wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. B I N A M U

    Yanga ina kikosi imara sana

    Kikosi cha yanga kwa Muda waliokaa kambini ni Mchache sana na ukizingatia Safari za hapa na pale! 1st Goalkeeper, Djigui Diarra ni bonge Moja la Mchezaji, hata uwe mnafiki vipi Lazima kazi yake utaikubali tu, Magoli aliyofungwa ni Makosa ya kimpira tu Tumpe Mechi Tano tu Then ndio tuanze Lawama...
  2. M

    Goli la Kelvin Kapumbu Yanga day

    Umeshaambiwa Wananchi wapo katika Siku yao na Wewe tena Kelvin Kapumbu bila Huruma unapiga Bao la nguvu na la Ushindi hapo hapo.
  3. M

    Igp Sirro: Wananchi toeni ushirikiano

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapoona jambo lisilo la kawaida ili liweze kuchukuliwa kwa uharaka zaidi kabla ya kuleta madhara kwa jamii.
  4. M

    Kwanini wananchi wana chuki kubwa na Jeshi la Polisi?

    Wanadhulumu raia mali zao? Wanabambikia raia kesi? Wanachukua rushwa kwa nguvu? Wanapiga raia hovyo hovyo? Wananachukua wake za watu kwa nguvu? What' s wrong with PT?
  5. TheDreamer Thebeliever

    Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  6. Erythrocyte

    Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

    Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi. USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
  7. Erythrocyte

    Kongamano la Wananchi la Katiba kufanyika Lamada Hotel tarehe 28/8/2021

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
  8. Mhere Mwita

    Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  9. B

    Rais Samia asiwabembeleze Polisi kwenye suala la uonevu kwa Wananchi

    Polisi hawaruhusiwi kisheria kuwapiga, kuwatesa au kuwapa vibano watuhumiwa. Hakuna asiyejua kuwa polisi kinyume cha sheria na pasipokuwa na uhalali wowote huwawapiga, huwatesa, na hata huwauwa watuhumiwa. Hii ikiwamo kufanya hivyo kwa jeuri, dhuluma, na hata kwa makusudi tu. Inafahamika...
  10. ryan riz

    Wananchi kugeuzwa kitega uchumi na baadhi ya Polisi ndio kumeleta chuki dhidi yao, wala sio masuala ya kisiasa

    Kichwa cha habari chajitosheleza Yaani uwe mshtaki au mshtakiwa bila fedha husikilizwi wala kusaidiwa. Tena ukiwaambia unajua haki zako ndio kabsaa. Umewatibua, watakutenga na hawatajali malalamiko yako. Huu ni ndio ukweli halisi nendankwenye vituo vyao kazi ukajionee, mara lete elfu arobaini...
  11. J

    Eneo lile lile: 1998 Magaidi walilipua ubalozi wa Marekani wananchi wakakimbilia kushuhudia leo kaibuka Hamza watu wamekimbia!

    Haya ni maendeleo makubwa kwa wananchi kuanza kuelewa maana ya hatari na kuikimbia badala ya kuikimbilia. Mwaka 1998 ulipolipuliwa ubalozi wa Marekani eneo hilo hilo alilokuwa anatamba Hamza jana wananchi kutoka maeneo ya jirani walikuwa wanakimbilia eneo la tukio kadri milipuko ilipoongezeka...
  12. Erythrocyte

    Rungwe: Wananchi Wahamasishana kuchanga milioni 100 kujenga ofisi ya Kata ya CHADEMA

    Wananchi wa kata ya Ndato wamekubaliana kwa kauli moja bila kujali itikadi zao kuchangia ujenzi wa Jengo hilo la kata la Chadema ambalo ndani yake kumepangwa kuwa na Maktaba ya kusomea wanafunzi wote wa kata hiyo. Diwani mstaafu wa kata hiyo, Mh Paulo Zambi ndiye aliyeandaa harambee hiyo...
  13. 100 others

    Baadhi ya askari hawana nia njema, wanawatesa wananchi na kudhulumu mali zao

    Kuna kijana mtaani kwangu alikuwa anatoka kazini usiku, amepanda boda anaelekea nyumbani, ikatokea gari kwa nyuma na kuanza kumfuatilia, jamaa kafika nyumbani na kuingia ndani, sekunde chache tu akasikia mlango ukigongwa kwa nguvu na sauti za kibabe "fungua!!!, fungua!!!". Jamaa akahoji nyie...
  14. beth

    Rais Samia: Polisi ipo kuhudumia wananchi na sio kuwadidimiza

    Baadhi ya Watumishi wa Jeshi la Polisi wanashutumiwa kutofanya Haki kwa Jamii, akisema hali hiyo inapotokea Jeshi linakuwa mstari wa mbele kujitetea pasipo kuangalia upande wa pili. Ametolea mfano tukio la uvamizi wa bucha za nyama miezi kadhaa iliyopita na kusema "Walipolalamika mkasema...
  15. beth

    Rais Samia: Huenda kesi zimepungua Polisi kwasababu wananchi wamekata tamaa kupata haki zao

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema huenda makosa yamepungua Polisi Watanzania hawaendi Vituoni kuripoti kwasababu wamekata tamaa kutokana na kutopata Haki zao. Ameeleza hayo leo Jijini Dar es Salaam katika ufunguzi wa Kikao Kazi cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na...
  16. Fundi Madirisha

    Si Matakwa ya watawala kutuletea katiba mpya. Ni maagizo ya Wananchi

    Si kazi ya watawala kuleta katiba ya wananchi, labda atokee mtawala mmoja akawa ni mwenye kutumia busara na hekima za kupitiliza kitu ambacho Afrika hakipo kabisa. Katiba mpya nyingi Afrika ni matokeo ya matukio mabaya ndio watawala huona na kukubali yaishe. Je, tunataka kwenda huko tulikozoea...
  17. ze-dudu

    Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

    Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga ====== Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo...
  18. Erythrocyte

    Kitendo cha Yanga kumleta Koffi Olomide ni ujanja wa kujaza uwanja kwenye siku ya Wananchi, hawana watu wala nini

    Ikiwa kama tunataka kupima uwezo wa timu kujaza mashabiki kwenye kinachoitwa Yanga Day , basi ni vema tuache kujidanganya kutumia ujanja ujanja kama huu ambao yanga wanautumia. Kitendo cha kumleta Mopao uwanjani hii inamaanisha hata mimi Mwanasimba lazima nihudhurie tu , sisi wengine ni wapenzi...
  19. The Sheriff

    Rais Edgar Lungu awaaga Wazambia wakati Hakainde Hichilema akienda kuapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia, leo Agosti 24 2021

    Ikiwa leo ndiyo siku anayoapishwa Hakainde Hichilema kuwa Rais wa 7 wa Zambia, Edgar Lungu kupitia mitandao ya kijamii (hii imetoka ukurasa wake wa Instagram) amewaaga wananchi wa Zambia na kumtakia kila la kheri Bw. Hichilema. Chini ni tafsiri ya andiko lake katika lugha ya Kiswahili...
  20. R

    Serikali wasikilizeni Wananchi kuhusu tozo

    Wananchi wa kawaida/maskini ni walipa kodi wazuri, kupitia huduma/manunuzi ya bidhaa wanayofanya direct wanakua wamelipa kodi ila tatizo lipo kwa serikali ktk kuhakikisha kodi hizo zinaingia serikalini. Mfano mdogo serikali inapoteza mabilioni ya kodi wanayolipa wananchi kupitia manunuzi kwa...
Back
Top Bottom