wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Mjane aolewa na wanaume watatu kwa pamoja akiwemo shemeji yake

    Nellie akiwa na waume zake watatu Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni’, Nellie kutoka Nigeria ameitoa ile dhana ya mwanaume kuoa wake wengi bali mwanamke pia anaweza kuolewa na wanaume wengi baada ya kuolewa na wanaume watatu. Jimmy, Hassan na Danny ndio waume wapya wa Nellie na wameamua...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu hii tabia ya kupost vyakula mnavyokula kwenye status zenu huwa mnamaanisha nini?

    Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya 😋😋. Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
  3. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Hapa ndio wanaume tunafeli

    Wanaume wengi tunaamini pesa ndio kila kitu kwenye mahusiano, yaani ukiwa na mke na watoto unamini wakila vizuri, wakivaa vizuri, watoto wakienda shule nzuri Mama yao akipata mahitaji yote sijui salon, nguo nzuri nk basi upendo utadumu na familia itakuwa imara na bora Aisee nikuambie kitu...
  4. tecknologia23

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnapenda kutunzwa sio vizuri jishughulisheni

    Nyie mnapenda kutunzwa kabisa hampendi wajibu wenu . Kama wanaume mjue ni laana kutunzwa mtageuzwa Kwa kupenda dezo Mtalazimika kuvishwa vikuku miguni,nashangaa kiunoni sio matusi ila nikweli . Siku njema haya maisha ni yakuangalia sana . Kila mwanamke anamtu wakeanayejitolea ikiwemo ndugu...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda athibitisha maneno ya bibi Titi kuwa wanaume ni waoga kwenye kupambania Uhuru, Haki na Demokrasia

    Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru CDE Mary Chitanda amesema kwa kunukuu ukurasa wa 52 wa kitabu cha Bibi Titi Mohammed ambaye aliandika kuhusu nafasi na ushiriki wa...
  6. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

    Wana wa Tanzania amani iwe kwenu. Me Leo wala sina mambo mengi .....natamani tu kujua wale wenzangu mnaowapanga wanawake au wanaume zaidi ya mmoja, wawili au watatu au zaidi mnawezaje? Me ningekamatwa day 1 kwakweli. Yule shost angu aliyetulizwa kimazabe mazabe ndo ilikuwa zake.... yule hata...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna ukweli kuwa Waarabu walikuwa wakihasi watumwa wanaume

    Imezoeleka sana kwa watu kusema kuwa Uarabuni hakuna watu weusi kama Amerika licha ya watumwa wengi kupelekwa huko. Wengi hudai kuwa waarabu walikuwa wajiwahasi watumwa wakiume ili wasizaliane. hili naona si jambo la kweli hata kidogo. Sababu ni kuwa kitendo cha kuhasi mtu kilikuwa ni kitendo...
  8. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wanawake ndiyo wanaongoza kuwasema vibaya wanaume mbele ya watoto

    Habari za asubuhi, Wana JF Hivi kwa nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto Najua tupo kwenye ugomvi Mambo ya chumbani yaishie ukouko ndani, unayaleta mpaka sebuleni mbele ya watoto haipendezi watoto watajifunza nini. Wanawake mjifunze hii tabia sio nzuri...
  9. mama D

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tina kwa wanaume wachepukaji

    Muwe na jioni njema Kaka mkubwa anasema Interlacustrine R Mwenye macho na asome na kuelewa Mwenye maskio na asikie
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Mwanamke, Wanaume tusidanganyane hatuwajui Wanawake

    Mnaweza kupanga na Msichana muonane lakini ukifika muda wa kuonana yeye akaamua kupiga zake usingizi . Ukaamua kumsubiri kwenye kona ya nyumba yao na ukatamani mpaka ukagonge hodi, lakini utasemaje ? Lengo lake akupime akili tu! Loh Wanawake hawa Kijana wa Watu unarudi ghetto kulala kumsubiri...
  11. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

    Waungwana na wasio waungwana nawasalimu. Ninaandika haya nikiwa na masikitiko mengi sana... Niko kwenye tukio moja la kifamilia ambapo imelazimu watoto wote wa mji husika kuwepo. Ni tukio kubwa kiasi kwamba hata sisi tusio ndugu tumeshiriki. Nimeumia kuona katoto ka nje ambako kwa makadirio...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Bravo Group Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike Wala za Kiume. Wanawake Wasichague Kazi, Wanawake Madereva Wazuri Kuliko Wanaume!, Wapongezwa!.

    Kampuni ya Usafirishaji Makontena, ya Bravo Group Limited Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike na Kiume. Madereva Wanawake wa Malori Wapongezwa na Wanawake Wahimizwa Wasichague Kazi Umetolewa mwito kwa wanawake kote nchini, wasichague kazi, na badala yake wachangamkie kazi zozote wenye uwezo nazo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuwanyanyasa wanawake. Ni upuuzi

    Yaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake. Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence kwa wanawake. Ni stupidity. Respect ni kitu cha bure. Its free, not sold. It's very painful.
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume wakimbia familia zao kutokana na hali ngumu ya maisha

    Kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini na hivyo kusababisha upungufu wa chakula. Kwenye baadhi ya maeneo baadhi ya wanaume wamekimbia nyumba zao na kuwaacha wanawake na watoto pekee katika familia. Baadhi ya wanawake Wamekuwa wakijitaftia ridhiki kwa kwa kutembea umbali mrefu kuelekea...
  15. Faana

    JamiiForums Tanzania Wamama wa Dar mtawaua Wanaume wa mikoani kwa presha

    Tupo na jamaa zangu mitaa ya Mawasiliano Dar, kuna jamaa toka Mbande sijui iko wapi, amekuja jijini akiwa na zawadi kwaajili ya rafiki yake wa kike waliyekutana naye mtandaoni, wamewasiliana na huyo mwanamama akafika mpaka lodge alipofikia akiwa na bodaboda, akaingia ndani aliko mja wake, baada...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

    Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu. Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara (Musoma)...
  17. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Matamanio ya Weekend kwa wanaume wengi

    NB: Woooote isipokua bwana dronedrake , Stress Challenger, mzabzab, 😂😂
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuache Ubinafsi

    WANAUME TUACHE UBINAFSI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani Nilikuwa natoka Mashariki kuelekea Magharibi, sasa nitatokea Magharibi kurudi Mashariki. Kaskazini kwenda kusini kisha , kusini kurejea Kaskazini kama pepo za Kusi. Hivyo ndivyo safari yangu ilivyo. Niite Taikon wa Fasihi, Kutoka Nyota...
  19. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Aisee kuna wanaume wavivu

    Waungwana salama, Yaani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena. Unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo. Naomba mnielewe yanii anapokojoa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanaume watatu wafungwa miaka 75 kwa ubakaji wa Kutumia Silaha

    Mahakama Kuu nchini Ghana imetoa adhabu hiyo kwa Genge la Watu hao baada ya kuwakuta na hatia ya kuwaibia na kuwabaka baadhi ya Wafanyakazi wa Kujitolea wa #Uingereza huku wakiwa wamewaelekezea Bunduki. Washtakiwa wamekiri mashtaka yote manne (Kula Njama, Wizi, Ubakaji na Kumiliki Bunduki bila...
Back
Top Bottom