wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Madai ya udhalilishaji wanafunzi, Mkuu wa shule Dar achunguzwa

    Dar es Salaam. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Halmashauri ya Kinondoni jijini Dar es Salaam zimeunda kamati kuchunguza tuhuma za vitendo vya kunyanyaswa wanafunzi kingono zinazodaiwa kufanywa na mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani. Kamati hizo zinachunguza...
  2. F

    Ushauri wanafunzi mliomaliza form 6. Degree za sanaa /social science mkazisomee open university huku mnafanya mishe zingine.

    Habari wadau. Naona vijana waliomaliza form 6 mwaka huu 2023. Wana heka heka na admission za chuo zilizoanza kutoka. Ushauri wangu kwao watambue ajira zipo chache sana zama hizi kama sio hakuna. Ulimwengu huu watu wana ku value kwa kupima unachokijua ama kukifanya kwa uhalisia. Hawaku value...
  3. Biashara ya mikopo kwa wanafunzi wa chuo

    Habari wakuu. Nimemaliza chuo nimesoma microbiology degree. Kwan sasa nipo mtaani napambana na maisha. Nimekuja na wazo hapa la mikopo mnishauri mnalionaje. Nikiwa chuoni nimeona wanafunzi wengi wakihangaika wanapokosa pesa na Mimi nikiwa mmoja wapo. Sasa baada y kumaliza nimeona naweza...
  4. J

    Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

    Kwa heshima na taadhima, ninaandika kama mdau wa elimu nchini. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, waombaji wanashindwa kuwasilisha maombi yao kwa wakati. Wengi wanaishia hatua ya demographic information tu. Wanapowasilisha (submit) hakuna mrejesho...
  5. T

    Walimu tunawatendea haki Wanafunzi?

    Habari wadau wa elimu ,naomba kuuliza: hivi Ni kwanini walimu tunatakiwa ku identify mwanafunzi Kama delicate entity ,na wakati unaandaliwa kuja kwenye ulimwengu ambao Ni hursh sana?. Kwasababu ukifuatilia hapa kila mtu ,Awe mfanyakazi serikalini au private ,au amejiajiri au raia wakawaida...
  6. Upatikanaji mbovu wa taarifa kwa wanafunzi wanapokua vyuo vikuu

    Hoja: Upatikanaji Mbovu wa Taarifa na Ufanisi wa Mifumo ya Uwakilishi:Wanafunzi wanapata changamoto katika kupata taarifa muhimu vyuoni kutokana na mfumo dhaifu wa mawasiliano. Mifumo ya wanafunzi wanaowakilisha (CRs) inaweza kusaidia, lakini matokeo yake hayana uhakika kwa sababu ya muda...
  7. Mkuu wa Wilaya Unguja avamia shuleni kusaka simu na shisha kwa wanafunzi

    Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Rashid Simai Msaraka amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari ya Forodhani kwa lengo la kufanya msako wa Wanafunzi wanaotumia shisha zinazotumia umeme pamoja na simu. DC huyo amefika Shuleni na kuamuru Wanafunzi wote washushwe parade na...
  8. Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa

    Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli? Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi...
  9. SoC03 Ukosefu wa vyoo wezeshi: Kizuizi kwa elimu ya wanafunzi wenye ulemavu

    Uwepo wa vyoo bora ni muhimu sana katika shule ili kuhakikisha mazingira salama na afya kwa Wanafunzi ili kuwezesha suala la ufundishaji na ujifunzaji. Hata hivyo katika shule jumuishi changamoto hujitokeza linapokuja suala la vyoo kwa Wanafunzi wenye ulemavu na wenye mahitaji maalumu. Suala...
  10. Serikali itoe pole tena kwa Wanafunzi waliozama Ziwa Victoria

    Naandika Kwa uchungu sana, miezi michache iliyopita Kuna wanafunzi walizama hapa Kigoma Kwa mtumbwi. Leo Tena tukio kama Hilo limetokea, kama kawaida Viongozi wa CCM na Serikali watalitumia Tukio hili kupata political mileage. Dah --- Shughuli ya kutafuta watu 13 waliozama ndani ya Ziwa...
  11. N

    Wanafunzi wa advance Chamwino wamnunulia mwalimu wa hesabu baiskeli kwa kutambua mchango wake!

    Wanafunzi wa Kidato cha sita Shule ya Sekondari Chamwino wamempa FURAHA YA KUSHTUKIZA mwalimu wao wa HESABU/ADVANCED MATHEMATICS, MR. EMANUEL GEORGE KIPAHO kwa kumnunulia usafiri wa Baiskeli kwa kutambua mchango wake na juhudi zake anazozitoa kufundisha darasani na muda wake wa Ziada. Shule hii...
  12. M

    SoC03 Rushwa kwa watendaji wa serikali

    Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa. Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
  13. T

    Ni kwanini serikali imewachagulia wanafunzi wa sayansi kusoma art 'A' level ilihali wanapenda sayansi!?

    Ndugu wanabodi nimekutana na huu mkanganyiko hasa kwa wahitimu wa jinsia ya kiume, ambao katika uchaguzi wao wa masomo walichagua kusoma sayansi, isitoshe wamepata credit zinazokidhi kuendelea na masomo ya sayansi. Kwa mshtuko na mshangao wengi wao wamechaguliwa wakasome masomo ya art Kwa...
  14. R

    Kazi wanayofanya vyema Watanzania wenye Phd nikufelisha wanafunzi wazawa; Wapo Maprofesa hata kununua kiti/meza ofisini kwake anasubiri Serikali

    Nakumbuka kufeli kwa wanafunzi wa Sheria mwaka huu na mwaka jana na sababu zilizotolewa na shule ya sheria Dar es salaam. Naangalia inachukua muda gani vyuo vya Tanzania kuprinti cheti cha mwanafunzi aliyehitimu; naangalia inachukuliwa hatua gani kwa wasomi wazembe na wasio na maadili, naangalia...
  15. WAALIMU mliopitia JKT acheni kuwapigisha adhabu za kijeshi wanafunzi. ndio maana mnaua!

    Ukiangalia vifo vingi vya wanafunzi ambavyo vinasababishwa na waalimu vinatokana na kupewa adhabu au kipigo nje ya utaratibu wa kawaida wa fimbo. nawatahadharisha tu walimu kuwa maeneo yaha ambayo nayataja hapa ni hatari sana kupiga hasa kwa watoto wadogo 1. kupiga NGWALA, hii inapelekea mtoto...
  16. DOKEZO Responded Shule ya Msingi Tumaini ya Tabata Kimanga Wanafunzi wasiochangia Tsh. 800 wanatolewa Darasani

    Wazee nendeni Shule ya Msingi Tumaini, ipo Kata ya Kimanga, Dar es Salaam kila siku kila Mwanafunzi wa Darasa la Saba anatakiwa atoe mchango Tsh. 800 na kwa siku ya Alhamisi wanachangishwa Tsh. 2,000 ya mtihani. Pia soma: Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule...
  17. Global education link daraja kwa wanafunzi nje ya nchi

    Global Education Link yawakaribisha Wanafunzi wa ngazi mbalimbali za Elimu ya juu kutembelea katika Banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 18 ya vyuo vikuu nchini Yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja Jiji Dar es salaam ili kupata nafasi yakuunganishwa na Vyuo Vikuu mbalimbali Duniani...
  18. Wanafunzi waacha shule na kwenda kufanya kazi za ndani kutokana na michango kuwa mingi mashuleni

    Baadhi ya wanafunzi wanaosoma Shule za Serikali za Kata wameshindwa kuendelea na masomo na kuacha shule kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni utitiri wa michango mashuleni. Moja ya shule kati ya nyingi zilizopo Jijini Arusha ni Sekondari ya Lemara iliyopo katika Kata ya Lemara kwenye...
  19. M

    Wanafunzi wa chuo wanaokwenda TANESCO kufanya field huwa wanalipwa?

    Hey
  20. Dodoma: Wanafunzi 92 waliorejea shule baada ya kujifungua, wakwama kuendelea na masomo

    Ugumu wa maisha na kukosekana kwa Wasaidizi wa kulea Watoto kumetajwa kuwa kuwa sababu ya kusitisha masomo kwa Wanafunzi 92 kati ya 265 waliorejea masomoni baada ya kupata ujauzito shuleni chini ya Utaratibu wa Kuboresha Elimu Sekondari (SEQUIP). Msimamizi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…