wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. The Sheriff

    Rais Edgar Lungu awaaga Wazambia wakati Hakainde Hichilema akienda kuapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia, leo Agosti 24 2021

    Ikiwa leo ndiyo siku anayoapishwa Hakainde Hichilema kuwa Rais wa 7 wa Zambia, Edgar Lungu kupitia mitandao ya kijamii (hii imetoka ukurasa wake wa Instagram) amewaaga wananchi wa Zambia na kumtakia kila la kheri Bw. Hichilema. Chini ni tafsiri ya andiko lake katika lugha ya Kiswahili...
  2. R

    Serikali wasikilizeni Wananchi kuhusu tozo

    Wananchi wa kawaida/maskini ni walipa kodi wazuri, kupitia huduma/manunuzi ya bidhaa wanayofanya direct wanakua wamelipa kodi ila tatizo lipo kwa serikali ktk kuhakikisha kodi hizo zinaingia serikalini. Mfano mdogo serikali inapoteza mabilioni ya kodi wanayolipa wananchi kupitia manunuzi kwa...
  3. D

    Ukoloni wa miamala haukubaliki; wananchi tukiwa na msimamo tunaweza kuupinga kwa nguvu utapeli huu; Kapu la VAT 18% linatosha wagawane huko

    Baadhi ya mambo ukiyatafakali yanadhihilisha wazi baina yetu bado tuna imani za kikoloni kichwani! Elimu haijatukomboa kabisa, hatuna ubunifu kichwani kabisa! Ni bure kabisa! Hivi kazi ya VAT ni nini? Na matumizi ya fedha hiyo ni yepi? Hivi kuna sababu gani ya mimi kukatwa 18%ya VAT, Halafu...
  4. JF Member

    Uwezo wa raia kununua/kufanya manunuzi umeshuka

    Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno. Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu. Wenye...
  5. Lord OSAGYEFO

    Tanzania nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo na makazi lakini wananchi wake ni masikini

    Tanzania nchi yenye kila aina ya raslimali nchi yenye nguvu kazi ya kutosha watu mil.60 Nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo na makazi lakini wananchi wake ni masikini wa kutupwa wamerundikiwa furushi la tozo kila mwananchi kalibeba furushi Ili tuyaepuke hayo maisha ni muhimu katiba mpya...
  6. isajorsergio

    Facebook yazindua "tools" kuwasaidia Wananchi wa Afghanistan wanaofuta taarifa zao mtandaoni kwa hofu ya kukamatwa na Taliban

    Vipengele vipya vya usalama vimekusudiwa kusaidia Waafghan kufunga akaunti haraka na kupunguza nyayo zao katika mitandao ya kijamii. Alhamisi Facebook ilisema inaanzisha udhibiti mpya wa watumiaji kwa watu nchini Afghanistan ambao wanakimbilia kufuta nyayo zao za kidijitali kwa hofu simu zao au...
  7. MAHANJU

    CCM tukiendelea kuwapuuza wananchi iko siku tutalia, 2025 sio mbali

    Nataka niliseme hili na ninaomba tuweke kumbukumbu hii kwa rejea ya kesho muda ukifika. Chama changu tulitaka kuungana pamoja na watanzania kuhusu suala la Tozo za kwenye simu baadaye tukaungana na serikali tikakaa kimya, mafuta yakapanda bei tupo kimya,vifaa vya ujenzi vipo juu tupo kimya, bei...
  8. Nyankurungu2020

    Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

    Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi? Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi? Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi? Je...
  9. J

    Wizara ya Afya: Wananchi wasiache kutumia tiba za asili zinazotambulika kukabiliana na Corona!

    Kaimu Katibu mkuu wa wizara ya afya bwana Mbanga amewataka wananchi kutoacha kutumia tiba za asili zinazotambulika katika kukabiliana na Corona kwani zimesaidia wengi. ========= Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Edward Mbaga ametoa wito kwa Watanzania kutoacha njia za asili za kupambana na...
  10. Michosho

    Nchi ngapi duniani wananchi wake wanapinga chanjo ya Corona?

    Nikiwa napitia mada mbali mbali hapa JF, kuhusu chanjo ya covid, nimekuwa nikisoma comments mbali mbali za wadau, juu ya hii chanjo ya covid19. Wapo wanao pinga chanjo, na wapo wanaotaka chanjo na tayari wengine wameshachanja.Ok fine, Sasa Nimekuwa nikijiuliza, kwa kukuwa suala hili la chanjo...
  11. N

    Ndoa kati ya Kampuni za Mawasiliano na Serikali kuhusu tozo ni kichomi kwa Wananchi

    Ndoa kati ya kampuni za mitandao ya simu na serikali inayohusu tozo kwenye miamala mbalimbali inayofanywa kwa njia ya simu, pamoja na ndoa kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) zimekuwa ni ndoa kichomi kwa wananchi kutokana na mlundikano wa kodi...
  12. U

    TAMISEMI sasa ni ya wananchi, Waziri Ummy Mwalimu anastahili pongezi

    Leo nimemskiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na amesisitiza Ujenzi wa Vituo vya Afya katika Tarafa 207 utatumia utaratibu wa FORCE ACCOUNT sio KANDARASI. Na ameagiza watumie Mafundi Ujenzi waliopo ktk eneo husika ili kutoa ajira...
  13. TheDreamer Thebeliever

    Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

    Habari wadau! Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede. Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na...
  14. S

    Rais Samia na Serikali yake wamefanya lipi jema mpaka sasa?

    Tuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe Rais wao? Kwa upande wangu naona mambo ni valuvalu tu hayana muelekeo wa kuonyesha ameleta unafuu wa maisha kwa...
  15. Idugunde

    CHADEMA ilishajenga uhasama na wananchi, kujinasua ni ngumu sana

    Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa. Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi. Ni kweli kila nchi...
  16. N'yadikwa

    Kabul, Afghanistan: Wananchi wadandia ndege baada ya Taliban kutwaa Ikulu ya Rais

    Hali si hali huko Afghanistan [emoji1023] kwenye mji mkuu Kabul baada ya Taliban kutwaa udhibiti raia wamekimbilia Airport wakitaka kuihama nchi. Hali ni tete kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya kimataifa. Tutunze amani.
  17. HARRISON ONE

    Wananchi na wasafiri wa Mbeya na ushabiki wa mwendokasi wa mabasi ya abiria

    Kuna tabia ya ushabiki wa mwendokasi wa mabasi hasa yaendayo Mbeya ambayo naona siku hadi siku inazidi kukua. Sasa sijui ni ushamba au nini. Kufukuzana huko mtakuja kufa kwa kwa ujinga. Mikoa mingi sasa ina kampuni kubwa za mabasi ya abiria lakini hawana ujinga huo kama wanaofanya mabasi ya...
  18. Kipenzi Changu

    Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

    "Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi" Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.! My Take Hii imevuka mipaka. Lakini mambo...
  19. Lord OSAGYEFO

    Tangu Uhuru Tanzania ina Katiba 3 ambazo hazikushirikisha wananchi

    Tanzania ni nchi huru iliyopata uhuru wake mwaka 1961 Katiba ya kwanza iliandaliwa uingereza na kuleta tanganyika na kuanza kutumika baada ya kuonekana ina mapungufu. Mwaka 1962 waliteuliwa wabunge 71 wakaifanyia marekebisho bila kupata maoni na mapendekezo ya wananchi. Mwaka 1977 waliteuliwa...
  20. Sky Eclat

    Mwongozo wa Katiba Mpya: Mtazamo wa Serikali na Wananchi

Back
Top Bottom