Huyu ndio Mwanamke, Wanaume tusidanganyane hatuwajui Wanawake

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,523
14,391
Mnaweza kupanga na Msichana muonane lakini ukifika muda wa kuonana yeye akaamua kupiga zake usingizi . Ukaamua kumsubiri kwenye kona ya nyumba yao na ukatamani mpaka ukagonge hodi, lakini utasemaje ? Lengo lake akupime akili tu! Loh Wanawake hawa

Kijana wa Watu unarudi ghetto kulala kumsubiri, appointment masaa yanakimbia, mtu hatokei , unaamka na Kwenda kwao, unasikiliza kama wanaongea, husikii sauti yake, unasema labda mmpeshina njiani unakimbia kurudi tena ghetto , hapo unawauliza mpaka majirani vipi hivi Fatuma kapita njia hii?

Wanakwambia hawamjui, unatoka tena mbio mpaka kwao, mara unasikia sauti ya Fatuma akipiga stori ndani, hana mpango kama unamsubirii muda mrefu tu. Hapo utatamani useme kwa sauti kubwa tu We Fatuma si niko hapa nakusubiri??. Lakini unaishia kuumia kwa hasira. Wanawake bhana sijui huwa wanajua??

Mwanamke anaweza kushinda na Shosti yake vizuri wanapiga stori, watapika, watakula Pamoja na kutoka out Pamoja , lakini mwenzao akiondoka tu utasikia “ Gauni lake zuri kweli lakini amekosa miguu, halafu wanaangusha mpaka na kicheko hahahahahaaa!
  • Kuna Dada alipita Saluni kusafisha Wigi lake, Alipoondoka wadada wa Saluni wakaanza kuponda eti kasukia Wigi kaa kofia la Askofu. Huyo anayeponda sasa ukimuangalia alivyosuka utadhani amebeba Kifaru anaelekea Ukraine. Ningekuwa na uwezo ningewagawa bure hawa watu!
  • Mwanamke akipewa zawadi na Mpenzi wake anaona ni sawa lakini Kaka yake akifanya hivyo kwa Mpenzi wake utasikia ‘’ Huyu Kaka sio bure atakuwa karogwa. Ni Wanawake wachache sana hapa duniani wanaweza kuvumilia pale wanapaona Mwanamke mwenzao anapopata jambo jema.
  • Unaweza mpigia simu hata mara kumi na asipokee kumbe anakuwa ameiacha chumbani yeye yuko barazani anakula umbeya na mashosti zake. Hata akiichukua simu hajisumbui wala kuhangaika na missed call kujua nani alikuwa anamtafuta. Akiona ulimpigia atakubeep hata kama unamnunuliaga vocha kila siku!
  • Yeye anachojua vocha ikiisha ni kubeep tu ili utume nyingine akawaapigie wasiompa vocha. Ukitaka kujua hizo vocha huwa anampigia nani atakwambia hunipendi kwa sauti ya Wema Sepetu, Baharia unalegea . Wana sauti za maigizo hawa viumbe , kulala njaa labda wapende wenyewe.
  • Usipoteze muda kumjua Mwanamke. Mwanamke ameumbwa kupenda tu . Hutaki acha!
  • Mwanamke anaweza kukupenda bila sababu na kukuchukia bila sababu pia kwa sababu kupenda na kuchukia sio wajibu wao!
  • Mwanamke ni kama Askari hana muda na watu waliotulia , yeye muda wake na majitu pasua kichwa, Akipata Mwanamume Tajiri atalalamiki hapewi mapenzi na akipata Rofa mwenye bidi atalalamika hampi Pesa!
  • Wanasaikolojia wanasema kama utaamua kumchukua Mwanamke na kuishi nae itakuchukua miaka 25 kumuelewa , kwa lugha rahisi utamuelewa Mwanamke mmeishazeeka sasa ya nini kujisumbua ? Wewe mpende tui li siku zako za kuishi hapa duniani ziwe nyingi , Sasa Wewe mchunguze ili siku zako za kuishi hapa duniani zipungue.
  • Unaweza kumnunulia gari la thamani na asikuthamini lakini atamthamini yule anayemnunulia mafuta ya shilingi elfu kumi gari ikizimika barabarani! Mungu ni fundi nyie!!!
  • Unaweza kumpa pesa ya kununua nyama kilo 50 na asikushukuru lakini atamshukuru yule aliyempimia ile minofu ya nyama bila mifupa!!
  • Unaweza msomesha mpaka chou kikuu na asikuthamini lakini akaja kumthamini yule aliyemlipia Chai na Chapati tatu pale kazini> Unajua ni kwanini? Iko hivi ; Kama hauwezi kumsaidia Mwanamke leo atakuona humpendi na haijalishi umemsaidia mambo mangapi huko nyuma!
  • Anadaiwa kodi laki mbili na ukamsaidia laki moja na elfu tisini , atakayemalizia ile shiling elfu kumi kwake huyo ndiyo Mwanamume. Huyo ndiye atakayepewa zawadi ya Ushindi. Kwahiyo kuanzia sasa Wewe Mwanamume unayesoma huu ujumbe kuanzia sasa Mtu wako akiwa na shida usianze drama eti ooh nimekusaidia mengi lakin huna shukrani. Hizi utajua mwenyewe Mwanamke ni kama treni haangalii nyuma. Unataka ageuke nyuma awe jiwe la chumvi kama mke wa Luthu??? Thubutuuuu!!!
  • Ni wajibu wa Mwanamume kumpenda mwanamke lakini unavyozidi kumpenda ndivyo anavyozidi kujiweka mbali na Wewe. Inakuwa kama unamvuruga
  • Wanawake huwa wanaamini katika vitu vidogo vidogo ili wavifanye kuwa vikubwa. Ukimpenda kidogo atakupenda sana, ukimfokea kidogo atayakuza sana, Ukimpiga kibao atasema ulitaka kumuua
  • Unaweza ukaanzisha mahusiano na Mwanamke leo na kesho kodi ya nyumba ikaisha, ada ya Watoto inatakiwa, umeme ukaisha, Mama yake akaugua , chakula ndani kikaisha na siku ya saluni ikafika. Hapo sijui unafanyaje!
  • Hawa ndio Wanawake bhanaaa na ndio huwa wanaichangamsha dunia kwani bila Wanawake hata Pesa huwa inapungua Ladha. Hata Aristotle aliwahi kusema , If Women didn’t exist , all the money in the world would have no meaning.
  • Akikutumia message ‘’Honey nikwambie kitu “ katikati ya mwezi unaweza hata usiifungue. Hap ahata sina haja ya kufafanua maana tayari utakuwa umeshaelewa….
  • Unaweza ukazoena kabisa na Mwanamke siku ukimwambia nataka nikuoe, akaruka mita laki moja na atakuchamba kwa kukuambia Unajua nilikuwa nakuheshimu sana kumbe huna hata haya wala aibu. Umeniboa sana leo ujue. Hapa utabaki unajiuliza kumbe hawa Wanawake huwa wanaolewa na watu wanaowadharau?
  • Halafu anaweza kuwa online muda mrefu lakini akiona umeanza ku type akazima data mpaka kesho maana anakujua. Brother utaishia kusema wanakutenga. Hakuna anayekutenga Brother Jipange
  • Mwanamke akivurugwa utamkuta anajipepea kwa viganja vya mkono hata kama hakuna joto. Ukimuuliza atakwambia niache naishiwa pumzi. Hawa watu ni burudani sana
  • Anaweza akanyoa nyusi zote halafu akapaka rangi nyeusi. Very very funny . Sijui wakoje. Anaweza kuvaa nguo fupi inaonyesha mpaka vya ndani halafu akifika mbele za watu ataanza kuishusha!
  • Unaweza mpa hela ya kodi halafu nusu akaenda Saluni halafu nyingine akalipa vikoba. Siku vyombo vikitupwa nje ndio utaelewa kwanini hakuna Baba mwenye gari ila kuna Baba mwenye nyumba.
  • Mnaweza mkatoka Out hata kama ana hela lakini akakutegea ili ulipe. Ukisubiri alipe yayokea kama yale ya Adam na Hawa kule Bustani ya Eden
  • Lakini Mwanamke anaweza kujiremba ili apendeze na apendwe. Ukimwambia nakupenda anaweza akakutukana. Loh! Unaweza ukamhudumia Mwanamke na akapendeza lakini akamshukuru aliyempamba na wewe asikushukuru.
  • UNAWEZA KUSTUKA USIKU WA MANANE UKAKUKUTA MWANAMKE WAKO KASIMAMA NA ANAKUMULIKA NA TOCHI. 😂 😂 😂
  • Wanasaikolojia wanasema ukimkumbatia mwanamke walau kwa sekunde kumi na tano atatokea kukuamini sanaaa !!!

Pita na hapa Cute Wife 😂😂😂
 
Mwanamke ndio anajua baba halisi wa watoto wakee...
JamiiForums-733431669.jpg
 
Kwa mwanamke hajalishi nani anampa kikubwa au kidogo wote mnascore sawa,

wewe mnunulie gari, mchizi akimuwekea mafuta wote mnapata point sawa yaan kama ni 50/50.

ni kweli ni ngumu kuishi nao ila ni rahisi kuwaelewa...shida vijana wengi hatupendi kuwaelewa tu wanawake tunataka kuishi nao vile sisi tunavyofikiria na tunavyotaka ila sio wao walivyo na nature yao ilivyo

Soma kitabu cha.....Men Are From Mars, Women Are from Venus.ameandika john gray...itakusaidia kuelewa sisi tulivyo nature yetu na wao walivyo nature yao.
 
Naona umejipa kazi yao wenyewe ya kuchamba
 
Back
Top Bottom