wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mtaa zifanye jambo kuhusu usalama wa wanafunzi katika shule ambazo zina vichaka pembeni

    Huku mtaani kwetu kuna shule nyingi ambazo hazina uzio na mazingira yake pembeni yamekuwa na mitimiti ambayo ikifika mida ya jioni kunakuwa na mazingira flani ambayo ni hatarishi kwa wanafunzi. Sisi wenyewe ndio tumesoma kwenye shule nyingi za aina hiyo lakini sasa hivi tumekuwa nimegundua kuwa...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 92% ya Wanafunzi nchini wanatembea kwa Miguu kwenda Shule

    Jiji la Dar es salaam linaongoza kwa kuwa na Wanafunzi wengi wanaotumia Mabasi ya Shule kulinganisha na sehemu nyingine yoyote Tanzania. Wanaotembea mpaka Shule - 92.6% Wanaotumia Usafiri wa Umma - 3.7% Wanaotumia Basi la shule - 1.5% Wanaotumia Baiskeli - 1.1% Wanaotumia Magari binafsi - 0.6%...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Wazazi 763 wakamatwa kwa kutopeleka Wanafunzi waliofaulu Shuleni

    Idadi hiyo imefikiwa baada ya msako wa nyumba kwa nyumba uliofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro, kutokana Wanafunzi wengi wa Darasa la Kwanza na Kidato cha Kwanza kutoripoti Shuleni. Maeneo mengi Nchini yamekuwa na mwitikio wa kusuasua kwa Wanafunzi waliofaulu kuripoti Shuleni...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madereva Pemba wakerwa tabia ya Wanafunzi kupuuzia honi barabarani

    Madereva wa vyombo vya moto Kisiwani Pemba, wamewataka wanafunzi kutodharau honi wanazowapigia au miungurumo maalum ya mashine, ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika. Wamesema, wanafunzi wengi wamekuwa na tabia ya kudharau honi au mivumo isiyokuwa na kawaida, wanayoifanya ili wakae pembeni...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi zaidi ya 21,930 shule za Msingi Mwanza hawajui kusoma, kuandika, kuhesabu

    Zaidi ya wanafunzi 21,930 wa Shule za Msingi Mkoani Mwanza bado hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu hivyo walimu kutakiwa kuongeza jitihada na mbinu zitakazofanikisha wanafunzi kumaliza darasa la kwanza wakiwa na stadi hizo za KKK tatu. Akizungumza na Walimu na wasimamizi wa masuala ya elimu...
  6. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini hasa? Madarasa tayari Wanafunzi hawataki Shule

    Haya ni maajabu ya Tanzania ya CCM, Sasa hivi inajisifu kujenga madarasa mengi na ya kisasa kwa shule za msingi na sekondari kwa pesa nyingi sana za kukopa, tozo na kodi za kawaida. Pia sasa hivi elimu inasemekana ni bure kote huko yaani msingi na sekondari. Tunawapongeza. Ajabu ni kuwa kuna...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wenzhou, Zhejiang China: Wanafunzi wa kigeni wajifunza kuandika neno "Fu" ili kusherehekea mwaka mpya wa jadi wa China

    Januari 19, huko Wenzhou, mkoa wa Zhejiang, China, katika makazi ya Luyuan, Wilaya ya Lucheng, wakazi waliwafundisha wanafunzi wa kigeni kuandika neno "Fu" (linamaanisha "baraka" katika lugha ya Kichina) ili kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China.
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kocha asimamishwa kazi baada ya kulazimisha wanafunzi kupiga Push-ups 400

    Kocha wa shule ya upili ya Texas amepewa likizo ya utawala baada ya kuwataka wanafunzi wa riadha kupiga Push Ups 400 ambapo baadhi yao walitakiwa kupata matibabu na kulazwa Hospitali. Kocha wa Rockwall-Heath, John Harrell. anashutumiwa kwa kuongoza darasa la riadha Januari 6 ambapo...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 716,664 Kidato cha Kwanza hawajaripoti shuleni hadi sasa

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili Januari 15, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msingwa, wanafunzi 354,277 wakiwemo wenye ulemavu 697, ndiyo walioripoti hadi sasa kati ya wanafunzi 1,070,941 wanaotarajiwa kuingia kidato cha kwanza sawa na asilimia 33 ya matarajio. Aidha amesema...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ulawiti katika shule mkoani humo. Uamuzi wa Serikali unatokana na gazeti moja nchini kuripoti uwepo wa shule inayofundisha masuala hayo mkoani humo kitendo...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wanafunzi 27,867 hawajaripoti Kidato cha Kwanza hadi sasa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa #TAMISEMI, Angellah Kairuki ameagiza Uongozi wa Mkoa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha Wanafunzi hao wanaripoti Shule mapema iwezekanavyo. Idadi hiyo ambayo ni sawa na 55.2% ya Wanafunzi waliotakiwa kuwa Darasani mpaka sasa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kahama anatishia usalama wa waandishi wa habari, zikiripotiwa stori za wanafunzi kusomea chini anakasirika

    Waandishi wa habari Mkoani Shinyanga wameomba mamlaka zinazohusika kuingilia kati vitisho vinavyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga. Malalamiko ya waandishi wa habari ni juu ya hali ya ulinzi na usalama wao katika shughuli zao pindi wanapoandika habari za changamoto zilizopo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kigeni wafanya shughuli za kushuhudia mwaka mpya wa jadi wa Kichina

    Wanafunzi wa kigeni kutoka Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Zhejiang walifanya shughuli za kushuhudia ya mwaka mpya wa jadi wa kichina ili kupata uzoefu wa desturi za China na kuona uzuri wa utamaduni wa jadi wa China.
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 4 kati ya 88 waripoti Kidato cha Kwanza Geita

    Ikiwa wiki moja imepita tangu kuanza kwa msimu wa masomo mwaka 2023 Tanzania, wanafunzi wanne kati ya wanafunzi 88 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Izumachel iliyopo wilayani Geita mkoani hapo ndio walioripoti katika shule hiyo. Shule hiyo iliyoanza mwaka 2022...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Wanafunzi wa imani ya Rastafari kusoma wakiwa na rasta asili

    Jamani someni na hii hapa
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 13,000 hawajaripoti kidato cha kwanza Songwe

    Zaidi ya wanafunzi 13,000 sawa na asilimia 63 wa kidato cha kwanza mkoani Songwe waliochaguliwa kuanza masomo Januari 9 mwaka huu, hawajaripoti shuleni hadi leo Ijumaa. Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amesema hayo leo wakati akitoa salamu za mkoa katika kikao kazi cha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete afanya ziara Jimboni, agawa vifaa vya masomo na kukagua miradi

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya Msata ambapo Serikali ya Rais Samia imetoa milioni 280 kujenga...
  18. tpaul

    JamiiForums Tanzania Sababu za wanafunzi wa kizazi hiki kufeli masomo ni hizi hapa

    Habari zenu wadau wa elimu? Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Awali ya yote napenda ku declare interest kuwa mimi ni mwanafunzi wa zamani na mshauri wa masuala ya elimu ninayefanya kazi na kampuni ya Shuledirect. Kwa hiyo, ushauri ninaotoa hapa ni wa kitaalamu na...
  19. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania Makondakta wa Daladala wanawanyanyasa wanafunzi, Mamlaka chunguzeni mchukue hatua

    Salamu wakuu, Poleni na changamoto za January naamini zitapita tu Kama upepo wa kisulisuli Husika na kichwa cha habari hapo juu, Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha kama sio kukera sana ni suala la makondakta wa Daladala kuwanyanyasa wanafunzi waendapo shuleni asubuhi na jioni wakati wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikisha kwa mara ya kwanza wanafunzi zaidi ya milioni moja kwenda shule kwa pamoja

    Leo Jumatatu ya tarehe 09/01/2023 wanafunzi wamefungua shule ikiwemo wanafunzi 1,073,941 walioanza kidato cha kwanza ambao wote walipangiwa shule hakuna mwanafunzi ambaye yuko nyumbani kusubiri chaguo la pili "Second Selections" Ikumbuke tangu kuanza kwa utoaji wa elimu bila malipo nchini...
Back
Top Bottom