Pana wanafunzi wanaopata "A" ya Economics A-Level?

gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
7,280
2,000
Wale jamaa kule NECTA sijui huwa wanasahihishaje hiyo mitihani..

Mi mpka leo huwa sielewi nilipataje D ya uchumi.. Ihali mock nilipata A na nikawa na one ya 6...Necta nikawa naiwinda one ya 3 au 4..maana kwenye hesabu na Geog uhakika wa A ulikuwa asilimia mia.

Mi nadhan huwa wanafanya tu kukomoa, somo lionekane gumu lakini kiuhalisia sio hivyo, inawezekana ikawa ngumu kupata A ya geog lakini sio uchumi.
 

Chris wood

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
812
1,000
Zamani nini ilikuwa inshu?
Tuliaminishwa hivyo na kweli ulikuwa ukifatilia matokeo unakutana na C kibao.
Ila somo lenyewe ni simple kama maji,watu wa EGM ilikuwa ni kula bata na msuli kiasi kwenye Math, maana geography kulikuwa hakuna kitu kipya.
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,576
2,000
Ni rahisi sana kupata A ya Economics kuliko kupata A ya General Studies.
Hapa umenikumbusha kitu. Kuna mtu namfahamu aliwahi kupata B ya Additional Mathematics (ambayo alikuwa anajisomea mwenyewe bila kufundishwa na mwalimu, alikuwa amekosa mwalimu) halafu akapata D ya Basic Mathematics, mtihani wa F4. Hapa issue ilikuwa ni Mkuu wa Shule, walikuwa hwaivi. Details ni ndefu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom