Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro.Mkenda kuna shida kubwa sana sana ya watoto kukosewa usajili wa majina yao sahihi ya awali, kati na ubini. Hili jambo limekuwa ni kubwa na tatizo sana kwa sasa kila kona ya Tanzania. Kwa mfano,
John -Joni
Peter-Pita
Rehema-Rehem
Na mengine kukosewa...
Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi.
Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada?
Kazi ipo.
Uchache wa Shule za Bweni nchini umesababisha Wanafunzi 46,251 kukosa nafasi ya kujiunga na Shule zenye huduma hiyo Nchini
Idadi ya Shule za Serikali zinazochukua Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza mwaka 2023 ni 4,307 ambapo Shule za Kutwa ni 4269 na Bweni ni 38 zenye uwezo wa kupokea Wanafunzi...
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe amesema hakutakua na uhamisho wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwenye shule za kutwa kuhamia bweni.
Taarifa iliyotolewa na Tamisemi imesema, Profesa Shemdoe ametoa agizo hilo...
Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.
Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa.
Jadili.
Mawaziri watatu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Desemba 21, 2022 wamekutana Jijini Dar es Salaam kujadili kuhusu suala la ukatili kwa wanafunzi wa shule na vyuo na kuweka mikakati ya kupambana na ukatili huo.
Mawaziri hao, Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
Wadau hili suala la walimu kufunguliwa kesi za kuwatia mimba wanafunzi au kuwabaka Mimi napingana nalo hasa baada ya kujionea wanafunzi wakiwa ndio chanzo Cha walimu kuwadinya wanafunzi. Majuzi nilienda kuwachukua wanafunzi Arusha wanaoishi Dar.
Wazazi hujikusanya wanachangiana na kukodi Costa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kinondoni, Hanifa Suleiman kujenga ukuta kuzunguka Shule ya Msingi Boko Mtambani ili kuleta amani na usalama shuleni hapo.
Shule hiyo imejengwa karibu na eneo la makaburi yanayodaiwa kuwa na matukio ya mauzauza...
Naandika hapa jamiiforums ili kupata msaada baada ya meneja wa campus daktari Ally Zawadi kushindwa kutusaidia.
BAADHI YA KERO:
1: UBOVU WA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA
Kwa muda sasa, kampasi hii imepoteza mwelekeo. Tupo wanafunzi zaidi ya 1000 hapa Mwanza na tunalipa ada isio pungua milioni moja...
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Makamba.
Nimesikia Kwa watu zaidi ya wanne visa vya Mwalimu Sarah wa Kilakala Sec kuwapa Mimba wanafunzi wa Kilakala na Adrian Mkoba.
Alitambulika kama mwanamke lakini mwenye dushe na dushe lilikuwa linapiga kazi.
Namimba aliwapa madent kadhaa sasa ajabu mbona...
Baada ya Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kutangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba, imebainika wanafunzi 274,671 waliohitimu na kupata daraja D na E, hawana nafasi ya kujiunga na sekondari za umma katika mwaka wa masomo 2023.
Idadi hiyo ni wastani wa mwanafunzi mmoja kati ya watano...
Kwa jinsi Wanafunzi wa Shule za Msingi ( hasa Darasa la Saba ) walivyo na Nidhamu mbaya katika Jamii zetu huku Wengi wao wakiwa hawana Akili Vichwani huwa nashangaa kuona kila mwaka katika Kutangazwa kwa Matokeo yao Kitaifa Wanaofaulu ni Wote / 99.9%
Duniani kote haiwezekani sehemu ambayo...
Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.
Naombeni...
Shule ya msingi ikifutiwa matokeo au ikishikiliwa (withheld) matokeo kwa kosa la uongozi wa shule kufanya udanganyifu nini kinafuata ili watoto waweze kuchaguliwa kuendelea elimu ya upili( secondary)?
~ Watarudia mitihani?
~ Watapewa muda gani kujiandaa na mitihani?
~ Kuchaguliwa shule za...
Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao?
Taifa International Online School kwa...
Taasisi ya mafunzo ya uanasheria Kwa vitendo (LST) imepandisha gharama za mafunzo ya uanasheria kwa vitendo kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=. Ikumbukwe kuwa malipo hayo hufanyika Kwa mkupuo mmoja.
Maswali ya kujiuliza;
~ Je, lengo la kupandisha gharama kwa kiwango kikubwa kiasi hiki ni...
Wakata tiketi kwenye mwendo mnanyayasa sana watoto, nimeshuhudia karibu mara tatu mnagombana na vijana ambao ukimuona kwa umri wake kabisa ni mtoto mnataka alipe nauli ya mtu mzima hivi kisa amevaa nguo za nyumbani si sawa kabisa.
Hivi nyinyi amjui umri wa mtoto? serikali naomba iangalie hili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 03/19 - Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 69/21 Refu Pamoja na Mahafali ya tatu ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi Kundi la 03/19 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) - Monduli...
Kamati ya kufuatilia mwenendo wa matokeo ya mitihani ya mafunzo ya uansheria kwa vitendo (LST), imeanisha changamoto nane ikisema ni miongoni mwa vikwazo katika kupata wanafunzi bora wanaosomea fani ya sheria.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk Harrison Mwakyembe amesema changamoto hizo pia...
Ilani ya CCM inasema kwamba CCM itapambana na Rushwa na ufisadi kwa nguvu zake zote Sasa Hawa mawakala wa wanyonyaji wanatoka chama gani kama siyo ushamba tu wanaoulekeza yaani watu wengi ukifuatilia hawana hata elimu.
Maana kumpinga Bashiru ni kujitoa ufahamu. Bashiru anawaeleza wazi wazi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.