Wanaume watatu wafungwa miaka 75 kwa ubakaji wa Kutumia Silaha

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,117
Mahakama Kuu nchini Ghana imetoa adhabu hiyo kwa Genge la Watu hao baada ya kuwakuta na hatia ya kuwaibia na kuwabaka baadhi ya Wafanyakazi wa Kujitolea wa #Uingereza huku wakiwa wamewaelekezea Bunduki.

Washtakiwa wamekiri mashtaka yote manne (Kula Njama, Wizi, Ubakaji na Kumiliki Bunduki bila kuwa na Vibali) ambapo kila Mshtakiwa amepewa kifungo cha miaka 25 jela pamoja na kufanya kazi ngumu.

Walitenda makosa kwenye nyumba ya wageni Desemba 2018 na kukamatwa baada ya kutambuliwa kupitia picha zilizochukuliwa kwenye mashine ya ATM walipoenda kutoa pesa kwa kutumia Kadi za Benki walizoiba kutoka kwa waathiriwa.

=============

A Ghanaian gang of three has been sentenced to a combined 73-year jail term in jail for robbing and raping some British volunteers at gunpoint.

The trio had pleaded guilty to all charges of conspiracy, robbery, rape and possession of firearms without lawful authority.

A High Court in Accra sentenced each of them to a maximum term of 25 years jail term.

Justice Mary Maame Ekue Yanzuh said the convicts will serve their jail term with hard labour.

The three were accused of committing the offences at a guest house in December 2018.

They were arrested after being identified through footage from an ATM machine where they had gone to withdraw money using a bank cards they stole from the victims.

Police caught up with them after triangulating one of their phones.

The third suspect, who prosecutors say owns a Nigerian passport, fled to Nigeria but was extradited to Ghana for prosecution.

BBC
 
Back
Top Bottom