wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Andiko kuhusiana na suala zima la kudhibiti utoro wa wanafunzi mashuleni

    Utoro wa wanafunzi mashuleni ni tatizo kubwa ambalo linahitaji kushughulikiwa kwa dhati katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Tatizo hili linasababisha athari mbalimbali ikiwemo kupungua kwa ufaulu, kuongezeka kwa idadi ya watoto wanaoacha shule na kuathiri maendeleo ya taifa kwa ujumla...
  2. Communist

    JamiiForums Tanzania NHIF Na Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

    Bima kwa Wanafunzi Overview NHIF offers health insurance services to students of higher or any other learning institutions. A student who is a member of NHIF will access medical services with his/her card at any health facility certified by the Fund throughout Tanzania. Students with NHIF...
  3. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, hivi ni lini wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya form four 2023 watatowa selection ya shule walizopangiwa A level?

    Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani. Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuilaumu Law School, watanzania wanajua kwamba baadhi ya wanafunzi vyuo binafsi huwaandalia" fungu" waalimu ili wafaulu?

    Hii ni issue niliyoambiwa na mmoja ya waalimu wa chuo kikuu binafsi aliyekuwa anafundisha sheria. Aliingia chuo hicho (sikitaji) akiwa na bidii kubwa,. Anaingia Kila kipindi kwa wakati, anakuwa mkali pale wanafunzi wanapochelewa, na katika mtihani alikuwa hana mzaha. Mmoja wa wanafunzi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Law School mnayo nafasi ya kujipigania

    Yamekuwa yakisikika matokeo yasiyo na tija Law School. Kwamba wanafaulu wanafunzi chini ya 3%? Kwamba wanafunzi bado mpo tu kama makondoo mmetulia kumsubiri nani kuwapigania? Shule zinaposhindana ubora kwa kufaulisha, kwa nini Law School wao wanajinasibu ubora kwa kufelisha? Kwamba hawa wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mabilioni yanusuru wanafunzi kukosa madarasa na madawati mkoani Arusha

    Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Arusha, Hargney Chitukuro amesema kuwa mwaka huu hakuna mwanafunzi aliyekosa kuingia darasani kwa kukosa chumba cha darasa au dawati. Amesema wamefanikiwa kuepukana na adha hiyo kutokana na uamuzi wa serikali kutoa zaidi ya Sh. bilioni mbili kwa ajili...
  7. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Wanafunzi almanusura wasombwe na maji wakivuka mto kuelekea shule

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari Lemara pamoja na shule ya msingi Lemara zote za serikali wamenusurika kusombwa na Maji ya mto Themi wakati wakienda shule. Mwaka jana wanafunzi watatu wa shule ya msingi Lemara waliokolewa baada ya kuzidiwa na maji wakati wakivuka mto huo kwenda...
  8. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

    Mwaka 2017 May ni mdau niliye shawishika sana kujiunga na jamii forum, kabla ya hapo nilikuwa nasoma tu na kupita hivi na sikuwa member. Ikaja thread moja kutoka kwa kijana machachali ontario kuhusu forex nikasoma na nikashawishika sana, kwa kipindi hicho nilikuwa mwa watatu chuo so kuna course...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kuna wanafunzi wa shule za umma bado wanakaa chini

    Nafikiri ifike mahala watu wamalize hii changamoto jamani. Hivi unajionaje uko mjini unatembelea usafiri wa Nguvu halafu kule kijijini ulikotoka Watoto wanakalia mawe darasani? Na kuna mikoa ina misitu na inauza mbao nayo eti inamatatizo ya madawati; Ni aibu! Naamini hili la madawati na vyoo...
  10. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

    Samaleko! Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Shonza awafariji Wanafunzi wa kike Vwawa kwa kuunguliwa na Bweni

    Mbunge wa Viti Maalum Wanawake (UWT) Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza ametoa Tracks Sut 64 na Pedi 128 zenye thamani ya Milioni 1,600,000 kwa Wanafunzi wakike 64 waliounguliwa na Bweni Shule ya Sekondari Vwawa. Mhe. Shonza amesema yeye Kama Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe anao...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania CAG abaini wanafunzi 23,000 kukatisha masomo kwa mimba, Kinondoni kinara

    RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini katika Mamlaka 19 za Seri kali za Mitaa, , wanafunzi 23,009 wamekatisha masomo yao shule za sekondari kutokana na ujauzito, huku Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ikiongoza. Katika shule za msingi...
  13. Equitable

    JamiiForums Tanzania Nyalikungu Sekondari wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu wanafunzi wajificha wakigoma kwenda shule

    Napita hapa mnadani wilayani Maswa nakuta wanafunzi wamekaa sita wa kike wamekaa vibandani. Nawauliza kulikoni hamuendi shule? Wananijibu "jana tulipigwa na leo tusipopeleka hela ya waalimu tutapigwa". Watoto wa kike wakubwa wamekosa elfu 2 ya kulipia walimu wanaojitolea. Nimewaambie warudi...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shule zaagizwa kuwasilisha Orodha ya Mabasi ya Wanafunzi, Vitambulisho na Leseni za Madereva

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imezitaka shule zote nchini kuwasilisha orodha ya mabasi yanayotumika kubeba wanafunzi, sambamba na majina, namba za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) na leseni za madereva wake, ili wasajiliwe kwa lengo la kuongeza udhibiti. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  15. Humilis

    JamiiForums Tanzania Kutoka NACTE: Maombi ya Uhamisho kwa wanafunzi wanaoendelea

    Tafadhali soma kwa umakini taarifa na mahitaji muhimu ya kuhama kabla hujaanza kufanya maombi ya uhamisho. Tarehe ya mwisho ya kuomba uhamisho ni 30-04-2022. Masharti na Sifa kwa Waombaji, Taarifa kwa Waombaji: 1. Mwanafunzi anashauriwa kuhakiki na kufahamu taarifa za msingi za chuo...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
  17. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake?

    Naombeni majibu wakubwa. Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni. Sitarajii kebehi
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Iwepo sheria laptops kwa wanafunzi wote vyuoni ziwe ni "Lenovo Thinkpad" kuwanusuru stress za matengenezo na kugharamika zaidi kununua laptops mpya

    Nashauri laptops za wanafunzi ziwe LENOVO THINKPAD, nje ya hapo mwanafunzi awe ana uwezo wa kifedha, vitu kama matengenezo ama kununua laptops mpya visiwe stress kwake, wale watoto wa kishua wanaopewa pesa bila mawazo na walioajiriwa tayari wenye spare money Linapokuja suala la wanafunzi kwenda...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wilaya ya kilwa hawapewi likizo?

    Habari wadau, ni takribani mwaka wa 4 sasa naona wanafunzi wanaosoma sekondari na msingi hususani madarasa ya mitihani hawapewi likizo mwezi wa 4, hali hii inawanyima wanafunzi muda japo kidogo wa kupumzisha vichwa vyao. Hili ni tatizo kubwa ambalo halitakiwi kufumbiwa macho na wadau wa elimu...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wizara yakemea adhabu kwa wanafunzi nchini

    Akifungua mkutano wa Tisa wa Maafisa Elimu Mikoa na Halmashauri nchini unaofanyika jijini Mwanza, Kamishna wa elimu nchini Dkt. Lyabwene Mtahabwa amewataka walimu kutoa adhabu ambazo hazitaleta madhara kwa wanafunzi. Kamishna Dkt. Mtahabwa amewataka walimu nchini kuacha kutoa adhabu kali kwa...
Back
Top Bottom