wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni lini vyuo vyetu vya elimu ya juu vitakua chanzo cha mapato kwa Taifa kwa kusajili wanafunzi nje ya Tanzania?

    Kumekua na ongezeko kubwa la vyuo vya elimu ya juu, tofauti na idadi tuliyokuwa nayo mpaka miaka ya 90. Licha ya elimu nje ya bara la Afrika, kuna waliobahatika kupata elimu ya juu katika nchi za Afrika hususan Makerere Uganda, Kenyata Kenya, Afrika ya Kusini, Nigeria, Misri, Botswana. Hizi...
  2. Walimu sita wanalazimika kufundisha zaidi ya Wanafunzi 700 Sekondari ya Mwabusalu-Meatu

    WALIMU SITA, WANAFUNZI MIA SABA Mwabusalu Sekondari, Meatu Simiyu (Miaka 3, DIV I-0, II-7, III-14, IV-74, O-9) Habari Gani Tanzania? Shule ya Serikali ya Upili ya Mwabusalu (SLP 232) iliyopo Wilayani Meatu, Mkoa wa Simiyu inakabiliwa na uhaba wa walimu kwa miaka mingi sasa. Mwaka huu wa 2021...
  3. MUCE yawataka Wanafunzi na Wafanyakazi kuchukua tahadhari za Ugonjwa wa COVID-19

    Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari Chuo hicho kimetoa rai ya uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono na...
  4. Pana wanafunzi wanaopata "A" ya Economics A-Level?

    Pana wanafunzi wanaopata "A" ya Economics A-Level? Naomba kufahamishwa.
  5. TAMISEMI: Zipo Shule ambazo Wanafunzi hawajawahi kuwaona Walimu wa Physics na Hesabu

    Waziri Ummy Mwalimu amesema kuna Shule takriban 1,000 za Sekondari ambazo Wanafunzi hawajawahi kukutana na Mwalimu wa somo la Physics uso kwa uso. Akiwa Bungeni leo, pia amesema zipo Shule zipatazo 400 ambazo Wanafunzi wa Sekondari hawajawahi kuona Mwalimu wa Hesabu akiingia Darasani. Ametoa...
  6. L

    China: Mitihani ya kuingia chuo kikuu yabadilisha na kuamua maisha ya baadaye ya wanafunzi

    Hivi sasa wanafunzi wengi wapo katika kipindi muhimu sana hususan wale wanaomaliza masomo yao ya sekondari ya juu na ambao wanajiandaa kujiunga na taasisi za elimu ya juu au vyuo vikuu ili kuanza masomo yao katika kozi tofauti. Kuna wale ambao wanafurahia kumaliza hatua moja na kukaribisha hatua...
  7. Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  8. Wanafunzi wa Kidato cha 5 wanaanza lini Kusoma?

    Tafadhali Wizara husika na Serikali iliangalie hili tena ( Upya ) kwani Wanafunzi wa Kidato cha Tano ( 5 ) Kumaliza Shule November na kukaa Idle ( Mtaani ) mpaka July mwaka unaofuata ni Kuhatarisha sana Ustawi wao wa Kitaaluma na Kuwaathiri Kimaadili na hata Kisaikolojia pia. Kiukweli 24/7...
  9. Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

    Habari zenu ndugu wa Jamii Forums. Kama ni kweli Tanzania inataka kuandaa wachumi na wataalam wazuri wa kutunza hesabu, sasa wakati umefika kwa wataalam wa elimu kuruhusu wadogo zetu wanaochukua mchepuo wa biashara (ECA) kuanza kusoma somo la uchumi (Economics) kuanzia kidato cha kwanza kama...
  10. J

    Shule ya msingi Ufulaga Kaliua wanafunzi wanasomea madarasa ya nyasi, wananchi waililia CCM

    Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi. Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani mfadhili wa shule hiyo alikuwa Prof Kapuya ambaye kwa sasa hawajamuona kabisa. My take; Jaffo alikuwa...
  11. Asilimia kubwa ya Watanzania hatujui nini tunachotaka au tunafanya maishani

    Watanzania wengi tumekuwa bendera fuata upepo ndio maana misimamo ya kile tunachofanya kuanzia elimu, siasa, sanaa, michezo, maisha, baishara na n.k ni kama tunaangalia au kukipokea kwa haraka wimbi hili. Wanafunzi kwa sababu fulani anasoma PCM na wewe unaenda tu. Wanafunzi wa vyuo nao ni...
  12. Spika Ndugai alitaka Bunge kubadili Sheria ya HESLB ili wanafunzi wa VETA na NACTE wapate mikopo pia

    Nimependa mapendekezo ya Spika leo. Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE. Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia. Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya...
  13. Nilipokuwa Mwalimu nilionyesha kwanza uwezo wangu wa kufundisha kabla sijaleta ushawishi kwa wanafunzi nilibobea sana kufundisha A level Physics

    Yaani haujashika hata chaki haujaanza hata kuandika wanafunzi hawajakuelewa kuwa unafundisha vibaya au vizuri unaanza kujisifu tu mm ninajua kufundisha bila hata kusolve hata swali moja. Nawashauri waalimu mnapotaka kuleta ushawishi wa namna yenu ya kufundisha fundisheni tu kwa juhudi na...
  14. Wanafunzi msijichoshe kufaulu sana, ajira haziangalii ufaulu mkubwa

    Nimecheka leo nilipokuwa maeneo ya mjini huko, nilisikia vijana wakilalamika kuwa; wanajuta kufaulu kwa kiwango cha juu kwani hakuna maana yoyote na haisaidii popote pale. Nina kiji-internet Cafe changu hapa mjini, sasa baada ya kusikia tangazo la ajira za waalimu na afya, nikasema acha...
  15. Charles Mwijage: Wananchi wananiona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki kwenye Mitumbwi wakati wa kwenda Shuleni

    Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage, amesema Wananchi wanamwona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki wakisafiri kwenye Mitumbwi wakati wa kwenda Shuleni kwasababu yeye ndiye aliyehamasisha Watoto kupelekwa Shule Ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Elimu na TAMISEMI kupeleka fedha...
  16. Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

    Ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini,Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba ameshauri vyuo vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili wanafunzi. Amesema wazazi wengi hasa vijijini wanatumia wamechoshwa na mfumo wa elimu jinsi unavyofilisi...
  17. Mbunge adai watoto 15 kati ya 45 darasani hawafundishiki

    Mbunge Neema Lugangira amesema suala la Lishe Shuleni linapaswa kupewa uzito na kwamba hali ya Udumavu inachangia watoto kutofaulu na kufundishika kwa kiasi kikubwa watoto. Akiwa Bungeni amesema, "Wataalamu wa Lishe kutoka TAMISEMI wanatuambia kwamba katika kila Darasa la Watoto 45, Kumi na...
  18. T

    Mwalimu mkuu apewe mamlaka kuruhusu wanafunzi kukariri darasa

    NI KUHUSU WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI KUKARIRI DARASA Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Nikiangalia agizo la waziri wa elimu Prof. Ndalichako nabaini lina athari kwa wanafunzi ambao uwezo wao ni wa chini. Katika muda ambao baadhi ya wilaya katika mikoa mbalimbali imekuwa na sera ya...
  19. D

    Kuliko kufunga wasiojulikana; Serikali ingefunga na wale wasanii wanaotongoza wanafunzi ili fundisho lifike kwa jamii

    Huko vijijini kuna kesi za masikini kuwarubuni watoto wa shule kingono na huamuliwa ili iwe fundisho kwa jamii. Huko vijijini kuna kesi za walimu kuwatongoza wanafunzi kwa tuhuma ya kuwakonyeza au kuchat nao tu na huamuliwa jera ili fundisho kwa jamii. Je, Serikali haioni kuwa kuna umhimu wa...
  20. Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

    Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano. Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…