Makimuda255
Senior Member
- Jul 31, 2020
- 165
- 286
Masama Kilimanjaro inasemekana kuna shule za kiislam mbili zimeuziwa maji ya wananchi yote jambo ambalo limesabibisha wananchi kukosa maji tokea 2014 na kwasasa ni mwezi maji hayatoki
Katika tarafa ya masama kuna kijiji kinaitwa Kijiji cha Mudio ambapo eneo lijulikanalo kama kijiji cha Kimira limekosa maji kwa muda mrefu baada ya viongozi wa kampuni ya maji ya Losaa-Kia water supply kuamua kuuza maji yote kwa mashamba ya wazungu wawekezaji wa kibohehe kwa ajili ya umwagiliaji na kuwauzia shule za kiislam mahali hapo maji yote kwa rushwa huku wananchi wa kimira wakitaabika kwa kukosa maji
Hakuna kampuni imejaa viongozi wala rushwa,na wasiopenda kusikiliza matatizo ya maji ya wateja wake kama hii ya losaa kia water supply
Imekaa viongoji wala rushwa na wanaokula fedha wakati mradi ni wa wananchi serikali ichukue hatua kali maana wakazi wa kimira ni miaka sasa maji yao yameuziwa kwa wageni na shule za binafsi za kidini huku wao wakitaabika na shida ya maji ambayo inawalazimu kutembea umbali mrefu na kuchota maji ya mito na kutumia kwa ajili ya matumizi ya nyumbani
Hii ni aibu!!