wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

    Wakuu, Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili. Nasema nimegadhabishwa kwa...
  2. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya meme za wanafunzi wa sudani

    tupia meme yoyote uliyoiona ili kuhusu wanafunzi wa sudani ili tufurahie maisha, tusahau machungu ya hii nchi.
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wanafunzi wanne wasimamishwa masomo kwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao

    Polisi nchini Uganda wanafanya uchunguzi wa tukio la Wanafunzi wanne (Wakiume) wa Chuo cha Jinja kudaiwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao (wakiume) mwenye umri wa miaka 15. Taarifa zinaeleza kuwa kikundi hicho kilifanya tukio hilo kwa kumfungia mwenzao huyo ndani ya chumba, wakamyanyasa...
  4. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

    Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu. Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo? They are acting like they were in boarding schools for 10...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius UDSM yafunguliwa rasmi mkoani Zhejiang

    Halfa ya ufunguzi wa kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ilifanyika Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang, China. Wanafunzi na walimu 20 kutoka Tanzania wameshiriki kwenye kambi hiyo iliyoandaliwa na...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi baadhi ya Wahadhiri (Lecturers) wetu walivyo nchini wanafunzi waliotoka Sudan kuna usalama kweli?

    Huko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania wanafunzi 150 wa kada za afya wamekuja kumaliza masomo yao. Hapo kabla ya vita kulikuwaga na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa ni kwanini madaktari wanafunzi wa Sudan wameamua kukimbilia Tanzania badala ya Kenya na Uganda majirani

    Tanzania hatuna mpaka na nchi za Sudan/ sudan kusini, sasa sielewi wetumia kigezo gani kwa hawa madaktari wanafunzi kuja kuendelea na masomo DSM kuliko Nairobi na Kampala!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan. Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
  9. VMWare-Oracle

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa chuo kwa wanafunzi wanaoendelea

    Wasalaam... Nilikuwa naomba kujua utaratibu ukoje kwa wanafunzi wanaotaka kuhama chuo kimoja kwenda chuo kingine. Conditions 1. Course ni ile ile, let say natoka DIT nikiwa nimesoma mechanical engineering mwaka wa kwanza. Lakini nataka nisome mechanical engineering mwaka wa pili nikiwa MUST...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Waasi wa ADF wavamia shule na kuua watu 40 Uganda

    Wanamgambo Waasi wa Allied Democratic Forces (#ADF), wanadaiwa kushambulia Shule ya Sekondari #Lhubirina katika mji wa #Mpondwe, na kusababisha vifo 40, huku idadi isiyojulikana ya watu wakitekwa nyara Meya wa Mpondwe, Selevest Mapoze, amesema wengi wa waliouawa ni Wanafunzi, huku kukiwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

    Binafsi nazijua shule mbili ambazo karibu kila msichana wa kuanzia form two ana boyfriend ndani ya shule au nje ya shule wakiwemo na watu wazima pia ambao sio wanafunzi. Kuna idadi kubwa sana ya wasichana wa sekondari ambao wanadanga na kujiuza kwa wanaume. Ile sheria ya ubakaji ya mwaka 98...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Bajeti kuu, 2023-2024: Mapendekezo ya kufutwa kwa ada kwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaopangiwa vyuo vya kati

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchema amesema bajeti inapendekeza kuondolewa kwa ada kwa wanafunzi wanaopangiwa vyuo vya kati na Serikali wakimaliza kidato cha nne, vyuo hivyo ni, DIT, MUST na AITC. Waziri wa fedha amesema serikali imefikia uamuzi huo ili kuzalisha wataalamu wengi wa fani...
  13. jebs2002

    JamiiForums Tanzania Chakula kuchanganywa na Mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike Sekondari

    Moja kwa moja kwenye mada. Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje? Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAMISEMI wamechagua wanafunzi kujiunga NACTVET?

    Mh waziri Tamisem Angela Kairuki, wiki hii ametangaza chaguzi/selection za vijana wa kidato cha nne kujiunga na kidato cha tano pamoja vyuo mbalimbali. Miaka ya nyuma vijana wote waliokuwa wakijiunga na vyou vya ufundi pamoja na uwalimu serikali ilikuwa inacover gharama zote au baadhi. Leo hii...
  15. Tizzo G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wanafunzi wa kike mwaka wa kwanza kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Kama jamii ya watanzania na Kwa maadili yetu, tunategemea kuona watoto wa kike wakipata malezi Bora na ushauri nasaha kuhusu mahusiano na athari za mahusiano ya kimapenzi hasa Kwa wale wa mwaka wa kwanza katika elimu ya chuo Kwa ngazi ya shahada. Wanafunzi wengi wa kike hujikuta wakiangukia...
  16. Engager

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi, walezi na wanafunzi mliochaguliwa kujiunga kidato cha 5

    Nimeona mijadala humu. Mwanafunzi anauliza nimechaguliwa shule flani, wazazi na walezi wanauliza mwanangu kachaguliwa shule flani, mkitaka kujua kama shule hizo ni nzuri ki ufundishaji na ufaulu kwa ujumla. Niwape tu general information. Shule nyingi za serikali ni tiamaji tiamaji. Shule...
  17. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tamisemi watoa post za kujiunga na kidato cha tano, Special na shule binafsi zaongoza kwa wanafunzi wake kupangiwa special again

    hii ni shule ya secondary ya wasichana St Francis wakati wanafunzi wengi wakipangiwa Utwango, Kanga, Mwakavutwa, Lupalilo na Mwimbi mambo ni tofauti kwa shule special wanafunzi wamepangiwa tena special ama kweli kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake ila swali la kujiuliza wanafunzi wengi...
  18. Baltazary Twati

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ajiralink.com - kuunganisha vijana na fursa za ajira na ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo

    Kichwa cha habari: Ajiralink.com - Kuunganisha Vijana na Fursa za Ajira na Ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo. Kwa kuzingatia vigezo na masharti yaliyotolewa, naomba kutoa andiko kuhusu wazo la Ajiralink.com, jukwaa litakalolenga kuondoa changamoto ya upatikanaji wa ajira, nafasi za...
  19. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Madakatari wanafunzi (Intern) waelekezwe

    Hii ni True Story! Nilikuwa na mgonjwa amelazwa ward hospitali ya Serikali ya Rufaa Zaidi ya wiki…. Pamoja na kuwa madaktari wa Intern walikuwa wanajitahidi sana ila walishindwa kujua tatizo lake, badala yake walikuwa wanaongeza tu dozi ya dawa moja wanayo ijua bila kujiuliza kwa nini haimsaidii...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini Waendelea Kutatua Matatizo Yanayowakabili Wanafunzi wa Sekondari za Kata

    MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA KUTATUA MATATIZO YANAYOWAKABILI WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA KATA * Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374 * Jimbo lina Sekondari za Kata 25 na 2 za Binafsi. Kwa sasa ujenzi wa sekondari mpya 4 unaendelea kwenye Vijiji vya Nyasaungu...
Back
Top Bottom