Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,596
108,967
Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli?

Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi inawezekana Kweli Mwanafunzi wa Udaktari nikawa naona kila muda katika Kambi zetu za Starehe, Ngono na Uhuni?

Niko Jirani na Hostels za Wanafunzi wa Muhimbili za pale Chole Road Masaki kiukweli siku ukisema uzamie ndani usikilize story za Wanafunzi wa Kike na wa Kiume (ambao ndiyo Madaktari Watarajiwa) unaweza ukajiwekea utaratibu wako kuwa Siku ukiugua ni bora tu Nduguzo wakupeleke ama kwa Mganga wa Kienyeji ukatibiwe au kwa Mtume wao Mwamposa Tanganyika Packers Kawe au Kuhani Mwacha Kimara Temboni ukaombewe nao tu Kiuwongo na Kweli na Utapona kwa Imani.

Sasa hiyo ya Hostels za Wanafunzi wa Udaktari wa Muhimbili pale Masaki ni Kenda (Tisa) ila Kumi ni katika Chuo (cha Taasisi Nyeti) nipo nayo pia Jirani kwa upande wa Kawe ambako King Kong III anafanyia Kazi na Mtani wangu wa Kihaya Chachu Ombara kutwa humkosi huko na ALPHARD yake Nyeupe akinyengeanyengea Totooz wa hapo.

Kwa ninayoyaona kwa Wanafunzi wa Udaktari wa hiki Chuo cha Taasisi Nyeti chenye Initials za MSMC (zigeuze) ambao Kutwa nyakati za Usiku nawafuma Vichakani na katika Gari zilizopakiwa Vichakani Wakitinduliwa blla Huruma na Wengine wakigongea Chips zetu za Buku Jero na Makande ya Jero katika Mighahawa ya Soko Kuu la Kawe na Viunga vyake na baadhi yao Kukuomba Location ya kwenda kula Bata huwa nashangaa na kuskitika nikisikia Mwisho wa mwaka Wanahitimu na Kuitwa Madaktari na huwa nawaonea zaidi Huruma Wagonjwa ambao hufungua nao Dimba la Matibabu katika Hospitali yao Kubwa na nyinginezo za Mikoani ambako huwa Wanasambazwa.

GENTAMYCINE niviombe tu hivi Vyuo Vikuu vya Udaktari nchini vikaze Msuli kwa Wanafunzi na ikiwezekana Wanafunzi wao wawe busy kiasi kwamba hata muda wa kwenda Kupuu wawe Wanaukosa ili Wakitoka na Kuhitimu hapo wawe ni Nondo (Competent) hasa.

Kama akina GENTAMYCINE tuliosoma tu Kozi ya Mass Communication SAUT Mwanza mwaka 2006 tuliingia Wanafunzi 379 na tuliovaa Joho pamoja na Marehemu Rafiki yangu mkubwa Haonga Lutengano ( RIP ) na Kuhitimu chini ya aiyekuwa Vice Chancellor na Mwalimu wangu mahiri wa Media Law Dk. Fr. Charles Kitima tulikuwa ni 153 ( GENTAMYCINE nikiwemo ) huku Dada Zamaradi Mketema akiachia Manyoya ( akikimbia Mwaka huo huo wa Kwanza ) na Wengine Kutemwa ( Kuchujwa ) kwanini na hivi Vyuo vya Udaktari nchini navyo visiige Mtindo huu ili kupata Cream ya Watu walioiva kweli kama tulivypikwa Sisi Mabingwa wa Habari na Mawasiliano na Chuo Kikuu changu pendwa na bora cha Mtakatifu Augustino Mwanza?

Nimalizie tu kwa kuwaambia Wazazi na Walezi kuwa kama unataka Mwanao awe Mgwena ( Nguli ) wa Masuala ya Habari, Mawasiliano na Mahusiano ya Umma na Wawe Smart and Brainy kama GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums ( Mimi ) usimpeleke kokote utapoteza Fedha zako na hatopikwa vyema bali mpeleke haraka Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza na utakuja Kunishukuru GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" hapa JamiiForums.
 
Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha Story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli?
ka Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza na utakuja Kunishukuru GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" hapa JamiiForums.
 
Moral of the story

1. Popoma anaishi kawe ( dar)

2. Amesoma Saut.
3. Kozi ya uandishi.

Uhalisia upo hivi:

1. Popoma hajawahi kufika dar anafanya kupasikia tu. (Mambo ya tanganyika packers ( kwa mwamposa)na temboni(kwa kuhani mussa)anafanya kupasikia kwenye redio.

2. Amesoma ualimu butimba ttc mwanza kisha kurejea kwao bunda mkoani mara.

Afya ya akili ni tatizo kubwa sana kwa watanzania
 
1.Hana gari.

2.Dalali wa vyumba kawe.

3.chuo alichokiongelea ni chuo cha afya lugalo.

Yaani kuongea kote sijaona Hoja yake ya msingi.

Maana anasema mchujo hivi anajua idadi ya watu wanaoanza udaktari na kumaliza aende.muhas,kcmc.

Mwisho wa siku mkuu Afya usifananishe na course yoyote hakuna daktari kilaza dunia.
 
Hajawahi kufika dar
 
Unanichukia na hunikubali halafu Kutwa ( 24/7 ) bado tu unanifuatilia hapa JamiiForums.

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli?

Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi inawezekana Kweli Mwanafunzi wa Udaktari nikawa naona kila muda katika Kambi zetu za Starehe, Ngono na Uhuni?

Niko Jirani na Hostels za Wanafunzi wa Muhimbili za pale Chole Road Masaki kiukweli siku ukisema uzamie ndani usikilize story za Wanafunzi wa Kike na wa Kiume (ambao ndiyo Madaktari Watarajiwa) unaweza ukajiwekea utaratibu wako kuwa Siku ukiugua ni bora tu Nduguzo wakupeleke ama kwa Mganga wa Kienyeji ukatibiwe au kwa Mtume wao Mwamposa Tanganyika Packers Kawe au Kuhani Mwacha Kimara Temboni ukaombewe nao tu Kiuwongo na Kweli na Utapona kwa Imani.

Sasa hiyo ya Hostels za Wanafunzi wa Udaktari wa Muhimbili pale Masaki ni Kenda (Tisa) ila Kumi ni katika Chuo (cha Taasisi Nyeti) nipo nayo pia Jirani kwa upande wa Kawe ambako King Kong III anafanyia Kazi na Mtani wangu wa Kihaya Chachu Ombara kutwa humkosi huko na ALPHARD yake Nyeupe akinyengeanyengea Totooz wa hapo.

Kwa ninayoyaona kwa Wanafunzi wa Udaktari wa hiki Chuo cha Taasisi Nyeti chenye Initials za MSMC (zigeuze) ambao Kutwa nyakati za Usiku nawafuma Vichakani na katika Gari zilizopakiwa Vichakani Wakitinduliwa blla Huruma na Wengine wakigongea Chips zetu za Buku Jero na Makande ya Jero katika Mighahawa ya Soko Kuu la Kawe na Viunga vyake na baadhi yao Kukuomba Location ya kwenda kula Bata huwa nashangaa na kuskitika nikisikia Mwisho wa mwaka Wanahitimu na Kuitwa Madaktari na huwa nawaonea zaidi Huruma Wagonjwa ambao hufungua nao Dimba la Matibabu katika Hospitali yao Kubwa na nyinginezo za Mikoani ambako huwa Wanasambazwa.

GENTAMYCINE niviombe tu hivi Vyuo Vikuu vya Udaktari nchini vikaze Msuli kwa Wanafunzi na ikiwezekana Wanafunzi wao wawe busy kiasi kwamba hata muda wa kwenda Kupuu wawe Wanaukosa ili Wakitoka na Kuhitimu hapo wawe ni Nondo (Competent) hasa.

Kama akina GENTAMYCINE tuliosoma tu Kozi ya Mass Communication SAUT Mwanza mwaka 2006 tuliingia Wanafunzi 379 na tuliovaa Joho pamoja na Marehemu Rafiki yangu mkubwa Haonga Lutengano ( RIP ) na Kuhitimu chini ya aiyekuwa Vice Chancellor na Mwalimu wangu mahiri wa Media Law Dk. Fr. Charles Kitima tulikuwa ni 153 ( GENTAMYCINE nikiwemo ) huku Dada Zamaradi Mketema akiachia Manyoya ( akikimbia Mwaka huo huo wa Kwanza ) na Wengine Kutemwa ( Kuchujwa ) kwanini na hivi Vyuo vya Udaktari nchini navyo visiige Mtindo huu ili kupata Cream ya Watu walioiva kweli kama tulivypikwa Sisi Mabingwa wa Habari na Mawasiliano na Chuo Kikuu changu pendwa na bora cha Mtakatifu Augustino Mwanza?

Nimalizie tu kwa kuwaambia Wazazi na Walezi kuwa kama unataka Mwanao awe Mgwena ( Nguli ) wa Masuala ya Habari, Mawasiliano na Mahusiano ya Umma na Wawe Smart and Brainy kama GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums ( Mimi ) usimpeleke kokote utapoteza Fedha zako na hatopikwa vyema bali mpeleke haraka Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza na utakuja Kunishukuru GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" hapa JamiiForums.

Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli?
Ivi madaktari hawatakiwi kuwa na social life? Issue ni kwamba hao madaktari wapewe haki zao, kwani akati wanapiga story za yanga wewe ulikufa in process, si umepona na uko hapa.
 
Afya ya Akili inazidi kutapakaa kila kukicha.
Kati ya Dalili zake ni Kujiona Unajua sana, Unajua Vingi, Hushindwi kitu, Haukosei.

#WaoneWataalamuWaAfyaYaAkili Kuna mahali Hakuko sawa.
 
Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli?

Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi inawezekana Kweli Mwanafunzi wa Udaktari nikawa naona kila muda katika Kambi zetu za Starehe, Ngono na Uhuni?

Niko Jirani na Hostels za Wanafunzi wa Muhimbili za pale Chole Road Masaki kiukweli siku ukisema uzamie ndani usikilize story za Wanafunzi wa Kike na wa Kiume (ambao ndiyo Madaktari Watarajiwa) unaweza ukajiwekea utaratibu wako kuwa Siku ukiugua ni bora tu Nduguzo wakupeleke ama kwa Mganga wa Kienyeji ukatibiwe au kwa Mtume wao Mwamposa Tanganyika Packers Kawe au Kuhani Mwacha Kimara Temboni ukaombewe nao tu Kiuwongo na Kweli na Utapona kwa Imani.

Sasa hiyo ya Hostels za Wanafunzi wa Udaktari wa Muhimbili pale Masaki ni Kenda (Tisa) ila Kumi ni katika Chuo (cha Taasisi Nyeti) nipo nayo pia Jirani kwa upande wa Kawe ambako King Kong III anafanyia Kazi na Mtani wangu wa Kihaya Chachu Ombara kutwa humkosi huko na ALPHARD yake Nyeupe akinyengeanyengea Totooz wa hapo.

Kwa ninayoyaona kwa Wanafunzi wa Udaktari wa hiki Chuo cha Taasisi Nyeti chenye Initials za MSMC (zigeuze) ambao Kutwa nyakati za Usiku nawafuma Vichakani na katika Gari zilizopakiwa Vichakani Wakitinduliwa blla Huruma na Wengine wakigongea Chips zetu za Buku Jero na Makande ya Jero katika Mighahawa ya Soko Kuu la Kawe na Viunga vyake na baadhi yao Kukuomba Location ya kwenda kula Bata huwa nashangaa na kuskitika nikisikia Mwisho wa mwaka Wanahitimu na Kuitwa Madaktari na huwa nawaonea zaidi Huruma Wagonjwa ambao hufungua nao Dimba la Matibabu katika Hospitali yao Kubwa na nyinginezo za Mikoani ambako huwa Wanasambazwa.

GENTAMYCINE niviombe tu hivi Vyuo Vikuu vya Udaktari nchini vikaze Msuli kwa Wanafunzi na ikiwezekana Wanafunzi wao wawe busy kiasi kwamba hata muda wa kwenda Kupuu wawe Wanaukosa ili Wakitoka na Kuhitimu hapo wawe ni Nondo (Competent) hasa.

Kama akina GENTAMYCINE tuliosoma tu Kozi ya Mass Communication SAUT Mwanza mwaka 2006 tuliingia Wanafunzi 379 na tuliovaa Joho pamoja na Marehemu Rafiki yangu mkubwa Haonga Lutengano ( RIP ) na Kuhitimu chini ya aiyekuwa Vice Chancellor na Mwalimu wangu mahiri wa Media Law Dk. Fr. Charles Kitima tulikuwa ni 153 ( GENTAMYCINE nikiwemo ) huku Dada Zamaradi Mketema akiachia Manyoya ( akikimbia Mwaka huo huo wa Kwanza ) na Wengine Kutemwa ( Kuchujwa ) kwanini na hivi Vyuo vya Udaktari nchini navyo visiige Mtindo huu ili kupata Cream ya Watu walioiva kweli kama tulivypikwa Sisi Mabingwa wa Habari na Mawasiliano na Chuo Kikuu changu pendwa na bora cha Mtakatifu Augustino Mwanza?

Nimalizie tu kwa kuwaambia Wazazi na Walezi kuwa kama unataka Mwanao awe Mgwena ( Nguli ) wa Masuala ya Habari, Mawasiliano na Mahusiano ya Umma na Wawe Smart and Brainy kama GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums ( Mimi ) usimpeleke kokote utapoteza Fedha zako na hatopikwa vyema bali mpeleke haraka Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza na utakuja Kunishukuru GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" hapa JamiiForums.
GENTAMYCINE the great
 
Back
Top Bottom