Wazazi kuweni makini Na walimu wa "Twisheni" na Madrasa

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu kuweni makini na hawa maustadhi wanaowafundisha Watoto wenu huko vyuoni au twisheni.

Tuko kwenye CAT session hapa Dodoma, Kuna Kesi Mwalimu wa Madrasa Moja Hapa Alikuwa anawafundisha watt mchanganyiko kumbe Miongoni Mwao watt wale Kuna Binti wa miaka 9 ustadhi akawa anamuingilia yule mtoto mbele na kinyume na maumbile.

Sasa kuna siku akakamatwa na Ustaadhi Mwenzake akawa anamuingilia yule mtoto chooni, kuhojiwa akakiri ni Kweli ustaadhi anamui ngilia more than 2yrs back.

The same kwa Mwalimu mmoja wa twisheni Huko Wilaya Moja Mpwapwa.

Wamekuwa sentenced for 60yrs imprisonment Ila Wana-appeal CAT Kwa reasons Kwamba Kule RMS na HC Umri Wa Wale Watoto waliobakwa haukutajwa kwenye Charge sheet, Ingawa Sio Dispute Sana Maana Hii hoja haikuwa disclosed kweye Trial Court Kwa maana ya Mahakama Kuu na Mahakama ya Wilaya.

Kuweni Makini Sana na Hawa Watu Wanaowafundishia Watoto wenu, chunguzeni Sana Mazoea nao.

I humbly Submit
 
Sio wa tuition tu muwe makini pia na wachugaji wa makanisa ya kilokole wame haribu wake na mabint za watu, hapa mtaani mchugaji moja alikua anatumia mama pamoja na bint zake wawili baba mtu amekuja kugundua too late kumbe kati ya watoto wake watatu moja sio wake ni wa pastor Richard.
 
Tatizo wazazi huwa hawawafundishi watoto wao mambo ya uzazi,ngono na ubakaji.Inatakiwa mtoto akishafikisha umri wa miaka 3 aanze kufundishwa mambo ya ubakaji mara moja na jinsi ya kujikinga.
 
Haya makundi si ya kuamini sana kuachia watoto:
1. Walimu wa tuition-nilishaoneshwa msela mmoja na aliyokuwa anafanya kwa watoto wadogo darasa la 4 hadi la 7,
2. Walimu wa madrasa-stori za kuwalawiti watoto ni nyingi mtaani
3. Wachungaji na mapadri-stori ni nyingi sana kuwa wanawapiga mimba watoto wa sekondari na wake za watu
4. Wakufunzi wetu huko huko makambini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom