wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 34 wa Udaktari walioondolewa chuo (UDSM-MCHAS) waililia Wizara ya Elimu iwasaidie

    Mwaka 2018 wakati Tume ya Taifa ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ilipokuwa katika utaratibu wake wa ukaguzi wa vyuo vikuu Nchini ilibainika kuna vyuo ambavyo ama havikidhi vigezo au mazingira yake si salama kimasomo. Uamuzi uliochukuliwa baada ya kubainika kutokidhi vigezo ilikuwa ni vyuo kufungwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

    Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18, 2023. Mama Janeth amewaasa wanafunzi wasichana katika Shule za Msingi na sekondari nchini kote...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wageuka kuwa wafanyabiashara Katavi

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbambali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo mbambali ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tsh. Milioni 200 kujenga mabweni ya wanafunzi wa kike wilayani Rungwe

    Halmashauri ya Rungwe mkoani Mbeya imetenga zaidi ya Sh 200 milioni kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Kisondelo, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu na kudhibiti utoro. Mwenyekiti wa...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali inazungumziaje suala la wanafunzi kukaa na njaa shuleni hadi usiku?

    Hivi Mwanafunzi anayeshinda na njaa kuanzia Asubuhi hadi usiku saa tatu. Hapa Dar es Salaama unakuta 90% ya wanafunzi wa shule za serikali wanaamka saa kumi na moja na kuanza kugombania daladala na wakifika shule hamna uji Wala chakula na mwanafunzi ili Afike kwao Mbagara, Gongo la Mboto au...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi wa kuanzia mwaka 2000 hadi sasa hawawajui Walimu wao Wakuu na hata Walimu tu wa Kawaida?

    Akina GENTAMYCINE tuliosoma miaka hiyo ya mid 80's hadi late 90's mpaka leo Majina ya Walimu Wakuu, Walimu waliotufundisha hadi Walinzi wa Shule tunajua majina yao. Mitoto ya Siku hizi hawawajui Walimu Wakuu Wao na wanaowajua zaidi ni Wasanii, Madereva wa School Bus zao, Bajaji na Wauza Chips...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TCU chukueni hatua dhidi ya chuo cha SAUT-Mtwara

    Habari, Moja kwa moja kwenye hoja, Chuo cha SAUT-Mtwara kimechoche kudidimiza ubora wa wahitimu wa chuo hicho kwa miaka kadhaa sasa, sababu kubwa ni kushidwa kuwalipa walimu na kuwatengenezea madeni makubwa huku wengi wakikimbia kusaka masilahi serikalini, na kwenye vyuo binafsi. Kuna baadhi ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake toeni ushirikiano mzuri kwa Madaktari wanafunzi wanapokuwa mafunzoni

    Nashangaaga sana utakuta mwanamke anashindwa kutoa ushirikiano mzuri kama daktari atakuwa yupo karibu na wanafunzi wanaosomea udaktari, mfano labda mwanamke ana shida sehemu zake za siri utakuta anamwambia daktari awafukuze wanafunzi ndipo aweze kumueleza tatizo. Kwa daktari asiye muelewa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kigezo alichotumia Rais Samia kuongeza posho za wanafunzi akitumie pia kuongeza posho zetu askari

    Raisi Samia Askari tunahitaji uongeze posho zetu kwa KIGEZO kilekile kwamba gharama za maisha zimepanda!! Kama ilivyo kwa watu wengine nasi maisha yamepanda Sana hivyo hakikisha unaongeza posho zetu ikiwezekana kabla ya mwezi July. Sisi kama unavyoelewa muda wote tunakutumikia wewe iwe mvua...
  10. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania HESLB wachelesha pesa za kijikimu, Wanafunzi wahaha

    Hiki ndicho kinachotokea Vyuo tofautitofauti hapa nchini hususani Chuo Kikuu Cha Kilimo SOKOINE. Ikumbuke kuwa Takribani wiki tatu zimepita tangu wanafunzi wamemaliza semista ya kwanza ndani ya mwaka wa masomo 2022/2023 na wanafunzi wamerudi likizo fupi toka Ijumaa ya tarehe 03 March 2023, Ila...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Hasheem Rungwe: Wanafunzi na wagonjwa wapewe ubwabwa bure

    Uongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia upya mfumuko wa bei hali ambayo inapelekea ugumu wa maisha kwa wananchi, huku mwenyekiti wa chama hicho Hasheem Rungwe akisisitiza suala la chakula shuleni na hospitali linapaswa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 1000 wajitokeza kuchangia damu, chupa 600 za damu zapatikana katika Kampeni ya KISUTU GIRLS BLOOD DRIVE

    Zaidi ya Wanafunzi 1000 kutoka Shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es Salaam wamejitokeza katika tukio la uchangiaji damu wa hiari lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Kisutu ambapo zaidi ya chupa 600 za damu zimepatikana. Tukio hilo la uchangiaji damu wa hiari limeratibiwa na Shule...
  13. witzone2

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yapiga marufuku watoto kukaa bweni (boarding) kuanzia darasa la nne kushuka chini

    Serikali ya CCM imeamua kufanyia tangazo la jirani zetu wakenya kupiga marufuku watoto kuishi shuleni kuanzia darasa la nne. Sababu kuu wanayodai ni mmomonyoko wa maadili shule za bweni kuwa ni mkubwa mno. Mimi ni mdau wa elimu, hii sababu sio kweli hata siku moja.. SEMA kwa sababu Serikali...
  14. Perfectz

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanateseka sana kuhusu usafiri wa daladala

    Ni majira ya asubuh niko kituoni nasubiri daladala(mwana JF pekee nisie na gari) nielekee kwenye mizunguko yangu ya kutafuta riziki. Mara likafika daladala la kuelekea makumbusho, konda kasema sipakii baada ya kuona wanafunzi wengi pale kituoni. Kaenda mbele kapakia watu wazima kasepa. Hali ni...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 2, 000 warundikana kwenye vyumba 12 vya madarasa

    Wanafunzi 2, 084 wa Shule ya Msingi ya Mvinza Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanabanana katika vyumba 12 pekee vya madarsa vilivyopo shuleni hapo huku zaidi ya nusu yao wakikaa chini sakafuni kutokana na upungufu wa madawati. Kwa mujibu wa Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Mvinza, Zacharia Charles...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Hali tete, Urusi kuanza kulazimisha wanafunzi wakapigane Ukraine

    Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo taifa hivi karibuni litaishiwa wanaume. ===================== "Russia is preparing to draft...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ritta Kabati aeleza namna Rais Samia anavyowajali wanafunzi wa Vyuo Vikuu

    MBUNGE MHE. DR. RITTA KABATI AWAPA SOMO WANAFUNZI CHUO KIKUU, AELEZA NAMNA RAIS SAMIA ANAVYOWAJALI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, (CCM) Mhe. Dkt. Ritta E. Kabati @dr.rittakabati amewataka wanafunzi wa Vyuo Vikuu kujikita katika masomo yao wawapo vyuoni na kuacha mambo ambayo yatapelekea...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Miili ya wanafunzi wote waliozama Mto Luiche imepatikana

    Mwili wa mwanafunzi Zabibu Jumanne (8) ambaye ndiye pekee alikuwa hajapatikana kati ya wanafunzi wanne wa Shule ya Msingi Kagera Manispaa ya Kigoma Ujiji waliozama ndani ya maji ya Mto Luiche baada ya mtumbwi waliopanda kupinduka umepatikana. Kupatikana kwa mwili wa Zabibu kumefanya idadi ya...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Wanafunzi 4 wazama mto Luiche wakivuka kwenda shule. Miili 2 yapatikana kati ya watoto 4 waliozama

    Watoto wanne wamepotea kwa kuzama katika mto Ruiche na wengine wawili kuokolewa baada ya mtumbwi uliokuwa umewabeba kupinduka na kuzama katika mto huo uliopo Kata ya Kagera Manispaa ya Kigoma Ujiji. Watoto hao walikuwa wakielekea shule ya msingi Kagera, ambapo hulazimka kuvuka ng'ambo ya pili...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mwanza mjini kuna shule haina madawati na Wanafunzi wanakaa zaidi ya 200 darasani? Nimeshangaa kupita maelezo!

    Nimeona kupitia Star tv Mkuu wa Wilaya Mh Makilagi akiwataka Wananchi wajitolee kuchimba Misingi ya madarasa halafu wahisani wa kujenga watatafutwa Makilagi alikuwa kwenye Shule ya Msingi inayotumia Jina la Kiongozi mmoja Mkuu hapa nchini Makilagi amesema katika Shule hiyo Wanafunzi 250...
Back
Top Bottom