Wanaume na Wanawake Tuepuke kuoa au kuoelewa na Wanawake au Wanaume wenye Ma Ex Wengi

mazaga one

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,463
3,932
Nimejaribu kufanya utafiti wangu miaka mingi sana kuhusu mahusiano,Uchumba hadi ndoa.Na nikajua humu nikaona kampeni za vijana kuhusu kukataa ndoa.

Ila Kwa Hitimisho langu ni kwamba chanzo Cha Usaliti,heshima ndani ya Ndoa au hata kwenye Uchumba kutokuwepo inatokana na mtu kupitia mahusiano mengi kabla ya kuwa na mahusiano mapya au kuingia kwenye Ndoa.

Mfano; Kuna wanaume Leo yupo na Huyu atampa Sifa zake,Kesho yupo na Fulani pia atamchoka na kumkumbuka wa Nyuma.

Vivyo hivyo Kwa wanawake,unaweza ukawa nae ukamfanyia jambo Fulani asilipende akaanza kumbukumbuka wa nyuma na kuanza kukulinganisha,mwishoe usaliti na dharau ndipo zinapoanzia.

Ila ukibahatika kukutana na mpenzi ambaye ni mgeni kwenye sekta ya Mapenzi mtaheshimiana sana na kila Mmoja kuona thamani ya nwenzake.

Wanaume wenzangu Kwa wanawake tuombe tukatane wote wageni na tujifunze kila kitu Kwa pamoja.Unakuta upo na mwanamke anakwambia nishike hapa,mara oohh nifanye Kwa hivi,Daahh Huyu ujue lazima ashazoeshwa alikotoka huko..

Na Wanaume pia unakuta Upo na mwanamke unaanza kuona hakupi ulivyovizoea huko Nyuma,mara kufinyiwa Kwa ndani,sijui nini,Yaani vurugu tupu, Hapa lazima utaanza kumsaliti mke wako au mchumba wako.

Ndoa ni ibada,ndoa upate mtu sahihi,Ndoa sio Ngono,Kuna mengi ndani ya Ndoa.

Nawasilisha
 
Sio kitu kizuri kumwambia mwanamme wako akufanye hivi,ni Bora mfundishane,ila ukianza wewe akili yake lazima itampa picha Tofauti kabisa.
Me nasema vizuri akiichukulia negative fresh akiichukulia positive na yeye atakua free kunambia anavyotaka
 
Uko sahii,
Kuna maex walaaniwe wanazingua sana
Wanapenda mtu afu wakiacha a wanaacha legacy mbaya Sana itayoathiri mahusiano ya mwingine asiye na hatia

Mfano Mimi,
Nagombana sana na mpenz wangu mamaJ, sababu maex wake (almost wote)

Walikua mafala au tuwaite nice guy,
Yaan walimsikiliza Sana,kumpa attention na chochote kile atakacho kwa MDA atakao. Kwa kifupi aliwapelekesha Sana.

Sasa ile huo mfumo kategemea kuukuta pia kwangu, kakuta ndivyo sivyo.

Basi kila siku full tafrani,
Anatamani Sana kunibadilisha niingie Kwny mfumo wake ila inashindikana.

Tunagombana Sana
Kila Mara kulingisha na Maex wake
 
Me nasema vizuri akiichukulia negative fresh akiichukulia positive na yeye atakua free kunambia anavyotaka
Mfano nyie wanawake,hata tabia nyinginezo za kuomba Hela,unakuta mtu sawa anakupa Hela lakini ulizoea nyuma huko kupewa hela Kubwa kuliko unayopewa na mpenzi wa Sasa....
Mara tabia nyinginezo,oohh Hanifikishi,sijui nini Yaani full kulinganishwa.
 
Uko sahii,
Kuna maex walaaniwe wanazingua sana
Wanapenda mtu afu wakiacha a wanaacha legacy mbaya Sana itayoathiri mahusiano ya mwingine asiye na hatia

Mfano Mimi,
Nagombana sana na mpenz wangu mamaJ, sababu maex wake (almost wote)

Walikua mafala au tuwaite nice guy,
Yaan walimsikiliza Sana,kumpa attention na chochote kile atakacho kwa MDA atakao. Kwa kifupi aliwapelekesha Sana.

Sasa ile huo mfumo kategemea kuukuta pia kwangu, kakuta ndivyo sivyo.

Basi kila siku full tafrani,
Anatamani Sana kunibadilisha niingie Kwny mfumo wake ila inashindikana.

Tunagombana Sana
Kila Mara kulingisha na Maex wake
Umemaliza kila kitu Mkuu,na hii inatesa watu hadi kwenye Ndoa,kisa mifumo ya Nyuma alikopitia...
 
Back
Top Bottom