwa makosa vitabu vya dini kumtambua mwanaume kama kichwa cha familia, hii ni kweli na ushahidi wa hilo upo. Nimekaa mahali hapa nakunywa maji kama rejeta nikisindikizia na chipsi mayai alizozikandia Rais wetu, wanawake wawili waliyokua wamekaa meza mbili mbele yangu kwa muda kama wa nusu...
Back
Top Bottom