wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati sasa kwa serikali kuanza kupunguza mzigo wa kodi kwa Wananchi?

    Habari za wakati; Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini lilikuwa kama vile limefichwa fichwa(Mtazamo wangu) so sikulichukulia SERIOUS. Nimekuwa Katika...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Je, chama unachokiunga mkono kinawakilisha maslahi ya wananchi wengi, au kinazingatia maslahi ya kikundi fulani tu?

    Uwakilishi wa kisiasa ni nguzo muhimu katika demokrasia, ambapo vyama vya siasa vinapaswa kuwakilisha mahitaji na maslahi ya idadi kubwa ya wananchi. Hata hivyo, katika mazingira mengi, kuna utata kuhusu ikiwa vyama hivi kweli vinawakilisha kikamilifu maslahi ya umma au vinazingatia tu maslahi...
  3. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mkuu wa Mkoa feki akamatwa akisilikiza kero za Wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera anatakiwa awe Mkoani kwake Mbeya. Lakini yeye miezi kadhaa yupo Mkoa wa Jirani huko Ruvuma akifanya mikakati ya Ubunge wa 2025 Hata wananchi walishamsahau wala hawajui kiongozi wao nani. Sasa leo kajitokeza Mkuu wa Mkoa feki wa Mbeya na kuanza kusikikikiza...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nguzo za Umeme zimekatika Nyasaka (Mwanza), tumeripoti TANESCO hawatujali Wananchi

    Sisi Wananchi wa Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyasaka, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza tunaomba hii kero yetu iwafikie TANESCO. Hili Shirika letu la Umeme tumeshtoa taarifa kwao kuhusu changamoto ya nguzo kukatika lakini hakuna hatua zilizochukuliwa. Tumeenda mbele na kuamua kuwapigia picha...
  5. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hongereni sana wananchi wanaanza kuwaelewa msikate tamaa kuwazindua wananchi wanahitaji mtu wa kuwasemea

    Juhudi za CHADEMA kuwasemea watanzania na kuwasaidia kujielewa na kuelewa hali zao zinaonekana kuzaa matunda. Ukweli ni kwamba watanzania wengi wanahitaji mtu anayeelewa mambo awafafanulie na kuwapa mwanga kwani kwa kawaida watawala hutumia mwanya wa watu kutoelewa mambo na kuwakandamiza...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wananchi wacheleweshwa kulipwa fidia

    Baadhi ya wakazi wa Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuwalipa fidia yao ambayo imetokana na kupisha mradi wa maji wa miji 28 unaotekelezwa katika Manispaa ya Mpanda. Wamesema kila wanapouliza kuhusu kulipwa fidia yao wanapewa majibu yasiyowafurahisha ambapo...
  7. cleokippo

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya maji Sengerema (SEUWASA) mmeamua kuwanywesha maji ya kisima wananchi wenu ili wapate kipindupindu vizuri?

    Tumekuwa tukiwalalamikia mara kwa mara hawa mamlaka ya maji sengerema kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wananchi wao Mbunge pamoja na wananchi wamepiga kelele weee mpaka wamechoka lakin hawaelewi sasa kama mh wazir upo humu jukwaan jaribu kuimulika uone uozo wa wafanyakazi wa idara yako...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wainuka kati ya Wananchi na TANROAD Njombe

    Kumekuwa na msuguano mkali kati ya wananchi wa Kitulila na Uongozi wa wakala wa Barabara mkoa wa Njombe. Wananchi wanapinga kusudio la Tanroad kuchepusha Barabara ya Njombe Ludewa kwenye mradi wa Itoni-Lusitu wanadai Barabara hiyo inakwenda kuharibu mito kwa itapita kwenye vilima ambavyo ndio...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Qatar Charity yatoa msaada wa tani 90 kwa wananchi wa Hanan’g

    Ubalozi wa Qatar Tanzania kwa kushirikiana na Tasisi ya Qatar Charity, kwa niaba ya Serikali ya Qatar, imewasilisha misaada muhimu ya kibinadamu kwa waathirika wa Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Hanang mkoani Manyara. Shehena ya misaada hiyo iliyotolewa leo tarehe 18 Februari 2024 kwa kutumia...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kyela wanatamba na Sukari ya Malawi

    Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari. Bali mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni. Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari, Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Mifumo mitatu mipya ya utumishi itakavyosaidia kupima utendaji wa watumishi na kusaidia wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, wasikilize wananchi wanaodai Katiba, tuendako kuna giza nene. Wasikudanganye waliokuzunguka, tulipofika siko tulikotoka

    Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga kwao au kutoa Amri. Kuna ukweli karibu watu wote wanaukiri kuwa tunahijai katiba mpya! Hatawa...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Hakuna sukari Kilimanjaro, wananchi wanauliza "Mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya" wanunue sukari wapi?

    Maduka yote ya jumla mkoani Kilimanjaro, hakuna sukari na kiwanda cha sukari cha TPC Kiko kms 17 kutolea mjini Moshi. Wana CCM tunamuuliza mkuu wa Mkoa HUO na wakuu WOTE wa Wilaya, wakanumue sukari wapi?
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Tulia Ackson ashitakiwa Kwa Wananchi , namba yake ya simu yawekwa hadharani

    Pamoja na mambo Mengine kwenye viwanja vya furahisha Mwanza Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amewaagiza wananchi kumpigia simu Spika huyo ili kumlazimisha awaondoe Bungeni wabunge 19 maarufu kama COVID 19 , ambao amedai wamewekwa bungeni humo kinyume cha sheria Mnyika amedai kwamba ni vema...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Fahamu: Mara nyingi Wabunge hupeleka maoni yao binafsi bungeni badala ya maoni ya wananchi

    Huu ni mwendelezo wa mada zangu za kuwatambuza juu ya mizizi ya mambo ya hovyo yanayoendelea serikalini na nchi kwa ujumla. Bunge ni Chombo cha uwakilishi wa Wananchi kama Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inavyotumika: “Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wananchi Wakesha kwenye ofisi za CHADEMA ili kuwahi Maandamano

    Hii ndio Taarifa Mpya iliyotufikia usiku huu, kwamba Maelfu ya Wananchi wanamiminika kwenye ofisi zote chadema za Jiji hilo kwa lengo la kukesha ili kuwahi kujiandikisha, ili washiriki maandamano. Wananchi wengi wanadhan kwamba i ili kushiriki Maandamano hayo ni lazima ujiandikishe, hivyo...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania hawataki utawala wa haki na Sheria. Matendo yao ndiyo yanathibitisha. Binafsi sioni umuhimu wa katiba mpya, hii inatosha

    Habari za asubuhi! Katiba ya Tanzania sio kikwazo cha maendeleo, katiba ya Tanzania sio kikwazo cha haki za binadamu. Yet, mapungufu madogo madogo yapo lakini si makubwa. Nchi zote duniani katiba zao zina mapungufu kulingana na muda. Hivyo nashauri marekebisho kufanyika kidogo kidogo kadri siku...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jonas Van Zeeland Aipambania Mvomero Kupata Maji Safi na Salama kwa Wananchi Wake

    MBUNGE VAN ZEELAND AIPAMBANIA MVOMERO KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI WAKE "Je, lini Serikali itakamilisha mradi wa kusambaza maji katika tarafa ya Tuliani?" - Mhe. Jonas Van Zeeland, Mbunge wa Jimbo la Mvomero "Serikali inaendelea na utekelezaji wa mradi wa kusambaza maji katika...
  19. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

    Wajuzi wa usomaji wa picha na matukio, hapa namuona madame president ameketi pamoja na ndugu Papa ila kuna tukio sijalielewa kwa mkao wa madame president kutokana na uwekaji wa mikono hapo kwenye meza. Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Msidanganyike wanawasikiliza kinafiki tu kwa Sababu ya Uchaguzi. Baada ya hapo wanawabwaga kama ilivyo miaka yote

    Sasa hivi wanajipitisha pitisha eti wanasikiliza kero. Kero gani ambazo hujaziona na kuzifanyia kazi miaka mitano yoote ambazo utatatua kwa miezi michache iliyobaki. Sijaona watu wanafiki kama hawa. Eti wako madarakani miaka 60 ya Uhuru leo ndio wanajifanya hawajui kama Wanachi wana Maji...
Back
Top Bottom