wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa?

    Good Afternoon jamiiforums. Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa? Jumla ya pesa walizolipwa makarani wa sensa ni takribani 1,200,00/= ambayo 15% yake ni 180,000/= Sio kila karani wa sensa ni graduate na mnufaika wa bodi ya mikopo, lakini...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watoto na wanafunzi waruhusiwe kumiliki simu, la sivyo watabaki nyuma

    Simu kwa zama hizi ni kama kompyuta. Ukizuia watoto na wanafunzi kumiliki simu ni kama kuwazuia kumiliki kompyuta. Huko ni kuwaza kwa mtindo wa kale sana. Cha muhimu ni kuweka taratibu wasiingie nazo darasani na kufundishwa matumizi salama ya simu. Lakini kumkataza mwanafunzi kuwa na simu ni...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi masikini tusijisahau vyuoni na kuishi kitajiri

    Hii ni kwaajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wametoka katika familia duni. Umezuka mtindo kwamba wanafunzi wengi waliotoka familia zenye hali duni na kwenda vyuo vikuu kubadilika na kujisahaulisha hali halisi ya nyumbani kwao. Umetoka nyumbani hali ni dhaifu mnaishi nyumba ya nyasi, mama...
  4. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

    Aise hali sio poa kabisa. Sijui sasa hivi huko vyuoni wanawafundisha nini hawa watoto. Ipo hivi juzi juzi hapo kulikua kunaitajika new staff. Pendekezo lilikuza hawa staff wapya wawe graduate wapya (Walio maliza mwaka huu) au mwaka jana lengo lilikua kuwapata fresh from school ile wawe trained...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, kuna wanafunzi wa mwaka wa pili na watatu wamepata mkopo?

    Wakuu habari Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi yeyote continuous kapata mkopo mpaka sasa maana kwa mujibu wa tangazo la HSLB wanadai kuwa wametoa mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna sehemu wanawataja continuous. Lakini vile vile katika tangazo lao wanasema wamefungua dirisha la...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakubali wanafunzi 28,000 waliokosa mikopo waendelee na masomo vyuoni wakati ikikamilisha masuala ya ada zao

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023, waende vyuoni kuendelea na usajili chini ya uratibu wa Wizara ya Elimu wakati taratibu muhimu zikikamilishwa. Kauli ya Rais Samia...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 130 watumia darasa moja jimbo la Eric Shigongo

    Zaidi ya wanafunzi 130 wanatumia darasa moja katika shule ya msingi Luhama kata ya Bangwe Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoa wa Mwanza kutokana na upungufu wa madarasa katika shule hiyo. Shule hiyo ambayo ina wanafunzi 1, 306 ina vyumba vyumba vya madarasa 10 huku mahitaji yakiwa...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Serikali naomba suala langu la kuhakikisha wanafunzi wanafundishwa tehama na kuujua mtandao wa JamiiForum mlizingatie

    Huu mtandao wetu pendwa wenye kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwanini msiwafundishe wanafunzi hasa vyuoni wakaingia na Kupata Maarifa lukuki Pia nyie vijana mnaoshindana kupost Habari za ngono ili kuumaliza Nguvu mtandao wetu mnadhani sisi wakongwe hatuwafahamu? Ndugu Max hakikisha unawapa...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kampala University ni kama utapeli, matokeo ya Wanafunzi 300+ wa Udaktari yana utata, Serikali itusaidie Wanafunzi

    Chuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya. Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi 8 wafariki kwa Ebola Uganda, Serikali kuzifunga shule zote

    Baraza la Mawaziri limeridhia Shule kufungwa Novemba 25, 2022 ikiwa ni baada ya wanafunzi 23 kupata maambukizi ya Ugonjwa huo. Mke wa Rais Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu amesema hatua hiyo itapunguza mikusanyiko ya watoto kukutana na wenzao, walimu na wafanyakazi wengine wanaoweza...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania NIni maana ya kugawa mikopo ya wanafunzi kwa haki?

    Serikali imeamua kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa kutumia chombo kinachoitwa Bodi ya mkopo (Higher education students' loans board, (HESLB)) kwa malengo gani? Je, ni kuongeza idadi ya wanafunzi wanaomudu kupata elimu ya chuo kikuu? Je, ni kuongeza idadi ya watumishi nchini wenye...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada

    Wanafunzi wadaiwa kuingilia mfumo, waghushi malipo ada Kwa kufanya hivyo, wanafunzi hao wanaonekana hawadaiwi, hivyo kukikosesha chuo mamilioni ya shilingi. Pia wanadaiwa kughushi stakabadhi za malipo na mihuri ya benki ili kujiridhisha kuwa hawadaiwi ada. Uchunguzi wa kina ambao umefanywa na...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mwalimu wa Madrasa atuhumiwa kulawiti wanafunzi 10

    Mwalimu wa Madrasa katika msikiti wa Mohamed Shunu uliopo Mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama, aliyefahamika kwa jina moja la Faidhi anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi 10 wa madrasa kwa nyakati tofauti kwa kuwarubuni kuwapa Sh 1000 na Sh 500...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge: Bodi ya Mikopo inahitaji Tsh. Bilioni 800 kukopesha wanafunzi wote nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu. Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo. Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
  16. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi maalumu kuhusu sintofahamu katika utoaji wa Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Habari za muda huu wana Jf . Mimi kama mdau wa maswala ya elimu hapa Tz hilo suala nimeliona kubwa ,muhimu na linapaswa kupatiwa ufumbuzi. Nimepitia nyuzi mbalimbali humu ,maoni ya wadau ,wanafunzi na utafiti wangu binafsi nimegundua kuwa kuna malalamiko makubwa katika utoaji mikopo kwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Law school ya Tanzania mnayo ya kujifunza Kenya

    Mzizi wa fitina pale law school ni ukiritimba unaozalisha miungu watu. Lawyer seeks to break Kenya School of Law monopoly Kenya walikwisha yaona hayo na hatua zinaendelea kuchukuliwa katika level mbalimbali. Kwenye uwanja wa mapambano options zote ni muhimu kuwa mezani. Ikumbukwe tofauti...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kataza wanafunzi kulazimishwa kwenda na madaftari yote shule

    Huwezi kuelewa mzigo wanaobebeshwa wanafunzi wa shule za kutwa mpaka pale utakapojaribu kuubeba mfuko wa madaftari wanaobeba wakienda shuleni. Kitendo cha watoto kulazimishwa kwenda na Vitabu vya kiada na Madaftari ya Masomo yote shuleni kila siku kinawaletea wanafunzi hao matatizo kwenye uti wa...
  19. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Hivi wanafunzi wanaosoma shule za kata wana matatizo gani?

    Matukio yanayonihuzunisha 1.Wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema 2.Mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo 3.Yaani shule wanaingia saa 4 Kuhusu taaluma 1.Kufaulu 1 kati ya 120 2.Mwanafunzi mwaka mzima kasoma page 2 3.Muda wa masomo wanashinda vijiweni wakicheza kamari 4.Akienda...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya ufundishwaji wa masomo ya sayansi kwa Afrika na China

Back
Top Bottom