Zaidi ya wanafunzi 22 wa Shule ya Msingi De Paul iliyopo katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamejeruhiwa na radi wakiwa darasani.
Mkuu wa Wilaya ya Songea, Pololet Mgema amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba mbali na wanafunzi pia mwalimu wa darasa hilo amejeruhiwa.
Kwa mujibu wa...