wamasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Masai wakatazwa kutembea na fimbo Zanzibar; Je, Wamasai wamewakosea nini kila sehemu mnawakataa?

    Masai ni jadi yake kutembea na fimbo miaka yote. Hakuna siku tumewahi kuiona fimbo ya Masai kama silaha. Kinachoendelea Zanzibar ni mwendelezo wakupambana na kabila hili kutokana na ukweli kwamba wamejaa Zanzibar na wanaongea vibaya kuhusu ngorongoro. Ukiwakuta wakiwa na wazungu wanajadili mada...
  2. S

    Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi

    Kutembea na sime kwa wamasai haijaanzia leo ni jadi yao na wamasai hawana ugomvi na mtu. Kuna ajenda fichika juu ya operesheni inayoendelea Zanzibar dhidi ya wamasai wenye sime. Wazanzibari wamekuwa na ubaguzi sana dhidi ya watu toka bara. Wamasai wanatokea bara na wanazidi kuongezeka huko...
  3. Video: Wamasai wazichapa na Walinzi wa kawaida

    Hii ni video inayombaa kwa kasi mitandaoni ikiwaonyesha Wamasai wakipigana na Walinzi wa kampuni binafsi. Inasemekana kuwa hili tukio limetokea Zanzibar, lakini sababu ya ugomvi kati yao bado haijajulikana. Written by Mjanja M1 ✍️
  4. Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
  5. R

    Wamasai wanakwenda kuua misaada ya UN na EU kwa Tanzania; Ngorongoro imetugeuka vibaya

    Maamuzi ya bunge la Ulaya kuhusu kuhamisha Wamasai Ngorongoro linakwenda kutaathiri kiuchumi. Tutaathirika kwa sababu tulitumia nguvu huku tukijua kabisa kwamba tunajipanga kuimarisha mahusiano na mataifa mengine. Bunge la Ulaya kwa zaidi ya asilimia 90 limesema maamuzi ya Tanzania siyo...
  6. R

    CCM wakataa Baba yake Sabaya kuhojiwa kuhusu kuchoma nyumba za Wamasai akiwa DC, wasema hilo siyo swali

    Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo. Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM. Leo Mzee...
  7. Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

    Walinzi wengi ni wamasai na wanaonekana kuipenda na kutokuchoshwa na kazi hii ya ulinzi , je ndiyo ndoto yao kubwa na yenye sifa?
  8. Je, Mmeru na Mwarusha ni kabila moja?

    Hawa ni watu wa wapi? Nilijaribu kufatilia wameru ni kweli wanasikilizana na wamachame wapo tofaauti na wachaga, nadhani ni ni wamasai walioamua kuhamia Machame, hupenda kubeba visu na pia kibiashara bado wana mwamko mdogo. Kwa Mwarusha nae naona wanatahiri kama wamasai na kuna fimbo za bomani...
  9. Wamasai wafupi wanaongezeka

    Yani ile dhana ya wamasai walefu inaenda kupotea, nadhani wanafanya interbreeding, au huku pwani hawanywi maziwa. Yani unakutana na mmasai kafupi mwenye hadhi ya kuitwa mbilikimo kabisa, ukiachana na shuka zao, huwezi watofautisha
  10. Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi? ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka...
  11. Wamasai kaeni tu mkoani mmejaa sana Dar manaaibisha aisee

    Hivi kwann wamasai hawataki kabsa kukaa porini yaan kila siku wanakuja Dar wanaongezeka kwa kasi sana aisee hawataki kabsa kuchunga n'gombe mnataKa nani awachungie aisee masai hamtaki kufanya kazi za asili. Yaan masai mmekua kama watu wa makumbusho kutaka kazi nyepesi kusuka tu na kukaa tu...
  12. R

    Serikali inapambana na Wamasai kutoka Arusha kwenda pwani na Morogoro; hakuna kabila linalopitia magumu haya

    Masai amejionea rangi zote; kila anapokwenda anaambiwa kaa mbali waache wawekezaji. Amechapwa huko Ngorongoro, Manyara, Pwani na sasa huko Morogoro. Hawa jamaa hadi unawaonea huruma kwa namna wanavyopitia wakati mgumu. Kibaya zaidi viongozi wao wamekaa kimya wasisulubiwe. Sijui...
  13. R

    Watoto wa maskini walioajiriwa serikalini wanatumika kuwaadhibu wazazi na ndugu zao waliowasomesha wakiamini wanalinda nchi

    Wanaoangaika na maskini wa nchi ni watoto wa maskini walioajiriwa serikalini. Viongozi wa TANAPA wameliwa vichwa kwa sababu tu wamegusa maslahi ya royal family. Viongozi wa TANAPA wameona namna wanasiasa wasivyo na fadhila; wamepambana na Masai wakiamini watapanda vyeo wameambulia fedhea ya...
  14. Kilichofanyika Msomera hakikuwa sherehe za kimila za Wamasai, zilikuwa sherehe za CCM

    CCM ni chama kinachotumia mbinu duni mno kudanganya , nadhani hii inatokana na chama chenyewe kuwa kichakavu ni cha zamani na hakifahamu lolote kuhusu mbinu mpya. Huko Msomera, kule walikohamishiwa wale wamasai wa mchongo kumepigwa Tukio lililoongozwa na viongozi wa CCM na kupachikwa jina la...
  15. Zitto mpigania haki ndie huyu anayefurahia kuuzwa bandari za Tanganyika,kukaa kimya juu ya Katiba Mpya na wanayofanyiwa Wamasai Ngorongoro!?

    Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu. Huwezi amini kwamba huyu ni Zitto aliyetufundisha siasa za uzalendo na kipigamia haki.leo hii amekuwa kimya katika...
  16. M

    Wamasai wamueleza Lissu namna wanavyofanyiwa ukatili wa kutisha na Serikali

    Wamemueleza kuwa: 1. Serikali huwa inasogeza mipaka kimyakimya kinyume cha sheria ili kupanua eneo la hifadhi na kuwaminya 2. Serikali huwa inachoma maboma yao ili kuwafrustrate waondoke 3. Na hata kwenye eneo ambalo siyo la hifadhi ambapo huwa wanafanya vilimo vidogovidogo serikali huwa...
  17. Maoni Binafsi: Sina imani na Saa100 kwenye zoezi la kuhamisha wamasai Ngorongoro nikisoma ilani ya CCM 2020-2025.

    Turukie kwenye mada. Nimeisoma ilani ya CCM. 2020-2025 hakuna mahali nilipoona CCM imelekeleza kuhamisha wamasai kutoka mkoa wa Arusha ( Ngorongoro) kuwapeleka mkoa wa Tanga. 2. Hakuna mahali CCM imeelekeza akae kimya asiongee na wananchi kutolea maelekezo au ufafanuzi wa jambo ambalo limeleta...
  18. Wamasai wa Ngorongoro: Tulikuwa kifungo baridi Ngorongoro

    -BABA MZAZI WA JAJI WA MAHAKAMA KUU ALIYEHAMIA MSOMERA AFUNGUKA Mzee Isaya Laltaika baba mzazi wa Jaji wa mahakama kuu DKT. Eliamani Isaya Laltaika ambaye ni pacha wa mhadhiri mwandamizi wa kitivo cha sheria chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichopo Arusha anaeleza anavyofurahia maisha mapya ya...
  19. B

    Wamasai na Ngorongoro: Siasa ya Maendeleo ya Vitu au ya Watu?

    Asalam, pamoja na kuamua kuweka bandiko hili, lakini nimeshuhudia uchache ama kupotea kwa haraka bandiko lolote lenye neo "masai". Lkn huenda hili likabaki. Ngongoro kama zilivyohifadhi nyingine Tz imekuwepo kwa miaka mingi japo ina utofauti na nyingine. Pale wanyama mwitu, wanyama wa kufugwa...
  20. B

    Waraka wa Maskofu TEC una mengi: Umegusa mateso ya wamasai na vijana wasio na ajira

    Baada ya masuala ya Jumuia asbh na tafakari ya waraka wa TEC. Yako mengi mazito, tutajadili moja moja kila fursa inapopatikana. Nimeona SUALA LA MANYANYASO KWA WAMASAI YAMEPEWA UZITO. angali hoja za utangulizi na. 9 ...inasema 9. Kupuuza sauti ya wananchi juu ya uwekezaji usiosikia sauti yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…