wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Unguja avamia shuleni kusaka simu na shisha kwa wanafunzi

    Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Rashid Simai Msaraka amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari ya Forodhani kwa lengo la kufanya msako wa Wanafunzi wanaotumia shisha zinazotumia umeme pamoja na simu. DC huyo amefika Shuleni na kuamuru Wanafunzi wote washushwe parade na...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa

    Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli? Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi...
  3. mjandwasafi

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ukosefu wa vyoo wezeshi: Kizuizi kwa elimu ya wanafunzi wenye ulemavu

    Uwepo wa vyoo bora ni muhimu sana katika shule ili kuhakikisha mazingira salama na afya kwa Wanafunzi ili kuwezesha suala la ufundishaji na ujifunzaji. Hata hivyo katika shule jumuishi changamoto hujitokeza linapokuja suala la vyoo kwa Wanafunzi wenye ulemavu na wenye mahitaji maalumu. Suala...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe pole tena kwa Wanafunzi waliozama Ziwa Victoria

    Naandika Kwa uchungu sana, miezi michache iliyopita Kuna wanafunzi walizama hapa Kigoma Kwa mtumbwi. Leo Tena tukio kama Hilo limetokea, kama kawaida Viongozi wa CCM na Serikali watalitumia Tukio hili kupata political mileage. Dah --- Shughuli ya kutafuta watu 13 waliozama ndani ya Ziwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa advance Chamwino wamnunulia mwalimu wa hesabu baiskeli kwa kutambua mchango wake!

    Wanafunzi wa Kidato cha sita Shule ya Sekondari Chamwino wamempa FURAHA YA KUSHTUKIZA mwalimu wao wa HESABU/ADVANCED MATHEMATICS, MR. EMANUEL GEORGE KIPAHO kwa kumnunulia usafiri wa Baiskeli kwa kutambua mchango wake na juhudi zake anazozitoa kufundisha darasani na muda wake wa Ziada. Shule hii...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Rushwa kwa watendaji wa serikali

    Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa. Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini serikali imewachagulia wanafunzi wa sayansi kusoma art 'A' level ilihali wanapenda sayansi!?

    Ndugu wanabodi nimekutana na huu mkanganyiko hasa kwa wahitimu wa jinsia ya kiume, ambao katika uchaguzi wao wa masomo walichagua kusoma sayansi, isitoshe wamepata credit zinazokidhi kuendelea na masomo ya sayansi. Kwa mshtuko na mshangao wengi wao wamechaguliwa wakasome masomo ya art Kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kazi wanayofanya vyema Watanzania wenye Phd nikufelisha wanafunzi wazawa; Wapo Maprofesa hata kununua kiti/meza ofisini kwake anasubiri Serikali

    Nakumbuka kufeli kwa wanafunzi wa Sheria mwaka huu na mwaka jana na sababu zilizotolewa na shule ya sheria Dar es salaam. Naangalia inachukua muda gani vyuo vya Tanzania kuprinti cheti cha mwanafunzi aliyehitimu; naangalia inachukuliwa hatua gani kwa wasomi wazembe na wasio na maadili, naangalia...
  9. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania WAALIMU mliopitia JKT acheni kuwapigisha adhabu za kijeshi wanafunzi. ndio maana mnaua!

    Ukiangalia vifo vingi vya wanafunzi ambavyo vinasababishwa na waalimu vinatokana na kupewa adhabu au kipigo nje ya utaratibu wa kawaida wa fimbo. nawatahadharisha tu walimu kuwa maeneo yaha ambayo nayataja hapa ni hatari sana kupiga hasa kwa watoto wadogo 1. kupiga NGWALA, hii inapelekea mtoto...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Shule ya Msingi Tumaini ya Tabata Kimanga Wanafunzi wasiochangia Tsh. 800 wanatolewa Darasani

    Wazee nendeni Shule ya Msingi Tumaini, ipo Kata ya Kimanga, Dar es Salaam kila siku kila Mwanafunzi wa Darasa la Saba anatakiwa atoe mchango Tsh. 800 na kwa siku ya Alhamisi wanachangishwa Tsh. 2,000 ya mtihani. Pia soma: Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule...
  11. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Global education link daraja kwa wanafunzi nje ya nchi

    Global Education Link yawakaribisha Wanafunzi wa ngazi mbalimbali za Elimu ya juu kutembelea katika Banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 18 ya vyuo vikuu nchini Yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja Jiji Dar es salaam ili kupata nafasi yakuunganishwa na Vyuo Vikuu mbalimbali Duniani...
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waacha shule na kwenda kufanya kazi za ndani kutokana na michango kuwa mingi mashuleni

    Baadhi ya wanafunzi wanaosoma Shule za Serikali za Kata wameshindwa kuendelea na masomo na kuacha shule kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni utitiri wa michango mashuleni. Moja ya shule kati ya nyingi zilizopo Jijini Arusha ni Sekondari ya Lemara iliyopo katika Kata ya Lemara kwenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa chuo wanaokwenda TANESCO kufanya field huwa wanalipwa?

    Hey
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanafunzi 92 waliorejea shule baada ya kujifungua, wakwama kuendelea na masomo

    Ugumu wa maisha na kukosekana kwa Wasaidizi wa kulea Watoto kumetajwa kuwa kuwa sababu ya kusitisha masomo kwa Wanafunzi 92 kati ya 265 waliorejea masomoni baada ya kupata ujauzito shuleni chini ya Utaratibu wa Kuboresha Elimu Sekondari (SEQUIP). Msimamizi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya wasichana Loleza (Kombi ya HGL) usiku wa kuamkia Julai 11, 2023 walilazimika kulala darasani ikidaiwa kuwa ni baada ya mwalimu wa bwenini kuondoka na funguo za bwenini kwao. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera...
  16. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanafunzi waliochelewa kuripoti shule ya wasichana ya Lucas Malia walala mtaani baada ya kuzuiwa kuingia

    Wakuu, Nimekutana na ujumbe unasambaa kwenye mitandao ya kijamii Twitter, Instagram na hata humu JF nimeona mtu kaweka uzi kuwa wanafunzi tena wakike kutoka shule ya wasichana ya Lucas Malia walifungiwa mlango na hivyo kulazimika kulala nje sababu eti walichelewa kufika siku waliyotakiwa...
  17. Governor of Bettors-GB

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wanafunzi wa darasa la 7 shule ya Msingi Chanika wazuiliwa kuingia darasani kutokana na kutochangia 500 ya masomo

    Ninawajulisha tuuuu,mpita njia wenu. CC:- Afisa Elimu Kata (Limemshinda au kajiongeza) Afisa Elimu Wilaya (Hasomeki,vikaoni haendagi) Afisa Elimu Mkoa (anajua mambo saafi kwa wa chini yake) Wizara ya Elimu WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Chanika wanaojiandaa na mitihani ya Darasa la Saba wengi...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Machaguo ya Wanafunzi wanaojiunga Form 5 yapangwe mapema, mamlaka zinawaumiza Wazazi na walezi

    Naomba mamlaka zinazohusika kuchagua Wanafunzi kwenda kidato cha tano zote zitoe nafasi ya waliochaguliwa mapema ili kuwawezesha wazazi na walezi kufanya maandalizi ya kuwapelekea Watoto shule kwa utaratibu. Machaguo yanapotoka mapema inampa fursa hata mzazi au mtoto kujipanga mapema kwa kujua...
  19. Lidafo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Hizi ndizo fursa zilizopo vyuo vikuu, enyi wanafunzi wa vyuo vikuu tumieni fursa hizi kutengeneza ajira zenu baada ya chuo

    Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa na hii ni kutokana na wingi wa wanafunzi wanaohitimu kila mwaka huku serikali ikishindwa kutoa ajira kwa wahitimu wote, Katika kukabiliana na tatizo hili serikali imekuwa ikipendekeza njia ya kujiajiri na sio kusubiri kuajiriwa swali la msingi hapa ni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wakati ni maelfu ya wanafunzi hudahiliwa kila mwaka hapo Law School, ni mawakili 195 tu watakaosajiliwa rasmi. Nyomi huishia wapi?

    Hafla hiyo itafanyika katika ukumbi wa Karimjee tarehe 6/7/2023. Hii ni kwa mujibu wa tangazo la tume ya mahakama. https://www.judiciary.go.tz/web/index.php?r=announcements/pdf&id=204 Ila kwa kuwa Law school hudahili zaidi ya elfu moja kwa mwaka katika intakes zake zote mbili, ina maana wengi...
Back
Top Bottom