Wanaume wengi siku hizi wamebadilika

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,891
Anaandika, Robert Heriel

1. UKWELI, KUJIAMINI NA MSIMAMO VIMEPUNGUA
Ilikuwa ni Tabia ya mwanaume halisi kusema Ukweli pasipo kupindisha pindisha maneno bila kujali ataonekana vipi.

Wakati Kwa Mwanamke ni Haki yake kuongea Kwa kuangalia ataonekana vipi kwani lengo la Mwanamke ni kupendwa.

Kwa mfano Vijana vijiweni wanatakiwa kuchanana makavu live kwani hiyo ndio Tabia halisi ya mwanaume, lakini siku hizi sio maofisini, sio makanisani, sio vijiweni Vijana wamekosa ule uthubutu na ujasiri wa kuambiana ukweli, matokeo yake Wanaume wamekuwa Wanamajungu, wambeya, Wanafiki, wanasengenyana ambazo sio tabia ya Mwanaume.

Taikon amekosea, muite, mwambie Oya Taikon unajua siku hizi umekuja kuwa mtu wa ajabu Sana, kuna 1,2,3,4 Kwa kweli tabia hizi sio nzuri. Lakini Kwa sababu wanaume wengi siku hizi ni kama Wanawake Hawana huo ujasiri, hawajiamini, hivyo wanashindwa kusema Ukweli.

2. KUTAFUTWA KUPENDWA
Mwanaume halisi hatafutwi kupendwa Ila anatafutwa kuheshimiwa. Mwanaume yeye ndiye anatakiwa kupenda na sio kupendwa.

Mwanaume yeyote anayetafuta kupendwa kamwe hawezi kuheshimiwa kivyovyote vile. Kwa sababu atapoteza Sifa ya kuwa mwanaume. Lakini mwanaume anayetafuta na kuhakikisha analinda heshima yake basi atapewa heshima na kupendwa.

Lazima ieleweke kwamba, heshima ndio inatangulia ndipo upendo ufuate Kwa upande wa Sisi wanaume. Hivyo kama unataka kupendwa basi ni lazima uhakikishe unaheshimiwa Kwanza.

Upande wa mwanamke, upendo unatangulia kisha ndipo aheshimiwe. Ndio maana ninawaambiaga Dada zangu, ukishapendwa basi jitahidi ufanye vishughuli vya hapa na pale ambavyo vitakufanya ujitegemee na kujimudu kimaisha. Kwani ili mahusiano yawe matamu Kwa Mwanamke utangulie kisha heshima ifuate. Na hauwezi kuheshimiwa kama ni tegemezi.

Mwanaume ili uheshimike kisha baadaye upendwe lazima uwe na Sifa zifuatazo;
1. Akili ya kiume
2. Uchapakazi na mzalishaji wa Mali Kwa kiwango kinachoridhisha
3. Msimamo, kujiamini na ujasiri
4. Maono, uwe na uwezo kuona siku zijazo.
5. Upendo, Haki na Ukweli

Sasa mwanaume mzima unaogopa kuiambia jamii Jambo Fulani sio zuri ATI Kwa kuogopa hautapendwa, seriously!

Mwanaume kutwa kucha unawaza kujiremba, ati kuwa mtanashati, hivi hizo Akili za Maisha utazipata wapi
Ni ngumu Sana Kwa MTU mwenye Akili za kike kuishi na familia, yaani kumuongoza MKE na Watoto.

3. WENGI WANA FIKRA YA KUONGOZWA
Wanaume wengi siku hizi wamekosa Akili ya kuwa viongozi na Watawala. Fikiria mwanaume anasema ati mchungaji amesema, au Sheikhe amesema, au Mama amesema, yaani lenyewe kama lenyewe haliwezi kutoa fikra zake kuiongoza familia yake. Ni kwamba halijiamini. Haamini kuwa Akili yake inaweza kuwa sahihi.

Uvivu wa kufikiri ndio unawafanya Vijana wengi WA siku hizi kukosa mawazo ya kujiongoza wao wenyewe na kuongoza familia zao.

Wanawake wao kiasili ndio wameumbwa kuongozwa, yaani wao mawazo yao yameumbwa kuwaza vitu vyepesi vyepesi. Hivyo ni Haki yao kuwa hivyo walivyo.

Sasa kijana mzima anawaza urembo hiyo Akili ya kuongoza atatoa wapi?

Wanawake kamwe hawatoweza kuvumilia mwanaume asiye na fikra za uongozi na utawala.

Yaani mwanaume linalotegemea ushauri wa watu, hiyo ni Tabia ya kike.

Lazima ieleweke kuwa Mwanaume ndiye mtatuzi wa changamoto zake mwenyewe na za Familia.

Ndio maana ukipata tatizo labda kazini labda ni kufukuzwa kazi, ukirudi nyumbani na mawazo, Mkeo atajisikia vibaya ni kweli, atakuuliza mbona upo hivyo, utamjibu, atashtuka, alafu atakupa pole na usijali lakini baadaye litafuata swali, sasa utafanyaje? Au itakuwaje?

Hilo ni swali analoulizwa kiongozi au Mtawala kujua Way Forward.

Sasa ni lazima kama Mwanaume uwe na Way Forward.

Kama utaanza kujiliza Liza kama Mwanamke ooh sijui wamenionea, sijui blah blah! Alafu hauna Njia ya kutokea, niamini huyo Mwanamke ataanza kukutilia mashaka, na Mwanamke akikutilia mashaka matokeo yake yanajulikana, hofu na dharau vitaanza kumea.

Mwanaume kama kiongozi hupaswi kuwa MTU wa Kulia Lia, kuwa mtu wa Solutions uone kama kuna Mwanamke anakimbia wanaume wenye solutions.
Mwanamke ni kama Paka, kamwe hawezi kukubali kuishi na mtu asiye na solutions.

Ndio maana hata siku Moja huwezi Kuta mwanaume anaenda kuomba ushauri Kwa Mwanamke lakini ni Jambo la kawaida kukuta Mwanamke anaomba ushauri Kwa mwanaume. Kwa sababu mwanaume ni mwalimu WA Mwanamke.

Sasa unakuta ati mwanaume mzima ati anaenda Kwa mchungaji Mwanamke ATI kutafuta ufumbuzi😂😂😂. Kwa Mwanamke hakuna ufumbuzi hasa WA muda mrefu.

Kwa sababu macho ya Wanawake hayaoni Mbele, na sio kwamba hayo ni mapungufu hapana Ila ndio asili iko hivyo.

Hivyo Wanawake ni wazuri wa solutions za papo Kwa papo lakini lazima solutions hizo zipimwe na Mwanaume kuona kama zinamadhara Huko mbeleni au Laa!

4. WENGI HAWANA ILE ROHO NGUMU YA KIUME.
Sio kosa Kwa Mwanamke kuwa na huruma, Wanawake nyoyo zao ni lainilaini Sana. Hawawezi kuhimili vitu vizito au maamuzi magumu.

Ndio maana Wanawake hawatakiwi kwenye ishu ya uongozi wa familia hasa kwenye Maadili ya Watoto.
Mfano mtoto amekuwa Shoga, Kwa roho ya mwanaume mtoto huyo anatakiwa alambwe Shaba, auawe ili kuondoa aibu na Laana kwenye jamii.

Lakini Mama hawezi kubali mtoto wake auawe na hiyo ni Haki yake kabisa,
Lakini mwanaume Kwa vile yupo kwaajili ya jamii na dunia nzima ni lazima afanye baadhi ya maamuzi magumu Kwa usalama wa jamii na Dunia.

Wanaume wengi siku hizi hasa vijana wanashindwa hata kutoa talaka yaani Roho zao ni nyoronyoro, yaani hata kama Mwanamke kamdhalilisha vipi yeye anabaki kulalama hizo ni Tabia za kike.

Ni Sawa na mwanamke ambaye anasumbuliwa na Mume wake, ananyanyaswa na kukandamizwa, mine wake anamsaliti kila Leo alafu Kwa vile Hana Roho ngumu anashindwa kumuacha huyo Mwanaume.

Ndio maana ninawaambia Dada zangu, kupendwa ni Haki yenu, na lazima mtafutw wanaume wanaowapenda lakini hakikisheni Msiwe tegemezi, hakikisheni mnajimudu, hakikisheni mnazaa Watoto ambao mnawamudu hata mkiachana leo Hii na huyo Mwanaume iwe Kuachana Kwa Kifo au Kwa talaka.

Sio ubakie na mawazo ya kuhudumiwa tuu mwishowe ndio Yale ya kuteseka. Ipo Raha ya Upendo na Heshima. Na hayo ndio mahusiano yanayodumu. Kimoja kikikosekana hapo lazima Moto uwake.

Ngoja nikalale, nimetoka lindoni.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mtoa mada una umri gani!?..au nimezeeka Sana maana vitu hivi tukijadili 1990s huko
 
Wewe mwenyewe uko nyuma ya keyboard unatype huna hizo sifa .... motivation speaker
 
Mkuu ni kwel usemayo , ila ukifikir kwa umakini zaid utagundua unafki unalipa zaid.
 
Nchi zilizoendelea sana kama Uingereza, Denmark, Sweden, Finland, New Zealand, Australia ni kawaida kwa wanawake kuwa wengi maofisini kuliko wanaume. Hii inakuja kwa kasi Tz na nguvu ya asili ya mwanamke pasipokuwa na mfumo dume itaonekana wazi.
 
Back
Top Bottom