sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa,
Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana
Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama yake tu, mzee wake sijawahi kumuona ila alikuwa ananiambia ni mtumishi wa serikali.
Pia mamdogo wangu ni mkristo aliwahi kuolewa na muislam, waliweza kupata watoto wawili ila waliachana, kwa sas watoto ni wakubwa tu moja wa kiume ni daktari mwengine wa kike kawa lecturer chuoni, baada ya kuachana watoto wote ilibidi wahamie dini ya mama yao, baba yao alishaoa mke mwengine, watoto hadi sasa hawana ukaribu na baba
Kwenye mahafali ya darasa la saba nako niliona wanafunzi wengine wa kiislam kaja mama, wengine ambao kama baba alifika basi mama kwa muonekano alikuwa ni mdogo sana yupo kwenye 20s ukifatilia unaona kabisa huyu si mama yake. ila wapo ambao wazazi wote walifika.
Form 6 niliweza kuwajua wawili niliofika nyumbani kwao nao moja wao alikuwa anaishi na mama yake tu, mzee wake alikuwepo ila alikuwa hawawasiliani sana. huyo wa pili kwenye gradu ndio niliweza kuona ni mama yake tu kafika mzee hakuja sikutaka maswali mengi.
Chuoni ndiko nilikutana na wengi angalau, hali haikuwa tofauti sana, katika 7 niliowajua ni wawili tu ambao walikuwa wanapata malezi ya wazazi wote wa kibailojia (ilibidi iwe 9 ila kuna wawili mzazi moja alishatangulia)
Kwa wakristo ambao wazazi wao walioana ilikuwa nadra sana kukuta ambao wazazi wamechana na wanaishi na mama tu, na hata katika hao waliokuwepo bado mawasiliano ya baba na mtoto yalikuwepo, baba aliendelea kugharamia mambo ya ada, nguo, n. k